Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Ndugu zangu CUF mmemsikia mwenyekiti wa CCM Kikwete,Amesema CCM walisikitika na kuhuzunika sana baada ya Zec kufuta uchaguzi wa Zanzibar.
Kigezo kikuu cha masikitiko yao ni kuwa Jecha alifuta uchaguzi ambao CCM wangeshinda.
JK kasema wanaenda kwenye marudio ya uchaguzi kwa sababu tume ikishaamua haiingiliwi tena ila hata wao CCM hawakupendezwa na uchaguzi kufutwa.Maana walishashinda.
Jakaya kayasema hayo leo kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM.
Ama kweli,Akutukanae akuchagulii tusi.JK kawapiga CUF bonge la kejeliii