Kikwete: Hata Nyerere alishindwa ingawa tunamsifu sana

Mheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete, yameshasemwa vya kutosha sasa, CHUKUA HATUA BABA!!
Halafu tuone kama mabadiliko hayatatokea, au tuambie tuelewe juu ya haya yote tunakuyokulaumu nayo, kuna nini? Na nini mwisho wake? Miaka mitano ni mingi sana ukiwa kama mwanadamu wa kawaida kuandamwa na mambo haya. CHUKUA HATUA.
 
Ebu jamani acheni ku-show up a very big level of ignorance kwenye leadership, hivi kuna watu mmemuona Nyerere mtume?? Nyerere alishindwa vitu VINGI SANA NCHI HII NA ALIFANIKIWA KWNYE VITU VINGI SANA PIA.... this is reality, japo asilimia 99 ya Kikwete ni mbovu bado ana asilimia yake moja ya mazuri.........

Swala la Nyerere kushindwa halijaanza na Kikwete, wasomi, papers, books, articles nyingi zinaandika hayo HUO NDIO UKUBWA NA DEMOKRASIA-VITU VINGI LEO HAVIENDI SOURCE NI NYERERE!!! katiba hii mnaoililia source ni Nyerere he failed!!!!. Cha kujiuliza ni Kikwete kasema kwa mazingira gani?? kasema kwa kebehi kame vile anafabya makusudi kutoongoza nchi vizuri?? kwa nini hasa kasema hivyo??

Lakini hawezi kupata laana kwa kusema hivyo cammon Nyerere ni mtu, siyo mtume, siyo jini, siyo ghost ni mtu, aliishi akafa!!!! haya ya laana is justa nother nonsense ...kwa hiyo tulivyosema Mkapa kaiba, Mwinyi karuhusu Rushwa tutapata laana??? ebu futa thread

Wareboya maelezo ya Kipima Pembe hapa chini yanajibu watu wenye hoja finyu kama zako: Shukrani nyingi kwa Kipima Pembe!!!!

Hii ni ya chini Mno.

Hamuwezi kutafuta chanzo cha matatizo yenu kwa kiongozi aliyeongoza nchi mara ya Mwisho miaka 26 iliyopita! Miaka 26 inatosha kabisa kuibadili nchi. Hawa apologists wa Kikwete na Kikwete mwenyewe wanakera watanzania na hasa wanatia kichefu chefu wanapojaribu kuhalalisha kushindwa kwao kwa kumtumia kiongozi aliyetoka madarakani miaka 26 iliyopita. Jamani hamuoni aibu??

Nyerere si malaika, hata yeye alisema hakuwa malaika. Wote tulioishi enzi zake tunajua hakuwa malaika. Tulitarajia wale waliomfuata waanzie pale alipoishia. Bahati mbaya sana waliomfuata wamevuruga hata pale alipoishia. Sasa wanalalama eti yeye ndo chanzo cha matatizo, ebu oneni aibu. Miaka 26 tangu aondoke Nyerere mmeshindwa kurekebisha katiba na miaka 12 tangu aondoke duniani, bado mnalalamika eti katiba mbaya yeye ndo aliyeiacha, halafu mnatarajia tuwaone mna akili.

Shame on CCM, Shame on Kikwete administration. Kama heshima anayopata Nyerere inawachefua, jiulizeni kwa nini watanzania tunamheshimu. Hatuwezi kuwaheshimu wezi na Majambazi. Katika viongozi waliostaafu, Mzee Mwinyi anaheshima zaidi, pamoja na kuwa kwenye utawala wake rushwa ilitamalaki, bado Mwinyi aliondoka madarakani mwaka 1995. Leo hii 2010 tungeshoiondoa rushwa hiyo kama kweli tungekuwa na nia njema. Sioni haja hata ya kumlaumu Mwinyi aliyeongoza miaka 16 iliyopita. Hiki bado ni kipindi kirefu mno kufanya mapinduzi makubwa na kuibadili Nchi. Kwa hiyo failure za Kikwete haziwezi kuelekezwa kwa kiongozi mwingine yeyote aliyetangulia ni kwake mwenyewe!

Mwaka 2005 wakati tunamshangilia Kikwete tulijua kuwa huko nyuma kulikuwa na matatizo. Tulicho tarajia ni yeye kurekebisha mambo si kuendeleza wizi ulioanzishwa wakati wa mkapa. Kibaya zaidi Kikwete analigawa taifa hili kwa misingi ya udini. Hilo hatalikwepa na historia itamkumbuka kwa hilo, kati ya viongozi waliomtangulia ni nani aliyeegemea kwenye dini yake kama si Kikwete. Asijidanganye, kadri mnavyomsakama Slaa eti ni Mdini, watanzania tunawaangalia ninyi mlioko madarakani.

CCM imekufa na Kikwete hawezi kumlalamikia yeyote kwa kuiua CCM. CCM inakufa kwa sababu uongozi umeacha majukumu yake ya kuhakikisha kuwa chama kinasimamia misingi yake. Chama kimegeuzwa gulio la walanguzi na matapeli waliokubuhu. Wananchi tunawaona, unaweza ukamlaumu kiongozi yeyote kwa tabia ya Kikwete kuwakumbatia kina Lowassa, Kina Rostam Aziz, Kina Chenge, Kina Mramba, n.k. Ni viongozi wangapi wakati wa Nyerere walifukuzwa na kutiwa Lupango? Kikwete alitaka Nyerere aje kumsaidia kuisafisha CCM? Nyerere hakusema Lowassa hafai kuwa kiongozi? Ni nani alimlazimisha Kikwete kumfanya Lowassa waziri mkuu??

Acheni unafiki, ... Acheni uongo, .... Acheni uzushi. Kama heshima anayopewa Nyerere inawatia kichefu chefu, jitieni vidole mtapike. Nyerere anaheshimiwa kwa sababu ya aliyoyafanya. Hata kama hakufanikiwa sana, Watanzania wanamjua Nyerere kama mwenzao. Hawana haja ya kuambiwa.

Watanzania hao hao wanamjua Kikwete. Kikwete huyo huyo anayesema Richmond ni Kampuni hewa, halafu anasema Dowans wametupa umeme kwa miezi tisa. Watanzania tunajua jinsi Rostam alivyompeleka Kikwete ikulu akiwa amempandisha kwenye toroli, halafu yeye Rostam akilisukuma hilo toroli. Rostam huyo anayeapa kuwa hajui chochote kuhusu Dowans, Lakini akiwa na mikataba inayoonesha kuwa yeye ndiye anayeendesha shughuli zote za Dowans.

Mbona Rostam hajaja kwenye vyombo vya habari kukanusha yaliyoandikwa na Gazeti la East African. Ikiwa hayo hayakanushikii Kikwete uko wapi, wakati aliyekupeleka ikulu amechafuka hivyo. Unataka watanzania tukuheshimu kama Nyerere? ..... Wivu unakukereketa?
 
Asante sana Ndugu, haihitaji rocket science kukuelewa, hata babu zetu walioishi kabla ya mitume wangekuelewa!! Lakini kwa kizazi hiki kisicho na aibu, usishangae kuna watu watakupinga.. Kwa mara nyingine ASANTE!
 
Mimi simshangai JK kutumia neno "hawezi", kwani alikwisha shindwa tangu zamani:-
-Alikimbia mbio toka uwanja wa mapambano kwenye vita vya Kagera, aliogopa miungurumo ya BM za Idd Amini!
-Ameshindwa kuondoa Rushwa na Mchwa wanao tafuna fedha kwenye Halmashauri za Miji.
-Ameshindwa kupitia na kurekebisha mikataba ya madini ili tuchukue at least 33% ya faida waipatayo!
-Ameshindwa kushughulikia mwenye Kagoda, Dowans, Richmond nk nk.
-Ameshindwa kuondoa kero ya umeme wa kubahatisha.
-Ameshindwa kufufua usafiri wa uhakika wa njia ya reli.
-Ameshindwa kuifanya Kigoma kuwa Dubai na Mwanza kuwa Califonia ya Africa.
-Ameshindwa kuondoa kero ya uchukuaji mizigo Bandari ya Dar.
-Ameshindwa kujizuia kuchagua wachumba zake kwenye position za uongozi.
-Ameshindwa kuacha usanii.
 
Kuna wakati Nyerere aliwahi kusema aliongoza nchi akiwa na wahandisi wawili tu. Sikumbuki kama ni wa mechanical,civil. Hoja yangu ni hapa. Tuna wahandisi wangapi leo hii sanjari na wataalam wa fani mbalimbali na je tumeshindwa nini kujikwamua na matatizo makubwa ya msingi yaani UJINGA MARADHI & UMASKINI? Je, ni kwa kuwa hatuna ardhi? Hatuna watu? Hatuna siasa safi? Hatuna uongozi bora ili tuendelee? Tatizo la mwl ni nn hasa?
 
hakuna hoja ya maana,zaidi ya chuki ndo imewatawala. Nyinyi mkisema maneno ya hovyo ok,sisi no. Tatizo JF imeingia ushabiki wa dini na vyama. Nasi twaenda kwa style iliyopo. Kwahiyo tuvumiliane

Tumekupata kiongozi tunavumiliana, sasa nilikuwa nakuomba umushauri huyu Rais wetu kuwa yeye apige kazi mbele kwa mbele na ajaribu kuwa tatulia watanzania matatizo yao na hasa yale ambayo yeye mwenyewe anafikikria ana ubavu wa kuya tatutua. Kuanza kwake kutoa kauli kama hizi, wengine tutamuona kama amechanganyikiwa na kazi inaelekea kumshinda, kama kweli sio imemshinda, kwa hili ni na wasiwasi tena sana. Ninachoweza kumhakikishia na yeye akimaliza muda wake kwa hulka ya wanadamu watamsifia asiwe na wasiwasi.
 
...naheshimu sana mawazo ya kila mtu, haijalish yanakinzana au la. Ila p'se, kutetea failure zako kwa kulinganisha na ya wenzako ni the ultimate failure of all! Hatuambiwi kila siku kufocus on our strengths to change the past failures?
 
masikini nchi yangu Tanzania nakuonea huruma, misingi aliyotuachia baba tumeivunja, mambo yanakwenda mrama, anko Kikwete Jahazi limemshinda linakwenda mrama sijui kama tutavuka, ee mwenyezi Mungu tunusuru na hili balaa, amen.
 
..JK anapenda sana kutupia wenzake lawama.

..vilevile ana tabia ya kujificha nyuma ya maamuzi ya vikao.

..huyu hakupaswa kuwa Raisi.
 
Haoni hata aibu kum-challenge Nyerere! Yeye ndiye kilaza wa vilaza. Hivi jamani unaweza kulinganisha thinking capacity ya Nyerere na Mkwere!! Ebu Mkwere aende pale vyuo vikuu apambane kwa hoja na maprofesa na madokta kama alivyokuwa anafanya Nyerere. Tuone kama hawatamtoa nishai na kingereza chake plain. Jamani naishiwa hata maneno. Ndiyo hasara ya kuwa na kiongozi kilaza na wapambe uchwara wanaomnyenyekea kama mfalme. Umbumbumbu wa mwaka!
 
Wareboya maelezo ya Kipima Pembe hapa chini yanajibu watu wenye hoja finyu kama zako: Shukrani nyingi kwa Kipima Pembe!!!!

Asante mkuu kunipa hiyo sifa, it was just enough ukani-link na hiyo post rather than using hoja finyu...sijaona maana naamini kabisa kama huyo kipima pembe, mbona kaandika kama nlivyosema? au ulitaka niandike kila kitu...asante pia, usijibu hii post maan mwenye mawazo finyu hawezi kukujibu wewe mwenye hoja zenye akili!
 
Waberoya,

Wakati wengi tuna amini kwamba Nyerere kuna mengi alishindwa, jambo moja tutakubaliana kwamba Nyerere alikuwa na maono ya wapi anataka kupeleka Tanzania.
Lakini pia Nyerere hakuweza kutimiza malengo kwa sababu nchi ilikuwa changa, hakuna wasomi wakutosha wala uchumi wenye nguvu.

Viongozi wanaofuatia hawapaswi kujifariji kwa vile tu aliyetangulia hakufanya vema. Wanasema makosa mawili hayafanyi jambo kuwa sawa. Hii wala sio cheap excuse bali ni LAME EXCUSE.

Nimepata kusema kabla kwamba JK aliutaka sana urais wa URT lakini hakuwa na hana maono ya nini alitaka kufanya akipata urais.
Watu waliom-support kupata kiti hicho ni wachafu pasi mfano ni kiongozi asiye maono tu angeweza kuwafanya kuwa timu yake ya Ushindi.

Angalia kina nani walikuwa timu ya S. Ahmed (2005) na wale walokuwa ama wako timu ya JK (2005-2010).

JK can be a good man BUT have failed to make a good leader!

Ili tutoke hapa tulipo we need a RADICAL PRESIDENT bila kujali anatoka wapi so long as ni mtanzania mwenye DIRA.

Asante sana mkuu!

Tatizo kubwa lililoikumba Tanzania ni kuwa hakuna suitable person aliyekuwa na mawazo na vision sawa na Nyerere, hata kama wangekuwa na milengo tofauti, still tungekuwa na kiongozi imara wa kutupeleka mbali. Replacement imetushinda na kwa sababu hatuna hao watu basi hawa dhaifu wote watarudi kwa Nyerere na kufanya comparison na yeye wanajisahau kuwa wanaweza wakawa wakuu zaidi ya Nyerere!!!!
 
Ki ukweli watanzania tumechagua kurudisha nyuma tena maendeleo kwa miaka mitano na tutajuta daima, hii iwe fundisho watu tuachane na mambo ya kizamani.. ya rais handsome kuliko wote afrika sasa u handsome wake unatusaidia nini? mara ndio rais wa kwanza afrika kuingia ikulu ya marekani mara baada ya barack obama kuchaguliwa kuwa rais,,,,.
Huyu jamaa ka fail kwa asilimia zote..... hana lolote la maana. simple excuse is shame.......................
 
Hii ni ya chini Mno.

Hamuwezi kutafuta chanzo cha matatizo yenu kwa kiongozi aliyeongoza nchi mara ya Mwisho miaka 26 iliyopita! Miaka 26 inatosha kabisa kuibadili nchi. Hawa apologists wa Kikwete na Kikwete mwenyewe wanakera watanzania na hasa wanatia kichefu chefu wanapojaribu kuhalalisha kushindwa kwao kwa kumtumia kiongozi aliyetoka madarakani miaka 26 iliyopita. Jamani hamuoni aibu??

Nyerere si malaika, hata yeye alisema hakuwa malaika. Wote tulioishi enzi zake tunajua hakuwa malaika. Tulitarajia wale waliomfuata waanzie pale alipoishia. Bahati mbaya sana waliomfuata wamevuruga hata pale alipoishia. Sasa wanalalama eti yeye ndo chanzo cha matatizo, ebu oneni aibu. Miaka 26 tangu aondoke Nyerere mmeshindwa kurekebisha katiba na miaka 12 tangu aondoke duniani, bado mnalalamika eti katiba mbaya yeye ndo aliyeiacha, halafu mnatarajia tuwaone mna akili.

Shame on CCM, Shame on Kikwete administration. Kama heshima anayopata Nyerere inawachefua, jiulizeni kwa nini watanzania tunamheshimu. Hatuwezi kuwaheshimu wezi na Majambazi. Katika viongozi waliostaafu, Mzee Mwinyi anaheshima zaidi, pamoja na kuwa kwenye utawala wake rushwa ilitamalaki, bado Mwinyi aliondoka madarakani mwaka 1995. Leo hii 2010 tungeshoiondoa rushwa hiyo kama kweli tungekuwa na nia njema. Sioni haja hata ya kumlaumu Mwinyi aliyeongoza miaka 16 iliyopita. Hiki bado ni kipindi kirefu mno kufanya mapinduzi makubwa na kuibadili Nchi. Kwa hiyo failure za Kikwete haziwezi kuelekezwa kwa kiongozi mwingine yeyote aliyetangulia ni kwake mwenyewe!

Mwaka 2005 wakati tunamshangilia Kikwete tulijua kuwa huko nyuma kulikuwa na matatizo. Tulicho tarajia ni yeye kurekebisha mambo si kuendeleza wizi ulioanzishwa wakati wa mkapa. Kibaya zaidi Kikwete analigawa taifa hili kwa misingi ya udini. Hilo hatalikwepa na historia itamkumbuka kwa hilo, kati ya viongozi waliomtangulia ni nani aliyeegemea kwenye dini yake kama si Kikwete. Asijidanganye, kadri mnavyomsakama Slaa eti ni Mdini, watanzania tunawaangalia ninyi mlioko madarakani.

CCM imekufa na Kikwete hawezi kumlalamikia yeyote kwa kuiua CCM. CCM inakufa kwa sababu uongozi umeacha majukumu yake ya kuhakikisha kuwa chama kinasimamia misingi yake. Chama kimegeuzwa gulio la walanguzi na matapeli waliokubuhu. Wananchi tunawaona, unaweza ukamlaumu kiongozi yeyote kwa tabia ya Kikwete kuwakumbatia kina Lowassa, Kina Rostam Aziz, Kina Chenge, Kina Mramba, n.k. Ni viongozi wangapi wakati wa Nyerere walifukuzwa na kutiwa Lupango? Kikwete alitaka Nyerere aje kumsaidia kuisafisha CCM? Nyerere hakusema Lowassa hafai kuwa kiongozi? Ni nani alimlazimisha Kikwete kumfanya Lowassa waziri mkuu??

Acheni unafiki, ... Acheni uongo, .... Acheni uzushi. Kama heshima anayopewa Nyerere inawatia kichefu chefu, jitieni vidole mtapike. Nyerere anaheshimiwa kwa sababu ya aliyoyafanya. Hata kama hakufanikiwa sana, Watanzania wanamjua Nyerere kama mwenzao. Hawana haja ya kuambiwa.

Watanzania hao hao wanamjua Kikwete. Kikwete huyo huyo anayesema Richmond ni Kampuni hewa, halafu anasema Dowans wametupa umeme kwa miezi tisa. Watanzania tunajua jinsi Rostam alivyompeleka Kikwete ikulu akiwa amempandisha kwenye toroli, halafu yeye Rostam akilisukuma hilo toroli. Rostam huyo anayeapa kuwa hajui chochote kuhusu Dowans, Lakini akiwa na mikataba inayoonesha kuwa yeye ndiye anayeendesha shughuli zote za Dowans.

Mbona Rostam hajaja kwenye vyombo vya habari kukanusha yaliyoandikwa na Gazeti la East African. Ikiwa hayo hayakanushikii Kikwete uko wapi, wakati aliyekupeleka ikulu amechafuka hivyo. Unataka watanzania tukuheshimu kama Nyerere? ..... Wivu unakukereketa?

Asante kaka forget about Mwinyi or whoever! baada ya Nyererehatujapata kiongozi visionary kama yeye , hata leo mtu akifanya comparison ya Kikwete na Nyerere anakosea ..status ya Kikwete ni kuwa balozi wa nyumba kumikumi au kusuluhisha migogoro ya vikundi vya muziki!!! tumekosa viongozi wa aina ya Nyerere ndio maana nikaseama kwa Kikwete kusema Nyerere naye alikosea he is right! very right kwa sababu yeye sio rais na hajafikia kiwango cha kutatua matatizo kama rais!!!
 
Asante mkuu kunipa hiyo sifa, it was just enough ukani-link na hiyo post rather than using hoja finyu...sijaona maana naamini kabisa kama huyo kipima pembe, mbona kaandika kama nlivyosema? au ulitaka niandike kila kitu...asante pia, usijibu hii post maan mwenye mawazo finyu hawezi kukujibu wewe mwenye hoja zenye akili!
Wareboya
nimefanya makusudi kabisa kutumia maneno makali juu ya hoja yako kwa sababu nina uhakika kabisa wewe ni mtu msomi na muelewa wa mambo lakini kwa sababu ya chuki binafsi au maslahi binafsi sometimes hutaka kuutumia usomi wako kupotosha mambo! Wewe uko kama wanasiasa wa Kenya!
 
Haoni hata aibu kum-challenge Nyerere! Yeye ndiye kilaza wa vilaza. Hivi jamani unaweza kulinganisha thinking capacity ya Nyerere na Mkwere!! Ebu Mkwere aende pale vyuo vikuu apambane kwa hoja na maprofesa na madokta kama alivyokuwa anafanya Nyerere. Tuone kama hawatamtoa nishai na kingereza chake plain. Jamani naishiwa hata maneno. Ndiyo hasara ya kuwa na kiongozi kilaza na wapambe uchwara wanaomnyenyekea kama mfalme. Umbumbumbu wa mwaka!

Ukisema sana haya utaenda kwenye udini!!! watu wanaogopa kusema haya kwa sababu ya hulka zao, ukiacha Nyerere ngau kiongozi aliyemfuatia kwa intelectual qualities ni Mkapa, kusoma vitabu, journals, papers, hata kuandika vitabu vinatofautisha kati ya mtu mmoja na mwingine, malezi yana sababisha mambo mengi.
 
...Kushindwa kwa Nyerere sio chuki, angalia siasa yake, katiba, kuondoa vyama vingi, maamuzi ya wananchi, uchumi, n.k although he failed he is still the best president ever... i mean he failed but he had good intentions and righ reasons, etc HII NDIO HASA quality of leadership. JK kafeli kabisa hana hata good intention wala good reasons...

ndio nyerere baadhi ya sera za nyerere hazikufanikiwa. hata hivyo binafsi ninaamini nyerere alifanya aliyoyafanya
kwa kuamini kabisa yataboresha maisha ya watanzania sio kama hali ilivyo sasa ambapo maslahi ya watanzania
hayawekwi mbele si na jk peke yake bali hata na ccm. kama ulivyosema yes nyerere "had good intentions and right reasons".

kwa sababu hii naamini kikwete hakuwa sawa kusema hata nyerere alishindwa. inabidi kikwete ajiulize iwapo dhamira yake ipo
safi na kama hayo aliyoshindwa yamesababishwa na nia yake njema ya kuboresha maisha ya watanzania? jibu analo.
 
Back
Top Bottom