TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kikwete hakumsaidia Magufuli kupata tikiti ya Urais CCM, Magufuli alipenya Ki-Muungu Mungu, JK alimtaka Mziwanda wake Membe, Na Kwa Kuwa wajumbe wengi wa NEC walimtaka Lowassa wakamwonyesha Kuwa wao ni Nani. Wakampiga chini Mtu wao Na Kisha wakamchagua JPM, Ukweli ni Kuwa Pamoja na Ghadhabu zote Lowassa alikuwa hajaamua aende Chadema, aliombwa. Angekuwa amepanga tangua awali angewaagiza watu wake wa Nec baada ya Kuenguliwa wamchague Mtu Dhaifu na sio JPM. Usimpe huyu Mnafiki sifa Bure, waliomchagua JPM ni watu wa Lowassa na hii ni Fact!
Ona jinsi watu wa Lowassa walivyokuwa wamedhamiria Kumwonyesha JK kuwa bado wapo na Lowassa.
Hivyo Mh. Magufuli anatakiwa achimbie mguu chini na afanye yaliyomoyoni, na anayohisi ni Mwito wake wa Mungu kwa Tanzania na Kwa watanzania. Bila kuingiliwa ingiliwa.