Kikwete hajaomba kuitwa 'Dr' na Watanzania tuache ushamba!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,593
8,734
Kama hajaomba kuitwa Dr au hatumii Dr basi tusilazimishe jina la Dr basi tu ili tumfananishe na wakina Dr Slaa. Dr Slaa anakipaji cha hali ya juu na kasomea PHD yake. Kikwete mwenyewe alimwambia President wa St. Thomas MN kwamba hajafikia kiwango cha kupewa Dr hata ya honorable.

Wikipedia

Recipients of an honorary doctorate may if they wish adopt the title of "doctor". In many countries, including the United Kingdom, Australia, New Zealand, and the United States, it is now a matter of personal preference should an honorary doctor use the formal title of "doctor", regardless of the background circumstances for the award. Written communications where an honorary doctorate has been awarded may include the letters h.c. after the award to indicate the status.
 
Hata hivyo CCM kuana madokta wa ukweli wenye heshima na unyenyekevu kama Dr.John Pombe Maghufuli ila wanabaniwa.Kwa nini Maghufuli hapewi wizara inayomfaa SIJUI
 
Kama hajaomba kuitwa Dr au hatumii Dr basi tusilazimishe jina la Dr basi tu ili tumfananishe na wakina Dr Slaa. Dr Slaa anakipaji cha hali ya juu na kasomea PHD yake. Kikwete mwenyewe alimwambia President wa St. Thomas MN kwamba hajafikia kiwango cha kupewa Dr hata ya honorable.

Wikipedia

Recipients of an honorary doctorate may if they wish adopt the title of "doctor". In many countries, including the United Kingdom, Australia, New Zealand, and the United States, it is now a matter of personal preference should an honorary doctor use the formal title of "doctor", regardless of the background circumstances for the award. Written communications where an honorary doctorate has been awarded may include the letters h.c. after the award to indicate the status.
Ndugu yangu ndiye aliyelazimisha kama mbinu ya kampeni ili naye aonekane ana sifa sawa na Dr. Slaa. Ikumbukwe sana kuwa mnamo mwaka 1995 CCM na Mkapa walitumia sana kuwa Mkapa anafaa kuongoza kwani karne ya 21 ni ya sayansi na teknolojia. Unajua kwa sababu gani? Mkapa alikuwa Waziri wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia. Hii ilikuwa na lengo la kumfanya aonekane kuwa amebobea katika nyanja hiyo wakati ukweli ni kuwa yeye ni bingwa wa lugha na fasihi ya Kiingereza. Lakini mbinu hiyo ilifanya kile ilichokusidiwa kuwazuga Watanzania wasiojua ukweli wa mambo.
Hivyo Kikwete kutumia cheo cha Udakta ilikuwa ni kuwachanganya wapiga kura na kuwafanya waone kumbe Kikwete na Dr. Slaa wana elimu sawa wakatik kikwete ana shahada moja tu ya uchumi ambayo hata haijasasishwa kwa mafunzo ya mara kwa mara.
 
Inawezekana aliwaambia wale jamaa wa tbc wamwite hivyo manake ndo walianza kumwita hivyo, all in all kupewa honorary ni vizuri but ni ushindi wa mezani, alitaka kujilinganisha na madr wa ukweli akiwepo mkuu wangu Dr Slaa!
 
Angekuwa hapendi angeshatoa tamko..hata hivo utawala wake wenyewe ni wa elimu-mashogholo kwa kuwakumbatia watu wenye vyeti vya vyuo visivyo na viwango..Sasa u tell me, nani wa kumfunga paka kengele hapo!
 
- Hivi mtu akiwa na PhD, kuitwa Doctor ni lazima aombe kwanza? au kuna something I am missing hapa?

William.

Kama JK mwenyewe alisema hajafikia kiwango cha kuwa Dr hata wa heshima, wanaomwita Dr ni wale wanaojipendekeza kwake. Kupewa title kunatokana na maendeleo fulani au achievement fulani . Msichana hawezi kuitwa mama kabla hajazaa, mwanaume huwezi kutwa baba kama huna mtoto, Nyerere aliiwa mwalimu kwa sababu alifundishwa, mwizi anaitwa mwizi kwa kuwa ameiba. So ukiangalia hayo unaweza kuona kuwa wanaomwita JK Dr wanajipendekeza.

Tusubiri anapoapishwa kama akijiita Dr JK hapo tunaweza kuanza kumlalamikia, lakini kwa sasa lawama ziwaendee wale wanaomvika kilemba cha ukoka.
 
- Mkuu kwani anayo PhD au hana? Mimi ninafikiri kama anayo kutompa heshima yake ni kukosa ustaarabu, kama tatizo ni policies zake then tu-deal na policies zake, lakini tusianzishe taifa la chuki potofu za kufikia kutoheshimiana kwa sababu tu ya siasa, siasa ni siasa na utu wa mtu na accomplishment zake katika maisha zinabaki pale pale, Dr. Slaa ni Dr. Slaa hata kama sipendi siasa zake lakini ni lazima niheshimu accomplishments zake kimaisha na hasa kama sina,

- Siasa ina mwanzo na mwisho wake katika maisha ya mwanandam tusichanganye ishus!

Mkuu unasema kweli, hata mimi sioni kuwa ni haki kumshambulia JK as a person, hakuna binadamu perfect. Kila mara huwa nasema as a person JK ni mtu poa sana, na ni mtu wa watu. Lakini as a president he is quite different person, katika miaka mitano iliyopita hakuna kitu tangible tunachoweza kusema tumekipata kutoka kwenye Presidency ya JK, ila amejitahidi kuongoza kwa utulivu serikali yenye msukosuko toka day one. When it comes to shule ya JK sikumbuki kusikia ni wapi alisomea elimu ya juu MA, na wapi alisomea PhD. Nafahamu kuwa ana shahada ya uchumi kutoka mlimani. Kwa hiyo ni hakli kabisa kumuita mchumi.

Unajua hii issue ya JK kuitwa Dk imeibuka tu hivi karibuni, ndio maana inaleta viulizo. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa juu wa nchi anatakiwa kuheshiwa na na pia kwa maoni yangu si vizuri kumtumia ku-abuse elimu na taaluma. Inaweza kulinganishwa na afande sele kuitwa afande wakati hata mgambo hajawahi kwenda, au ni sawa na kumuita Profesa maji marefu profesa wakati hata kidato hajaruka. Naona ni kama kumdhalilisha Rais.

Sasa ujinga kama huu ni vizuri ukibaki huko chini usiingizwe kwa president na kwenye presidency. Kama ni kweli JK ameacomplish academically anastahili kuitwa Dr, na ikiwezekana ni vizuri isemwe lazima tuheshimu accomplishment zake kwa kumuita Dr. Otherwise itakuwa utoto na uswahili, kama wa afande sele au Profesa maji marefu.
 
Unajua hii issue ya JK kuitwa Dk imeibuka tu hivi karibuni, ndio maana inaleta viulizo.
Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa juu wa nchi anatakiwa kuheshiwa na na pia kwa maoni yangu si vizuri kumtumia ku-abuse elimu na taaluma. Inaweza kulinganishwa na afande sele kuitwa afande wakati hata mgambo hajawahi kwenda, au ni sawa na kumuita Profesa maji marefu profesa wakati hata kidato hajaruka. Naona ni kama kumdhalilisha Rais.

Sasa ujinga kama huu ni vizuri ukibaki huko chini usiingizwe kwa president na kwenye presidency. Kama ni kweli JK ameacomplish academically anastahili kuitwa Dr, na ikiwezekana ni vizuri isemwe lazima tuheshimu accomplishment zake kwa kumuita Dr. Otherwise itakuwa utoto na uswahili, kama wa afande sele au Profesa maji marefu.

- As a matter of FACT, alipewa PhD akiwa Ankara, Turkey hivi karibuni kwa hiyo anayo, au?

Mkuu PhD hawapewi, wanaitafuta, you sweat for it. Unatakiwa kuandika paper na ku-idefend intelligently, academicaly and scholary, not politically. A PhD is not a political award. Forget about the honorary crap which a number of universities use leaders who they honor these degrees to boost their public image. You can not call that PhD.

If you bring these kind of Doctors even among MA graduates you can see a very huge gap. So to answer your question, i would not call it a Phd,
 
- Mkuu Mwalimu alikuwa Doctor na hakufanya paper mahali popote, Dr. Salim pia na wengineo wengi sana, anyways Demokraisa inaruhusu mwananchi kufanya anachotaka, ikiwa ni pamoja na uamuzi wako wa kukataa PhD ya kupewa, mimi ninamheshimu yoyote yule aliyenayo kama ya kupewa au ya kuisomea, mradi sio ya feki tu.

- Mambo mengine kwenye maisha ni it is what it is!

William.
 
Mkuu unasema kweli, hata mimi sioni kuwa ni haki kumshambulia JK as a person, hakuna binadamu perfect. Kila mara huwa nasema as a person JK ni mtu poa sana, na ni mtu wa watu. Lakini as a president he is quite different person, katika miaka mitano iliyopita hakuna kitu tangible tunachoweza kusema tumekipata kutoka kwenye Presidency ya JK, ila amejitahidi kuongoza kwa utulivu serikali yenye msukosuko toka day one. When it comes to shule ya JK sikumbuki kusikia ni wapi alisomea elimu ya juu MA, na wapi alisomea PhD. Nafahamu kuwa ana shahada ya uchumi kutoka mlimani. Kwa hiyo ni hakli kabisa kumuita mchumi.

Unajua hii issue ya JK kuitwa Dk imeibuka tu hivi karibuni, ndio maana inaleta viulizo. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa juu wa nchi anatakiwa kuheshiwa na na pia kwa maoni yangu si vizuri kumtumia ku-abuse elimu na taaluma. Inaweza kulinganishwa na afande sele kuitwa afande wakati hata mgambo hajawahi kwenda, au ni sawa na kumuita Profesa maji marefu profesa wakati hata kidato hajaruka. Naona ni kama kumdhalilisha Rais.

Sasa ujinga kama huu ni vizuri ukibaki huko chini usiingizwe kwa president na kwenye presidency. Kama ni kweli JK ameacomplish academically anastahili kuitwa Dr, na ikiwezekana ni vizuri isemwe lazima tuheshimu accomplishment zake kwa kumuita Dr. Otherwise itakuwa utoto na uswahili, kama wa afande sele au Profesa maji marefu.

Mkuu fuatilia vizuri maisha ya Afande sele.....Huyo aliwahi kuwa mjeshi kabisa wa kambini
 
- Mkuu Mwalimu alikuwa Doctor na hakufanya paper mahali popote, Dr. Salim pia na wengineo wengi sana, anyways Demokraisa inaruhusu mwananchi kufanya anachotaka, ikiwa ni pamoja na uamuzi wako wa kukataa PhD ya kupewa, mimi ninamheshimu yoyote yule aliyenayo kama ya kupewa au ya kuisomea, mradi sio ya feki tu.

- Mambo mengine kwenye maisha ni it is what it is!

William.

Mkuu nakubaliana na wewe kwa hilo, that is the way of life. Na demokrasia inaturuhusu kufanya hivyo. Hata hivyo wote uliowataja nawaheshimu na wanaheshimiwa, hata kama majina yao yasingekuwa na hizo title bado nawaheshimu sana.
 
Mkuu unasema kweli, hata mimi sioni kuwa ni haki kumshambulia JK as a person, hakuna binadamu perfect. Kila mara huwa nasema as a person JK ni mtu poa sana, na ni mtu wa watu. Lakini as a president he is quite different person, katika miaka mitano iliyopita hakuna kitu tangible tunachoweza kusema tumekipata kutoka kwenye Presidency ya JK, ila amejitahidi kuongoza kwa utulivu serikali yenye msukosuko toka day one. When it comes to shule ya JK sikumbuki kusikia ni wapi alisomea elimu ya juu MA, na wapi alisomea PhD. Nafahamu kuwa ana shahada ya uchumi kutoka mlimani. Kwa hiyo ni hakli kabisa kumuita mchumi.
Unajua hii issue ya JK kuitwa Dk imeibuka tu hivi karibuni, ndio maana inaleta viulizo. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa juu wa nchi anatakiwa kuheshiwa na na pia kwa maoni yangu si vizuri kumtumia ku-abuse elimu na taaluma. Inaweza kulinganishwa na afande sele kuitwa afande wakati hata mgambo hajawahi kwenda, au ni sawa na kumuita Profesa maji marefu profesa wakati hata kidato hajaruka. Naona ni kama kumdhalilisha Rais.

Sasa ujinga kama huu ni vizuri ukibaki huko chini usiingizwe kwa president na kwenye presidency. Kama ni kweli JK ameacomplish academically anastahili kuitwa Dr, na ikiwezekana ni vizuri isemwe lazima tuheshimu accomplishment zake kwa kumuita Dr. Otherwise itakuwa utoto na uswahili, kama wa afande sele au Profesa maji marefu.

Point sana.hapo wakubwa mmenena kikubwa
 
- As a matter of FACT, alipewa PhD akiwa Ankara, Turkey hivi karibuni kwa hiyo anayo, au?

William.
Siyo kung'ang'ania tu kuwa kapewa. Soma maelezo ya TCU hapa chini uchambue na utuambie uhalali ya degree hiyo na chuo hicho kilichotoa degree hiyo. Anaweza akawa amepewa kitu fake

TCU warns against "diploma mills"

Posted by admin in News on 08 10th, 2010 | no responses

The Tanzania Commission for Universities has warned prospective students and awardees of honorary degrees in East Africa against being duped by rampaging degree -mill institutions that are currently masquerading in the region dishing out fake degrees.
Prof. Mayunga Nkunya, TCU Executive Secretary said in a statement, "TCU has noted with great concern that in recent years, there has been a proliferation of honorary degree awards being conferred to a number of highly respected dignitaries around Africa. It is not surprising to find that over the last decade a good number of VIPs have been awarded such degrees by institutions whose credibility is (questionable)."
TCU's mandate is to audit quality, monitor quality assurance, of universities, regulate, validate and equate degrees, diploma and certificate awards conferred by Tanzanian and foreign institutions.
Prof. Nkunya said some of these fake institutions have gone ahead to reap off the supposed beneficiaries of their degrees by asking them to "contribute" thousands of dollars toward "development of the universities", allegedly to support the institution. TCU clarified that honorary degrees are titular and therefore cannot be used to secure employment and therefore nobody should pay for pay any fee for them.
 
Back
Top Bottom