Kikwete enzi hizo

PM Majaliwa
IMG_20181106_220312.jpeg
 
Pichani Mwalimu akiwa na umri wa miaka 20 (kijana mdogo kabisa )
View attachment 920584

Picha zingine akiwa kijana
View attachment 920587

View attachment 920585


View attachment 920583


My Take
- Ni kweli kuna picha chache sana za Mwalimu J.K.N akiwa kijana
- Nadhani hili linachangiwa wa mazingira ya wakati huo, Picha ilikuwa ni kwa matukio maalum na wakati mwingine kutokuwepo kwa wapiga picha katika eneo husika hadi usafiri kwenda mji mwingine kupata huduma ya picha studio.
- Nimuombe ngugu Mohamed Said na wana JF wengine kama wanapicha za Mwalimu akiwa kijana atuwekee hapa Jukwaani kwa manufaa ya wengine pia.

Ahsante
Mo atalet za Sykes, subir
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom