Kikwete fanya maamuzi magumu sasa

magumu yaapi? hayo wewe ndo unayaona magumu. mwenyewe anayaona mepesi kabisa...sidhani kama keshawahi kuface uamuzi mzito zaidi ya kukubali EL kujiuzulu...hayo mngine ni magumu kwenu sio kwake
 
<br />
<br />
na maamuzi magumu aliyosema lowasa ni yepi? Au lowasa hajui anachoongea maana jk alishafanya hayo maamuzi magumu?
 
Back
Top Bottom