Kikwete frustrated at the UN?

The funny thing is watu washachukuliwa "msekule" na mwanakijji, hivi mmeisikiliza hiyo hotuba ua mnachukua side ya mwana kijiji kibubusa tu?
 
The funny thing is watu washachukuliwa "msekule" na mwanakijji, hivi mmeisikiliza hiyo hotuba ua mnachukua side ya mwana kijiji kibubusa tu?

All I know is we are joke in everything.....so I don't really care to even watch and/ or listen to it.
 
Naskia wote wagonjwa,yule official na yule wa kampeni

Mbona yule mwenye rangi anazopenda yule ankali wa Istimidlendz nilikutana kule alipo na ni mzima wa afya tuu? sema kazidi kuwa mzuri sasa sijui kwa umbali ule jamaa analinda vipi mali zake...lakini kwa lokesheni yenyewe kule hakuna viwembe kama kule kwa ankali.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa wa mapenzi tuuu.
 
Nimemaliza kuweka hotuba nzima kwenye klhn sijui kama imeshapanda yote au vipi. Huhitaji kuniamini kwa sababu hii ni kitu ambacho mtu yeyote ataweza kuangalia na kuamua.
 
Mtoto wa Makamba, kwa jina Januari. Hata muda wa kumfanyia mzee research hana maana yuko busy na vijitoto 24 hours!

He! Naye keshaanza mambo ya vitotoz? Mimi nilidhani huyu ni serious na mwadilifu.
 
..Kikwete amekuwa serikalini kwa zaidi ya miaka 20 na hata siku moja hakuchomoza kama kipanga.

..mtawalaumu hao ma-speech writer lakini tatizo mnajua liko kwa Raisi mwenyewe.

..imekuwa utamaduni wa wa-Tanzania kulaumu washauri, kwa udhaifu na mapungufu ya viongozi wetu, haswa Maraisi.
 
Mtoto wa Makamba, kwa jina Januari. Hata muda wa kumfanyia mzee research hana maana yuko busy na vijitoto 24 hours!
...Makamba huyu huyuuuuuuuuuuuu wa Sisiem au Makamba yupi??

Wanataka kufanya nchi ya wakwere na wasambaa nini??
 
Hata Mzee Rhuksa was a better orator than this President.

Unajua huyu mzee alikuwa mjanja sana na makini sana na mazingara aliyomo wakati wowote ule, hakuwa na uwezo mkubwa wa kuongoza, alilijua sana hilo kwa hiyo mara nyingi sana alikuwa akiwasakizia wengine,

Sehemu kama hizi alikuwa akimtumia sana Chokala na hakuwa na maneno mengi, na hakupenda sana sifa na mbwembwe, kwa sababu siku zote yeye hakuwa na anything to prove, ndio maana mpaka leo kwenye private hutamba sana kuwa hakuwahi kutaka kupinduliwa hata mara moja kwa sababu hudai anatujua sana watu wa bara na kupenda misisfa, ukitaka kuelewana nao wape nafasi ya kupata misifa tu, ni kweli!

Hapa UN anmgemuomba Chokala, amuandikie maneno mafupi sana na to the point, ninakumbuka wakati mmoja the ishu ilikuwa ni wakimbizi wa Burundi na kutuvamia bongo, aliweka maneno machache sana na aliwachekesha sana kule UN, aliposema kuwa hawa watu wametumalizia mpaka ma-watermelons, hatuna cha kuwalisha tena UN isaidie wakati waungwana mle wanakufa mbavu Mwinyi alishaondoka mbele hayupo,

lakini sasa hizi mbwe mbwe nyingi, kinachosemwa hakieleweki, mwe Tanzania mweeeee! Halafu mind you wajumbe wengi mle wanamkumbuka sana Mwalimu na kina Salim, lazima wanashangaa sana!
 
Jasusi said:
Hata Mzee Rhuksa was a better orator than this President

Jasusi,

..i read that Balozi Sefue started as Mwinyi's speech writer, before being recruited by Mkapa.

..kuna tofauti kubwa sana kati ya hotuba za Mwinyi na zile za Mkapa.

..nadhani speech writers wanampima mtoa hotuba na kuamua waandike hotuba ya aina gani.
 
jamani nimeona Jk akisema kujiuzulu kwa Mbeki is a great loss to Africa, je amewaonaq wa South ni wajinga? Ki-protocol inaruhusiwa au? na Je ianzishiwe thread yake au ijadiliwe hapa hapa.
 
jamani, kuna mtu anaweza kuiona hiyo hotuba kwenye KLHN au ndio nimeweka picha tu; siwezi kuona hapa nilipo kwa sababu niliiweka huko usiku wa manane baada ya kuniletea mawenge.
 
The funny thing is watu washachukuliwa "msekule" na mwanakijji, hivi mmeisikiliza hiyo hotuba ua mnachukua side ya mwana kijiji kibubusa tu?

Masatu swala siyo kuchukuiwa msukule na mkijiji hebu angalia katuni hii hapa ya mwananchi inasema mengi zaidi, juu ya hotuba hii! Mweeee!! mkulu wetu kwa kupenda misifa ya nje huku nyumbani kunawaka moto, kazi ipo!

http://www.mwananchi.co.tz/kp_leo/kpleo.htm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom