Kikwete bora kuliko Lipumba na Mbowe pamoja-UTAFITI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete bora kuliko Lipumba na Mbowe pamoja-UTAFITI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Habarindiyohiyo, Apr 5, 2009.

 1. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK still outstanding


  CAROLINE ULIWA, 4th April 2009 @ 23:57

  President Jakaya Kikwete remains outstanding in leaders' popularity rating in Tanzania by 62 per cent, a professional research agency - Steadman Group - reveals in its quarterly opinion polls. Unveiling the research findings on political, social and economic opinions in Dar es Salaam yesterday, the Country Manager of Steadman Group in Tanzania, Mr Aggrey Oriwo said the poll was designed to address immediate people's major concerns.

  He explained that the opinion poll was held from February 13 to 19 in which 2,000 respondents, distributed proportionatelysample across the country, were interviewed. The research findings show that the National Chairman of the Civic United Front (CUF), Prof Ibrahim Lipumba and the National Chairman of Chadema, Mr Freeman Mbowe, are the president's closest contenders, tying at 14 per cent in popularity rating.

  "This opinion poll is designed to address the people's main concerns from such issues as transportation to how the people view their current government… we, therefore, aim to keep the public informed of the main concerns of their times," Mr Oriwo explained. The research findings have been categorised in several dimensions, among them being feelers on what Tanzanians would choose as the main issues to be tackled immediately by their government.

  In this, albino killings had the highest vote with 39 per cent rating, whereas 18 per cent would like to see their government addressing corruption more seriously. Also, a little less than 20 per cent of the respondents said they would like the escalating costs of living to be looked at constructively. On the government's performance in the last twelve months, 41per cent of the respondents approved the way thingshave been run.

  This group expressed its satisfaction with the implementation of the pledges by the government to improve infrastructure and boost both primary and secondary education. On democracy, whether it is effective in the country, 57 per cent of the people expressed their views that democracy had minor problems, whereas 26 per cent said there were major problems. The gender issue was also addressed though to a minor extent via a question on whether gender violence was ever reported to the local police.

  An alarming 94 per cent said that they had never done so while 6 per cent had. Of the six per cent, 23 per cent reported that authorities were very helpful, while 24 per cent reported that authorities seemed less concerned. The poll further showed that the Tanzanians are likely to vote for either Maalim Seif Shariff Hamad (23 per cent) or Dr Mohammed Gharib Bilal (21 per cent) respectively as the next Zanzibar president. National soccer team coach Marcio Maximo was also alongside Mr Kikwete as the country's most popular figure, followed by the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda. The media in general followed. Steadman is well known for opinion polling, market research and media monitoring in many Sub- Saharan countries.

  Source: Sunday News

  ........ndiyohiyo
   
 2. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani ni "maarufu" na sio "Bora". Yaani sio bora kuliko hao ni maaraufu kuliko hao viongozi wengine.
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kiashiria tosha kwamba ushindi wa CCM na Jakaya Kikwete mwaka 2010 hautokuwa kama ule wa 'tsunami' ya 80% ya wapiga kura approx milioni kumi na moja, bali wastani 62-68% ya wapiga kura approx millioni tisa...

  Huenda, watanzania karibia milioni tatu hawatajitokeza/kujihangaisha kupiga kura... CHADEMA, CUF wakiweza kuwahamasisha hao millioni tatu henda hadithi itaja kuwa nyingine (labda!)

  mwenye uweza naye aweke kura ya maoni hapa JF...
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  So, immediate major concern ya wananchi ni umaarufu wa viongozi!
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Nikiangalia hii sampling ndogo ya 2000 respondents na mkanganyiko wa parameters walokuwa wakizitafuta, I suppose we can safely label the whole thing as simply senseless, bogus and unscholarstic.
   
 6. m

  macinkus JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2009
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  la msingi ni kujiuliza hawa walio fanya huo utafiti walikodiwa na nani na wanawakilisha mawazo ya inchi gani. nani ni mmiliki wa hiyo taasisi nk ndio tunaweza kujua kama mawazo yao ni ya kikundi gani.

  macinkus
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu, hizi findings ni mradi wa mafisadi kuonyesha kwamba rais waliyemuingiza kutokana na wizi wa hela za wananchi eti bado ndiye bora. Kutokana na mafisadi kuhaha ktk kutafuta uhalali wa hujuma wanazowafanyia wananchi wanaweza kabisa kuwahonga hawa steadman Group ili waje na findings za uongo mtupu.

  JK kashindwa ktk kila fani, angeweza kushinda tu ktk fani ya kusafiri ng'ambo na kutembeza bakuli kwa matajiri, huku nyumbani wezi waliojitambulisha kama wawekezaji, wakishirikiana na maswahiba zao serikalini na taasisi za umma wakizidi kuwakamua wananchi rasilimali zao na mikataba ya kifisadi.

  Enyi nyinyi Steadman: mmetumwa tu katika kujaribu kuhalalisha uozo,wananchi ndiyo tunajua vizuri kuhusu hali yetu, na siyo kutudanganya kwa hesabu za hao watu 2000 mnaodai mliowahoji na kuamua ndiyo muono wa Watanzania wote. Tumewagundua!!!!
   
 8. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No way....i totally disagree..labda kama ni ubora wa usanii!!
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  "Kwa mtazamo wangu, hizi findings ni mradi wa mafisadi kuonyesha kwamba rais waliyemuingiza kutokana na wizi wa hela za wananchi eti bado ndiye bora. Kutokana na mafisadi kuhaha ktk kutafuta uhalali wa hujuma wanazowafanyia wananchi wanaweza kabisa kuwahonga hawa steadman Group ili waje na findings za uongo mtupu.

  JK kashindwa ktk kila fani, angeweza kushinda tu ktk fani ya kusafiri ng'ambo na kutembeza bakuli kwa matajiri, huku nyumbani wezi waliojitambulisha kama wawekezaji, wakishirikiana na maswahiba zao serikalini na taasisi za umma wakizidi kuwakamua wananchi rasilimali zao na mikataba ya kifisadi.

  Enyi nyinyi Steadman: mmetumwa tu katika kujaribu kuhalalisha uozo,wananchi ndiyo tunajua vizuri kuhusu hali yetu, na siyo kutudanganya kwa hesabu za hao watu 2000 mnaodai mliowahoji na kuamua ndiyo muono wa Watanzania wote. Tumewagundua!!!!"

  __________________________________________________
  ___________________________________________________

  zak: Umenena. Mafisadi sasa wanatumia kila mbinu kwani wanayo mapesa mengi tu ya wananchi.
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa kuongezea tu -- kwa nini hawa Steadman wasiingie ktka JF na kusoma hoja zinazotolewa ili kupata ufahamu wa umaarufu au kutokuwa na umaarufu kwa JK? natumaini JF members ni watu halisi, only that baadhi wanaficha majina yao, na wengi wao ni wasomi au wanao uelewa mzuri wa masuala ya nchi yanavyoendelea. Hapo Steadman wangeweza kupata matokeo ya uhakika zaidi na yasiyo shaka kuhusu namna wananchi wanavyomtazama JK.
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Another REDET
   
 12. Sober

  Sober JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2009
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 289
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  If Job Approval Rating is down to 41%, maana yake ni kuwa wananchi wameshatambua kuwa serikali imeshindwa kazi, ila tatizao linakua ni huyo kiongozi mbadala,...kila wanapotazama ni matatizo matupu, ndio maana si ajabu popularity yake imeshuka kwa kiasi kidogo zaidi at 62%, ingawa watu wameshajua serikali yake imeshindwa kazi....

  Kama taifa hatuna much choices za watu wenye clean track records ya uadilifu na perfomance kwenye uongozi at National Level.
   
 13. R

  Raphsam Member

  #13
  Apr 5, 2009
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Sidhani kama hii kampuni ipo 'compitent' katika kufanya research. ukilinganisha idadi ya watanzania, wamechukua sample ndogo sana, atleast asilimia kumi ya watanzania angalau tungewaelewa. Wawasiliane na sisi wataalam wa research wairudie!
   
 14. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  You damn right, the samples say it all bro!! Boooogus research!!
   
 15. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2009
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  fisadis dance
   
 16. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kuna vitu nataka kujua
  swali: kuna mtu hata mmoja kwenye JF alishirikii kwenye hii poll?
  hiyo poll ilikuwa online au walikua wanatembelea watu?
  naomba jibu....
   
 17. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2009
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Polls zingine bwana! JK anajulikana ni kilaza na dhaifu katika nafasi aliyokuwa nayo. Matokeo ya uongozi wake so far, ndio evidence yenyewe.

  Acheni kuzuga wananchi.
   
 18. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Watalinganishaje entities zisivyolinganishika? Kwa benchmarks zipi?

   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,439
  Likes Received: 81,486
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wamekodishwa na wana mtandao ili kuanza kumsafisha msanii, au ni kitengo cha mtandao ndani CCM.
   
 20. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Bogus work, done by bogus people sent by bogus, corrupt and incompetent individuals....kwa nini watafute maoni wakati matokeo yanaonekana wazi, ubora ni results siyo maneno!!! Hii ni namna nyingine ambao mafisadi wanatumia kujipa credit kuwa bado wanahold credibility kwenye jamii, ni sawa na ile nyingine iliyopikwa na REDET. Nimegundua hawa jamaa wanatricks nyingi sana za kuendelea kucheza na minds za watu. Taabu ni pale mpaka wasomi wanapoingia kwenye mtego wao, kwa nini tuhangaishwe na vilaza?
   
Loading...