Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

mbunghe wa arusha mjini kupitia chadema godbless lema akiwahutubia wananchi wa arusha kwenye mkutano wa hadhara aliwatangazia kuwa WOGA NI DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI...KUPIGANA VITA SIO DHAMBI...NI HERI VITA INAYOTAFUTA USAWA KULIKO AMANI...HIVYO VIJANA, WAZEE NA AKINA MAMA watumie kila walichonacho kupigana, kutokubali kuonewa, kutokuogopa kufa, wajitokeze kupigana VITA.

Je, kwa kauli hizi, lema sio mhaini? lema hajatangaza vita? lema hajahamasisha vurugu na kauli hii sio hatari sana kwa umoja wa kitaifa wa nchi yetu???
Watanzania tusikubali hadaa hizi za wanasiasa, tusikubali laghai hizi za wanasiasa, tutafakari na kutumia akili zetu ipasavyo.

Lema: Hakuna dhambi mbaya duniani kama dhambi ya Woga - YouTube

Raisini Amiri Jesh Mkuu wa nchi hapaswi kutoa kauli ya namna hiyo, usimfananishe na Lema tafadhari, tambua rais alitoa kauli kama mwenyekiti lakin amri yake huwa inapokelewa kama imetoka kwa raisi.
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

Kwa kauli hiyo, Mungu aepushe mbali, vita vya wenyewe kwa wenyewe vimetangazwa. Kama ni tindikali basi wote tumwagiane? Tunakubali msemo wa jino kwa jino? Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na janga hili
 
jamani huyo aliyeandika thread ni mmojawapo ya wale wagonjwa waliotoroka kule kenya anayemfahamu anicheki kwenywe pm anatafutwe huyu mgonjwa..
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

Kwa kauli hiyo, Mungu aepushe mbali, vita vya wenyewe kwa wenyewe vimetangazwa. Kama ni tindikali basi wote tumwagiane? Tunakubali msemo wa jino kwa jino? Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na janga hili
 
mbunghe wa arusha mjini kupitia chadema godbless lema akiwahutubia wananchi wa arusha kwenye mkutano wa hadhara aliwatangazia kuwa WOGA NI DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI...KUPIGANA VITA SIO DHAMBI...NI HERI VITA INAYOTAFUTA USAWA KULIKO AMANI...HIVYO VIJANA, WAZEE NA AKINA MAMA watumie kila walichonacho kupigana, kutokubali kuonewa, kutokuogopa kufa, wajitokeze kupigana VITA.

Je, kwa kauli hizi, lema sio mhaini? lema hajatangaza vita? lema hajahamasisha vurugu na kauli hii sio hatari sana kwa umoja wa kitaifa wa nchi yetu???
Watanzania tusikubali hadaa hizi za wanasiasa, tusikubali laghai hizi za wanasiasa, tutafakari na kutumia akili zetu ipasavyo.

Lema: Hakuna dhambi mbaya duniani kama dhambi ya Woga - YouTube

kumbe wewe utaifakwanza ni mshamba kabisa. Lema ana mamlaka sawa na rais?
 
Last edited by a moderator:
niko tayari kuongoza mapambano dhidi ya uchochezi wa lema. tumshughulikie sasa. imetosha. hatuwezi kuuvumilia wala kuufumbia macho. lema hana jeuri ya kujifanya kichwa ngumu na kumtukana mkuu wa nchi. kwani yeye ni nani??

Sio Lema tu,Pambana hata na Marais wa Afrika Mashariki.Wenye akili wanajua kuna tatizo Tanzania.
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

ni dini ya uislam pekee inayoruhusu kulipiza kisasi,msitake kuliangamiza taifa tafadhali
 
Mkuki mtamu kwa nguruwe,kwa binadamu mchungu"nchi hii haitatawalika"-nchi hii itamwaga damu-babu slaa!!
 
kitendo cha lema kumuombea rais kifo ina maana ndani yake kuna maandalizi anafanya ya kumuua rais. kitendo cha yeye kumtukana rais ina maana anatafuta uchokozi ili ajibiwe, t=rais hana muda mchafu wa kujibizana na mini kabang, hana muda wa kujibizana mjinga ambaye alikimbia umande, hata kusoma ni shida hadi asomewe na kuandikiwa, mwizi wa magari, mhuni na mpenda vurugu. tutamjibu sisi vijana na tuko tayari kumshughulikia ipasavyo

Hivi JK anaumwa nini, mara kuanguka, mara kutoa kauli za ajabu.

Siku akipelekwa The Hague muwe tayari kumsindikiza.
 
Naona unahangaika sana na Lema,

Kama una akili kidogo jiulize Lema anaweza kutangaza vita? uwezo huo ametoa wapi kama si wewe kujitoa ufahamu.

Wapi Rais ametangaza vita ? wapi Rais ameamlisha jeshi kufanya mauaji au mna hamu nayo ?.

Hivi kauli hii ya Lema kama ingekuwa imetakwa na kiongozi wa CCM pangekalika kweli ?
 
ni dini ya uislam pekee inayoruhusu kulipiza kisasi,msitake kuliangamiza taifa tafadhali

Mh! hulijui unenalo , ni mkristo gani akiporwa gari yake atatoa na nyumba yake kwa yule aliyempora gari?, mkristo wa dhehebu gani leo hii akiporwa shati lake atavua na suruali yake ampe yule aliyempora ? ni mkristo yupi leo hii akitukanwa mama yake matusi ya nguoni atasema basi mtukane na baba ?

Dhana ya kulipa kisasi katika uislam ni kwa aliyedhulumiwa haki yake ndugu, hivi nchi hii ingekuwa inaongozwa kwa sheria kikristo IDD Amin alivyovamia nchi yetu na kuu watu kule kagera tungempa na mkoa mwingine akaue zaidi???????
 
kitendo cha lema kumuombea rais kifo ina maana ndani yake kuna maandalizi anafanya ya kumuua rais. kitendo cha yeye kumtukana rais ina maana anatafuta uchokozi ili ajibiwe, t=rais hana muda mchafu wa kujibizana na mini kabang, hana muda wa kujibizana mjinga ambaye alikimbia umande, hata kusoma ni shida hadi asomewe na kuandikiwa, mwizi wa magari, mhuni na mpenda vurugu. tutamjibu sisi vijana na tuko tayari kumshughulikia ipasavyo

Mgekuwa mnaweka na academic qualifications zenu kwanza tuzione sio kupiga kelele tu, fulani alikimbia umande, mhuni n.k. wengi wenu hamna kitu vichwani. Utamshugulikia Mh. Lema kwa lipi ulilonalo na kuliweza ndugu yangu? Any way siku imepita.
 
Mkuki mtamu kwa nguruwe,kwa binadamu mchungu"nchi hii haitatawalika"-nchi hii itamwaga damu-babu slaa!!

akili za miccm utazijua tu!!!!! (diploma ni bora kuliko PHD)
kutokutawalika haimaanishi watu watapigana, inamaana utii wa sheria utashuka, mfano ni migomo ya wafanyabishara dhidi ya tra, migomo ya madereva wa daladala, malory, wakulima nao wanagoma, wafanyakazi wakwiba hakuna mfano wake, majangili yanazidisha ujangili mara dufu, polisi wanakula milungula ajabu ya mungu, mahakamani hakutolewi haki tena kumeparalyse, utu haupo tena magerezani.

KIKWETE KALIKOROGA, MSIPOMSAIDIA KULINYWA RIZMOKO ITAMUHUSU PAMOJA MWANAASHA.
 
wote wapenda ugaidi watatetea maneno ya jk kwa kuwa kumwaga damu kwao ni pepo.mabomu kanisani na kwenye mkutano ni matokeo ya matamko ya kigaidi.

sisi chadema tulianza na yesu na tutamaliza na yesu, aleluyah... lidumu kanisa, kidumu chama
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.
Ni suala la uelewa mdogo ulionao. It was straight forward kwamba Rais wa JMT anataka wanaCCM kulipa kisasi au kureact katika matukio ya vurugu yanayowakuta wanachama wake. Anajifanya hajui kabisa kuwa wanaccm pia wanaanzishaga vurugu na kuwapiga wanachama wa vyama vya upinzani. Nadhani wote tunakumbuka Mhe. Rage alipompiga mwanacdm Dodoma.

I expected angekemea matukio ya vurugu kwa wanasiasa na kuwaasa washindane kwa hoja na sio mabavu. Matokeo yake upeo wake na busara zake zimeelekeza watu wavamiane mwili. What a shame?
 
Back
Top Bottom