Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
JK anakomelea misumari jeneza la mgomo wa TUCTA kuwa ni batili na kinyume cha sheria.
JK amesema atawashangaa sana watumishi wa serikali watakaogoma. Amesema kama wafanyakazi hawampigia kura kwa kuzikosa hizi 315,000 then wasimpigie kura, amebainisha yuko tayari kuzikosa kura hizo lakini Watanzania wengine wote watampa kura zake. Wajameni hii sasa ni pre-mature campaign, tena leo ;' anaongea with serious tone very convincing hata mimi naanza kumuona. JK is worth come back!.
Wazee wenyewe karibu wote ni CCM maana wamevaa mijezi yao ya kijana. Ameanza vitisho anasema mgomo ulioitishwa na TUCTA ni batili na kinyume cha sheria. Anayeona hawezi kufanya kazi serikalini bila kulipwa kima cha chini cha 315,000 AACHE KAZI.Kuhusu hela walizokalia mafisadi anasemaje?...
Asikwepe hoja..
Kwanini awaite wazee, ambao hawawezi kuhiji chochote?..kwanini asiitishe pressconference na kuruhusu maswali?..
Jibu ni..TOO MUCH USWAHILI!