Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,189
- 79,418
na hata mfumuko wa bei ulipotokea wakati wa mwl sababu yenye maana ilijulikana yaani vita ya kagera!
Mwalimu alitulisha unga wa Yanga, wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa!
Mwalimu alitulisha unga wa Yanga, wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa!
Mwalimu aliacha watu wanavaa viatu vya matairi ya gari hahahaha sasa tunavaa nike
mwalimu alikuwa anaangalia tv peke yake
NIMEISOMA HOTUBA JK -sikubaliani kabisa kabisa na kikwete anapodai kuwa Mwalimu aliacha nchi hii si TAJIRI, naomba nimkumbushe kikwete na CCM kwamba Baba wa TAIFA aliacha Tanzania na utajiri wa kutupwa na ni baabda ya kifo chake mafisadi wakaibuka, wawekezaji wanyonyaji wakaingia na kuididimisha nchi hii kwenye umaskani ukashika kasi kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Kikwete na CCM wakumbuke kuwa Mwalimu alifanya haya wakati wake
1. Madini yote alitaka Watanzania wayachimbe ni kikwete kama waziri wa madini alishiriki uibaji wa mali yetu hiyo
2. Mali asili na utalii tunayojidai leo ni kwakuwa mwalimu hakuruhusu wizi wakati wake
3. Mwalimu aliwasomesha bure akina kikwete na mafisadi wote wanaotunyonya kwa sasa
4. Mwalimu hakuwa na mgao wa umeme -miradi ya mwalimu ya umeme ndio hiyohiyo mpaka leo serikali ya kikwete inategemea
5. Wakati wa Mwalimu hapakuwepo mafisadi
6. Wakati wa mwalimu hapakuwepo na bodi ya mikopo why bodi?
7. wakati wa Mwalimu hapakuwepo mfumuko wa bei kama huu wa sasa
JK na CCM wanatakiwa wamwombe radhi mwalimu ameshalala wamwache apumuzike
Chidide hivyo anavyo fanya huyu Bwn Mdogo sio vizuri. Mtu huyu bila Nyerere shule angesoma wapi??????? Yapo mambo mengi tuu aliyofanya Mwl lakini kwa uelewa mdogo wa hao watu alio waamini saana ndio wanamsaliti sasa, Watu aliokabidhiwa viwanda waviendeshe, mabenki, mashirika, mashamba mkubwa wayalime kwa kuwa ni wasomi , wakageuka wezi wakafirisi kila kitu!!! Hawa sasa wamekuwa mafisadi wanasema Nyerere aliacha nchi masikini!!!!!!!Mimi si mwanasiasa, ila kuna hili jambo la kumzihaki Mwl. Nyerere naona linazidi kuongezeka kadri siku zinavyokwenda. Ni mara ya pili JK anamdhihaki na kujaribu kujilinganisha mambo aliyofanya na yale aliofanya Mwl.
Naomba wananchi, wanasiasa, viongozi wa dini na wengine wenye mapenzi mema na nchi, muongeze dai lingine la lulaani wale wote wanojaribu kumdhihaki Baba wa Taifa. Kila taifa lina baba wake ambaye hatakiwi kuchezewa na mtu yoyote. Nionavyo kuna jitihada za maksudi zinazofanywa kuondoa sifa na mazuri aliyofanya mwalimu.
We mjaruo usikurupuke na mambo usiyo yajua kipindi cha nyerere watu walipata shida sana walihamishwa kutoka katika vijijisikie vyao na kupelekwa katika maporight na wengine waliwa na wanyama wakali kama simba nk. Hata wakati anashika madaraka mwinyi alikuta wanainchi wanavaa viroba Sasa huo utajiri unaousema ni upi inaonekana hat historians ya nchi hii huijui aidha wewe siyo mtanzania na kama ni mtanzannia acha ushabiki usiokuwa na maana .NIMEISOMA HOTUBA JK -sikubaliani kabisa kabisa na kikwete anapodai kuwa Mwalimu aliacha nchi hii si TAJIRI, naomba nimkumbushe kikwete na CCM kwamba Baba wa TAIFA aliacha Tanzania na utajiri wa kutupwa na ni baabda ya kifo chake mafisadi wakaibuka, wawekezaji wanyonyaji wakaingia na kuididimisha nchi hii kwenye umaskani ukashika kasi kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Kikwete na CCM wakumbuke kuwa Mwalimu alifanya haya wakati wake