Kikwete frustrated at the UN?

Labda JK hana kipaji cha kusoma hotuba. Hii inatokea sana.. Kwa mfano Mkapa alikuwa anatumia nguvu nyingi sana alipokuwa akihutubia, wakati Mwinyi mzee wa ruska alikuwa akiipamba sana hutuba zake na kujaza maneno yenye mvuto.. Huku Nyerere akihutubia kwa kuweka vionjo mbalimbali ndani yake.

Hili linatokea sana, unaweza kuwa mahili wa kutunga na kuandika lakini ukawa sio mahili kusimama na kuhutubia kile ulichoandika. Mfano Mwanakijiji anauwezo wa kuandika makala kibao kwa ustadi wa hali ya juu, lakini anapokuja kutangaza kwenye redio yake siku zote hukwama kwama... haya yote hutokea.
 
I really hate to agree with you but I have to!!!! Umesema kweli kabisa. Kwa mfano, Obama akiwa anaongea huwa anakwama kwama...lakini akiwa anasoma hotuba kwenye teleprompter baadhi ya watu huzimia kabisa.
 
kibunango,

..nadhani kinacholalamikiwa hapa ni kutoonekana kwa mabadiliko yoyote yale ktk suala zima la utoaji hotuba wa Raisi wetu.

..Mkapa alipoanza alikuwa stiff sana, lakini baadaye akaanza kuwa relaxed. Mkapa improved a lot kadiri muda wa Uraisi wake ulivyokuwa ukienda.

..Mwanakijiji naye alipoanza alikuwa na kigugumizi kuliko hiki alichonacho sasa hivi. tuliona jinsi alivyotafuta ushauri, na kuufanyia kazi. he has long way to go, lakini hatua aliyopiga siyo ndogo.

Nyani McCain said:
Mimi sijawahi kusema vijana wapowe nafasi kiholela holela tu.....wapewe nafasi vijana wenye uwezo. Kwanza kwangu mimi hapendwi mtu, ninachomaindi ni competence ya mtu. Awe mwanamke, mwanamume, tranny,kijana, mzee,etc.....I really don't care. Competence is what I care for.

Nyani McCain,

..tatizo hapa Raisi ndiyo incompetent, lakini wengine wamewang'ang'ania washauri wake.

..kusukumizia lawama washauri wa viongozi, badala ya viongozi wenyewe ni utamaduni wetu wa-Tanzania.

..sasa kama inafikia mpaka Raisi anachelewa kutokea kwenye venue, tena UN-General Assembly, mnategemea washauri watamsaidia vipi?

..suala la Kikwete kuchelewa, au kutokutokea kabisa, kwenye mikutano/miadi siyo habari mpya. personally nimeisikia tangu mwaka 1995 alipokuwa waziri wa fedha. yaani alikuwa akiwagandisha wafadhili hata wakati ule tulipokuwa na hali mbaya kifedha.

..makosa yenu ya kuchagua Raisi bomu, mnataka kumsukumizia lawama kijana wa Makamba.
 
Obama is a careful speaker, he weighs every word before speaking.That is a virtue, to the contrary Plain Palin and Pain McCain are priding in their nonsensical attitude of "not blinking"

Back to Kikwete, Kikwete hawezi kuandika, hawezi kusoma, hawezi hisabati, hajui Kiswahili, hajui Kiingereza, uchumi aliosomea hajui, jeshi alikopitia amepita kisiasa tu.

Kitu pekee anachojua ni ku-kiss ass, na sasa yeye ndiye rais Tanzania hajui hata kuwa rais kwa sababu in the subconscious bado anamtafuta rais ampe maelekezo.
 
Nyani, are you suggesting kwamba Obama si mzungumzaji mzuri bila teleprompter?...

That's exactly what I'm saying. Wakati yuko kwenye summer camp tour yake kule mashariki ya kati, kuna siku alikutwa na kigugumizi cha ajabu! Na hiyo haikuwa mara ya kwanza. Ni mara kibao tu kwenye campaign trail huwa ana stammer.

Nikupe mfano murua wa mtu anayetoa/ aliyekuwa anatoa hotuba off the top of his head bila kigugumizi....angalia hotuba ya MLK ya mwisho, I've been to the mountain top' au angalia interviews zake kwenye Meet The Press kwenye youtube, he had no teleprompters, but the speeches and the interviews were great.

Hata kile kipande cha "I have a dream" hakikuwa kwenye spichi ilikyokuwa imeandikwa. He veered off and the rest was history.

Au angalia ile spichi ya Bill Clinton aliyoitoa mwaka 93 au 94 kufagilia NAFTA. Hata Bush 41 mwenyewe alizimia na kusema that's why I'm on the outside looking in.....na hakuwa anasoma kwenye prompter...
 
Obama is a careful speaker, he weighs every word before speaking.That is a virtue, to the contrary Plain Palin and Pain McCain are priding in their nonsensical attitude of "not blinking"

Back to Kikwete, Kikwete hawezi kuandika, hawezi kusoma, hawezi hisabati, hajui Kiswahili, hajui Kiingereza, uchumi aliosomea hajui, jeshi alikopitia amepita kisiasa tu.

Kitu pekee anachojua ni ku-kiss ass, na sasa yeye ndiye rais Tanzania hajui hata kuwa rais kwa sababu in the subconscious bado anamtafuta rais ampe maelekezo.

Oh yeah, he does especially when he said people cling to guns and religion and whether life begins at conception or not was above his pay grade.
 
Mnashangaa ya UN? Hamkuiona interview yake na Dr Shaka Sali wa VOA pale ikulu ya Magogoni? Kigugumizi kilipanda over 100%, tatizo ni kujiandaa kibishoo. Nikionekana hivi nitakuwaje? Nikiongea hivi je Bush atasemaje? ............Jipya hapo ni la afya, linahitaji ufafanuzi wa kina kwa kweli.........
 
Ila na sisi tumezidi kukosoa na ni rahisi mno kwa sisi kukosoa lakini tukipewa nafasi kama aliyonayo yeye wengi wetu usikute tukaganda kabisa.
 
Oh yeah, he does especially when he said people cling to guns and religion and whether life begins at conception or not was above his pay grade.

Tatizo la Wamarekani mtu akiwa careful speaker wanasema yuko scripted and wooden, akiwapa ukweli na kuacha kuwa politically correct anapata backlash.

Obama yuko right on both counts, ile ya kwanza ni kweli, lakini kuna vi-ukweli fulani huwa havisemwi hadharani, not by presidential aprirants, kwa hiyo kama alifanya kosa ni kwamba tu alikuwa too honest.Kuna wajinga wanataka a paint a political picture, kama vile McPain anavyosema sasa "The Fundamentals of The American economy are strong" wakati Wall St is tumbling down, not only is Humpty Dumpty falling down but the Wall he was on is falling down.

Kwenye suala la above his pay grade huyu mtu anaonyesha humility na thoughtfulness ya hali ya juu. Kama wewe huwezi kumtengeneza mtu (and I don't mean by just getting / getting somebody pregnant, I mean like assembling a baby from scratch) you will certainly be very pretentious to pretend to know when does like begin.You can set a standard for all like minded people to agree that this is where life begins, but you cannot say that this is certainly when life begins.

I think it is things like these that makes Senator Obama very appealing, a different brand of politics, a politician who is not embarassed to say that he does not have every answer.As a humble great man of philosophy once said, to know that you don't know is the beginning of real knowledge.

Sadly, the McCain-Palin team does not have this brand of humility, and is too ready to dash off to war and then "pray that God is on our side" (Palin actually said that when sending the troops -including her sacrifical lamb son- from Alaska).They can't be serious, so what are they saying? That they will lobby God to be on their side whether they are right or wrong? I mean they don't even have the fake humility to pray first for guidance that they do the right thing, they want to send troops first and pray later. What a bunch of jokers.
 
Rais wetu nia ya kuhutubia vizuri anayo, sababu ya kuhutubia vizuri anayo ...

Hebu cheki Muungwana alivyokonga nyoyo za wasomi huko Marikani mara tu baada ya kuukwaa Urais kama huu mjadala hapo chini uliodondolewa kutoka kwenye tovuti hii ya wazi ya wasomi hao unavyodhihirisha: Tanzania Studies Association | Google Groups.

------------------------------------------------------------------------------------
... Thanks very much for the information you sent regarding President
Kikwete. It seems to have been put to good use by the University of St.
Thomas, as indicated by the attached. The award they gave him was
reported, too, in Tanzania - see Top American university award Kikwete honorary degree All the best,
....
________________________________

Subject: President Kikwete
Dear ..., I thought you would like to know that as of yesterday, President Kikwete is an alumnus of the University of St. Thomas. He is a charming, energetic, and deeply committed leader, and made a huge impression on our campus. Thank you so much for your help with background information that enabled us to prepare the citation. (The information also gave us context that helped us have much better conversations with President Kikwete than we would otherwise have had.) I am attaching a copy of the citation just FYI. If it is appropriate to do so, perhaps you could pass my thanks on to
those on the listserv who contributed information in response to your call. All best wishes,..

Kikwete citation.doc
33K Download

Tanzania president.doc
30K Download
------------------------------------------------------------------------------------
 
Tatizo la Wamarekani mtu akiwa careful speaker wanasema yuko scripted and wooden, akiwapa ukweli na kuacha kuwa politically correct anapata backlash.

Obama yuko right on both counts, ile ya kwanza ni kweli, lakini kuna vi-ukweli fulani huwa havisemwi hadharani, not by presidential aprirants, kwa hiyo kama alifanya kosa ni kwamba tu alikuwa too honest.Kuna wajinga wanataka a paint a political picture, kama vile McPain anavyosema sasa "The Fundamentals of The American economy are strong" wakati Wall St is tumbling down, not only is Humpty Dumpty falling down but the Wall he was on is falling down.

Kwenye suala la above his pay grade huyu mtu anaonyesha humility na thoughtfulness ya hali ya juu. Kama wewe huwezi kumtengeneza mtu (and I don't mean by just getting / getting somebody pregnant, I mean like assembling a baby from scratch) you will certainly be very pretentious to pretend to know when does like begin.You can set a standard for all like minded people to agree that this is where life begins, but you cannot say that this is certainly when life begins.

I think it is things like these that makes Senator Obama very appealing, a different brand of politics, a politician who is not embarassed to say that he does not have every answer.As a humble great man of philosophy once said, to know that you don't know is the beginning of real knowledge.

Sadly, the McCain-Palin team does not have this brand of humility, and is too ready to dash off to war and then "pray that God is on our side" (Palin actually said that when sending the troops -including her sacrifical lamb son- from Alaska).They can't be serious, so what are they saying? That they will lobby God to be on their side whether they are right or wrong? I mean they don't even have the fake humility to pray first for guidance that they do the right thing, they want to send troops first and pray later. What a bunch of jokers.

Kwa mtu anayepima na kuchagua maneno yake kama unavyodai Obama anafanya, basi angepima implications, fallout, na mengine kabla ya kusema aliyosema (hayo niliyoyataja kwani kuna mengine mengi tu). Mfano, McCain akisema weusi wengi ni wavivu na wahalifu (which is true to a degree) kutakuwa na outrage ambayo hujapata kuiona. Lakini hawezi kusema hivyo na sidhani hata kama atagusia kwa namna moja au nyingine. Huyo Biden mwenyewe alivyosema Obama ni smart,fresh, new, na clean, tayari watu wakaanza kudhani labda alikuwa kulikuwa na racial overtones or undertones (whatever the heck that means). So much for him....

Anyway, sitaki kuteka nyara mjadala huu. Kuna thread ya Obama kama unataka njoo nikuchinje na panga huko (machete murdering..lol)
 
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana alikuwa yuko frustrated kila akikosea na kufanya ile "chi" ya kiswahili kama msonyo fulani hivi.

Alikuwa anajaribu kuzungumza kwa haraka lakini nadhani maneno yake yalikuwa yanakimbia zaidi ya maandishi aliyokuwa anasoma. Najaribu kuwawekea hotuna nzima klhn na unaweza kuiona pia kwenye UN website.

Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?

Ana wasiwasi na yaliyomkuta Mbeki ywaeza kumkuta na yeye!
 
Kama alivyoteleza Kuhani na wewe uliteleza. Hakuna ubalozi wa DC. Blah blah blah . Case closed. Samahani. Najua niliahidi lakini I couldn't help myself.

Tanzania tuna ofisi za ubalozi, DC na UN, Mkapa hakuwahi kuwa balozi UN, lakini aliwahi mkuwa blaozi DC, hii ni fact

Kwenye hili you can jump or cry, lakini huwezi kubadili ukweli, kwamba Mkapa hakuwahi kuwa balozi UN, kama alivyosema bosi wako, a pure nonesense! na it has nothing to do na kuteleza,

kuteleza my foot! Kuteleza na DR. Masau?
 
Dr.Who......?
 
Ok vipi kuhusu katibu mkuu wa rais maana yeye hata wakimwandikia hawezi kusoma. nakuwa na wasiwasi kama alipitia darasa la 123 maana anavyosomaga utafikiri ni mkenya anayejifunza kiswahili
 
Huyu jamaa namsikia sikia tu....who the hell is this guy? Ana uzoefu gani katika mambo ya kuandika spichi? Au uzoefu wake kautoa youngafrican kubishana na kina Critic na Bill Powers.....

Una maana anamvi kiasi gani......suala ni uwezo na kumjua rais wake anachokitaka...huu utamaduni wa "uzoefu" hii sio zama zake....ama mmeshasahau ARI MPYA.....Uthubutu wa kuamini vijana ndio ARI MPYA yenyewe. Wazee wengi hawauwezi mchakamchaka wa ARI MPYA na kukimbilia kutafuta sababu nyingine za kushindwa kwao. Tuwaamini vijana wenye uthubutu na uwezo. Kama huyo muandishi wake ambaye sie pekee kimajukumu anakosa hayo ndio tuseme.

By the way huyu jamaa alikuwa naye tangu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na akampiku huyo mzoefu aliyekuwa naye.

Tanzanianjema
 
That's exactly what I'm saying. Wakati yuko kwenye summer camp tour yake kule mashariki ya kati, kuna siku alikutwa na kigugumizi cha ajabu! Na hiyo haikuwa mara ya kwanza. Ni mara kibao tu kwenye campaign trail huwa ana stammer.

Nikupe mfano murua wa mtu anayetoa/ aliyekuwa anatoa hotuba off the top of his head bila kigugumizi....angalia hotuba ya MLK ya mwisho, I've been to the mountain top' au angalia interviews zake kwenye Meet The Press kwenye youtube, he had no teleprompters, but the speeches and the interviews were great.

Hata kile kipande cha "I have a dream" hakikuwa kwenye spichi ilikyokuwa imeandikwa. He veered off and the rest was history.

Au angalia ile spichi ya Bill Clinton aliyoitoa mwaka 93 au 94 kufagilia NAFTA. Hata Bush 41 mwenyewe alizimia na kusema that's why I'm on the outside looking in.....na hakuwa anasoma kwenye prompter...

Na ninyi mnaboa sana na huu mtindo wa kuchukulia huko mliko kama ndio kioo cha kulinganisha ama kuhindanisha mambo yote...

Ina maana hapa kwetu Tanzania hakuna mwanasiasa wa kumtumia kumlinganisha ama kumshindanisha na rais wenu (i mean rais wetu maana wengine utanzania mnaosema hapa sio wa kifikira bali wa damu) hadi mkimbilie hao wanasesere wa kimagharibi......

Tanzanianjema,

Anayezungumziwa na Nyani ni Obama na si Kikwete!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom