Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,246
- 34,196
Huyu jamaa alishapigwa chini? Au ni ndugu yake?Mheshimiwa disiiView attachment 919672
Huyu jamaa alishapigwa chini? Au ni ndugu yake?Mheshimiwa disiiView attachment 919672
Huyu jamaa na kukaa na pisii yote hayo lakin bado akagushi pyechidii?Enzi zake mkemia akiwa UDSMView attachment 919686
Mo atalet za Sykes, subirPichani Mwalimu akiwa na umri wa miaka 20 (kijana mdogo kabisa )
View attachment 920584
Picha zingine akiwa kijana
View attachment 920587
View attachment 920585
View attachment 920583
My Take
- Ni kweli kuna picha chache sana za Mwalimu J.K.N akiwa kijana
- Nadhani hili linachangiwa wa mazingira ya wakati huo, Picha ilikuwa ni kwa matukio maalum na wakati mwingine kutokuwepo kwa wapiga picha katika eneo husika hadi usafiri kwenda mji mwingine kupata huduma ya picha studio.
- Nimuombe ngugu Mohamed Said na wana JF wengine kama wanapicha za Mwalimu akiwa kijana atuwekee hapa Jukwaani kwa manufaa ya wengine pia.
Ahsante
PM MajaliwaView attachment 923978
Huyu wa kulia yupo jela nasikia
Hivi!!....naona muonekano wa zamani ulikuwa okey kuliko janaEnzi zake mkemia akiwa UDSMView attachment 919686
cheki magari ya ikulu sasa