Kikwete Dodoma, CCM wahofia kukosa watu, orijino komedi na wasanii wengine kutumbuiza

King Suleiman

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
496
327
Salaam wana JF,
leo kikiwete yupo Dodoma kwaajili ya sherehe za ccm pamoja na maandamano mpaka uwanja wa Jamuhuri. Mwenyekiti huyo wa chama ni mgeni rasmi

kwa kuhofia kukosa watu kwa mwamko wa kimageuzi uliopo sasa hivi CCM wamelazimika kukodi wasanii kibao wakiwemo akina Masanja wa original Komedi ili kuvutia wahudhuriaji.

Na kama kawaida malori na pick up za kutosha zinabeba watu toka pembeni mwa mjini na miji mingine waje wamsikilize mwenyekiti wa chama maana watu wa mjini wabishi.

my take,
kwa sasa CCM wamekosa sera makini na wananchi wamewachoka, wanalazimika kutumia nguvu ya ziada kuvutia wasikilizaji, ni aibu kubwa kwa kweli.
 
Wafanye kama mbeya watu walienda kabao walipomaliza kutumbuiza uwanja ubaki wazi!!
 
Wafanye kama mbeya watu walienda kabao walipomaliza kutumbuiza uwanja ubaki wazi!!

mkuu hawa sasa hivi wamekosa mvuto, wanajua bila manjonjo ya wasanii hakuna watu. Toka lini watu wakapendanda uongo wao na kufarijiwa kwamba kuna amani wakati maisha magumu? Shame on them
 
Leo ni siku ya Majonzi sana katika Tanzania, mana chama kilichotupa umasikini mkubwa hivo kinaazimisha siku yake ya kuzaliwa.
 
mwanzo wa mwisho huo... mtu ukake juani huna pesa ya chakula?
 
Hivi chama huwa ni cha wanachama? au viongozi ndio wana wanachama.
Chama kinaendeshwa na wanachama au wanachama wanaendeshwa na viongozi.
If you train your lover that love is money, then be ready to bear the expenses.
 
Usiwe na wasi, kibali cha maaandamano ndo hivyo kinatengenezwa leo masaa 24 kabla ya maandamano. Every thing is posible with us. inteligensia poa sana.
 
Ni aibu kwa ccm DOm wanatafuta kila linalowezekana kupata washerekeaji lakini wapi,uwanja unapendezeshwa na watoto wa Shule za MSINGI.Malori yanachukuwa wazee na watoto kutoka vijijini kuwaleta uwanjani.

Hii imekaaje jamani wana JF hasa kwa CHAMA chenye DOLA?
 
Back
Top Bottom