Kikwete azomewa Mbulu

080119_064s.jpg

Maisha bora yako wapi?
Wewe unatembelea Ndege 3 na magari 40 kila moja mil.70
Tukuchekee wa nini?
 
Hali ya kuzomewa mara kwa mara imemkuta mgombea wa CCC Ndg. Kikwete wilayani Mbulu akijinadi mwenyewe na mgombea ubunge Ndg. Philip Marmo. Kila alipojaribu kutamka CCM hoye! Watu wanamwonyeshea ishara ya vidole viwili na kwa sauti kubwa wakisema PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!.

KWA KWELI CCM NI MAREHEMU MBULU HADI VIJIJINI. NI CHADEMA TU.

Kikwete aliingia Mbulu na chopa 3 na pia alisindikizwa na magari takriban 30, lkn yote hayo hayakufua dafu. Kumbuka kilichomkuta Mwl Nyerere miaka ya 70's hadi 80's pale Mbulu alipokuwa akimnadi Ndg. Amri Dodo kama mgombea ubunge wa chama cha TANU.

ALISHINDWA KUWAHIMIZA WATU KUMCHAGUA AMRI DODO. WATU WALIMCHAGUA NDG. HERMAN SARWATT AMBAYE ALIKUWA MGOMBEA BINAFSI. KUMBUKA MOJA YA HOTUBA YA NYERERE AMBAPO ALIKIRI WAZI WAZI KUWA SIASA YA KWELI IPO MBULU. CHADEMA INAKUBALIKA KWA WATANZANIA WWENGI PAMOJA NA KUWA PICHA ZA WAGOMBEA WAKE NI CHACHE SANA.

"CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA". CCM INAJITEMBEZA MTAANI KAMA MALAYA ILHALI CHADEMA INAJIUZA KWA WANANCHI. MUNGU IBARIKI CHADEMA. TUNAMWOMBA MUNGU ATUPA NJIA YA KWELI TUWE WAKWELI KTK KWELI YAKE. YEYE ALIYEMWANGA NA NJIA ATUPA HEKIMA YA KUICHAGUA KILICHO CHEMA. CHAGUA WATU NA MAENDELEO.

WATU WA KWELI WENYE MAENDELEO WANATOKA CHADEMA TU. KULA CCM, KURA YAKO CHADEMA
 
Wambulu hakika nawaaminia!
They stand for whatever they believe in!...and they don yield for whatsoever!
 
Eheeeeeeeeeeee hayo ndio mambo ya Wambulu, na bado wakat wa upigaji kura ndio wataona.
 
Hali ya kuzomewa mara kwa mara imemkuta mgombea wa CCC Ndg. Kikwete wilayani Mbulu akijinadi mwenyewe na mgombea ubunge Ndg. Philip Marmo. Kila alipojaribu kutamka CCM hoye! Watu wanamwonyeshea ishara ya vidole viwili na kwa sauti kubwa wakisema PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!. KWA KWELI CCM NI MAREHEMU MBULU HADI VIJIJINI. NI CHADEMA TU. Kikwete aliingia Mbulu na chopa 3 na pia alisindikizwa na magari takriban 30, lkn yote hayo hayakufua dafu. Kumbuka kilichomkuta Mwl Nyerere miaka ya 70's hadi 80's pale Mbulu alipokuwa akimnadi Ndg. Amri Dodo kama mgombea ubunge wa chama cha TANU. ALISHINDWA KUWAHIMIZA WATU KUMCHAGUA AMRI DODO. WATU WALIMCHAGUA NDG. HERMAN SARWATT AMBAYE ALIKUWA MGOMBEA BINAFSI. KUMBUKA MOJA YA HOTUBA YA NYERERE AMBAPO ALIKIRI WAZI WAZI KUWA SIASA YA KWELI IPO MBULU. CHADEMA INAKUBALIKA KWA WATANZANIA WWENGI PAMOJA NA KUWA PICHA ZA WAGOMBEA WAKE NI CHACHE SANA. "CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA". CCM INAJITEMBEZA MTAANI KAMA MALAYA ILHALI CHADEMA INAJIUZA KWA WANANCHI. MUNGU IBARIKI CHADEMA. TUNAMWOMBA MUNGU ATUPA NJIA YA KWELI TUWE WAKWELI KTK KWELI YAKE. YEYE ALIYEMWANGA NA NJIA ATUPA HEKIMA YA KUICHAGUA KILICHO CHEMA. CHAGUA WATU NA MAENDELEO. WATU WA KWELI WENYE MAENDELEO WANATOKA CHADEMA TU. KULA CCM, KURA YAKO CHADEMA

Masahihisho:

Siyo 'Wambulu' Ni WAIRAQW. Haikuwa ni 1970s wala 1980s bali ukweli ni kama ufuatavyo:-

"Uchaguzi Mkuu wa pili ulifanyika mwaka 1960. Katika uchaguzi huo, TANU ilijikuta imefanikiwa kupitisha wagombea wake 58 bila ya kupingwa. Kati ya wagombea hao 58 waliopita bila kupingwa, 8 walikuwa Wazungu, 11 Waasia na 39 Waafrika. Tarehe 30 Agosti, 1960 ulifanyika uchaguzi katika sehemu nyingine ambako kulikuwa na zaidi ya mgombea mmoja katika jimbo la uchaguzi. Wagombea viti wote jumla walikuwa 25 kati ya hao 11 walisimamishwa na TANU na walishinda isipokuwa mmoja tu wa kiti cha Mbulu, Chifu Amri Dodo aliyeshindwa na Herman E. Sarwatt ambaye alikuwa mgombea binafsi. Hata hivyo, Sarwatt alikuwa ni mwanachama wa TANU."
 
Kabla ya kutua Haydom, CCM ilifanyakazi ya ziada ya kuwaomba wananchi wasimzomee hata kama hawamtaki, bora wakae kimya, Pia JK haukutumia lugha ya kejeli dhidi ya Slaa na Chadema kama alivyofanya Mbulu.
 
Watu walihudhuria mkutano wa JK katika jimbo la Mbulu leo 17/09/2010, walimzomea mgombea huyu baada ya kuanza kuisemea Chadema vibaya. Walianza kwa kupiga miluzi huku wakiondoka katika mkutano huo wakati JK akihutubia. Polisi walijitahitahidi kuzui watu lakini hawakufanikiwa.

Hali hiyo ni mwendelezo wa wa zomea zomea inayoikumba mikutano ya CCM katika jimbo hilo la Mbulu. Akiwa Haydom Mgombea wa ccm Philip Marmo alizomewa na kuachwa huku DC akiamuru polisi kuzuia watu waliohudhuria wasiondoke lakini ilishindikana.

Aisee??!!!!
kumbe tunaweza tukiWEZESHA
 
Kabla ya kutua Haydom, CCM ilifanyakazi ya ziada ya kuwaomba wananchi wasimzomee hata kama hawamtaki, bora wakae kimya, Pia JK haukutumia lugha ya kejeli dhidi ya Slaa na Chadema kama alivyofanya Mbulu.

Kweli kabisa. Vipi idadi ya polisi waliomwagwa ulionaje?
 
Nashangaa JK amesahau hata Jiografia ya darasa la nne la kufahamu makabila ya Tanzania. Angejikumbusha kitabu cha enzi zake alisoma kitabu kinachoitwa "WATANGANYIKA" chenye sura: Mkande Msambaa, Ibrahimu wa Kigoma, Sianga Mmasai............" Pale Basotu Ziwani aliwaita Wabarbaig au Watatoga kama 'Wabasoti' na kwamba wasingependa kuwa na lubega. Hakujua mgorori na vazi la ngozi (hanangwed) ni vazi rasmi linaloashiria ndoa kwa mwanamke. Mary Nagu alipaswa kumwelekeza.
 
Safari hii CCM walie tu maana polisi wamejitahidi kuwa watumishi wa umma zaidi ya chama.
labda muwalazimishe kuwa vitisho vya kuwademote
 
Pipooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.....Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........!!! Nimeipiga kwa kiswahili kuweka mng'azo.

Marmo kashindwa hata kuwawekea lami wananchi wake....!!! Mwendo wa vumbi mpaka kwake....!! Pamoja na kuwa mwanasiasa wa siku nyingi...!!

It's Time for Change.....!! More surprises plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz wananchi wa Tanzania........!!!! Mwaka huu lazima kielewekeee...!!!!
 
Kweli kabisa. Vipi idadi ya polisi waliomwagwa ulionaje?

Polisi wameagizwa na Dc wafanye kazi kwa kila atakayenyosha vidole viwili eti wanahatarisha amani. Watu wanahasira,

Wazee wasiojua kusoma na kuandika wanasema watampa kura Dr Slaa ila wanahofu kudanganywa na waelekezaji, Nimewashauri kabla ya kuelekezwa amwapishe mwelekezaji kuwa akipeleka kura kwa mtu asiyempenda Mungu (Loa) aiangamize familia yake ( ya mwelekezaji)

Watu wana hamu ya kumwangusha Marmo na JK wake.
 
Kupita kwa marmo kulilazimishwa na DC wa Wilaya ya Mbulu kwa madai ya kuwa wasipo mchagua yeye na wakati serikali imeshawaidi kuwajengea barabara haitawezekana tena kama marmo hatashinda.Chanzo ni kati ya wafuasi wa CCM ambao walishaichoka kuitwa usiku wa manane na kuombwa wafanye juu chini kuwashawishi watu wengine kumpigia kura bwana Marmo,na kati ya watu waliokuwepo katika mkutano huo wa usiku wa maneno alikuwepo Mkuu wa polisi wa wilaya ,DC marmo na baadhi ya viongozi wa serikali pamoja na Marmo mwenyewe,,.

Kiukweli Akishinda huyu Marmo huku Mbulu basi Tanzania hii hakuna uchaguzi wa haki wala democrasia ya kweli!!!

Watanzania tunahitaji mabadiliko ya kweli.Slaa chaguo la wote
 
Wambulu ( Wairaque)wakishakugeuzia mgongo huwa ni vigumu kuwashawishi hata kwa fedha, Walishawahi kumfundisha Mwl Nyerere maana ya democracy. Enzi hizo Nyerere alimpenda chief Dodoo awe mgombea wa ubunge wa jimbo la Mbulu, akamkampeni vizuri, wakamwitikia ndio lakini alipoondoka, Wairaque hao wakamchagua chief Sarwat kuwa mbunge wao. Nyerere akasema hii ni demokrasia ya kweli. Ikabidhi akubaliane na maamuzi ya wairaque hao.

Hivyo pesa siyo kitu. Wazee wanafanya sala zao za asili kumwombea Dr Slaa.
Pamoja na kukugongea thanx lakini ngoja nikupe na hii AHSANTE SANA.
 
Ha ha ha ha mkuu. Kula CCM kura CHADEMA!!

CCM===Chukua Chako Mapema!!!!!!! (Je hakuna kiongozi a.k.a kila mtu anajichukulia chake mapema na kuondoka bila kujali nchi?????????)
CHADEMA=Chagua Dereva Makini.
 
Back
Top Bottom