Kikwete azindua mradi wa Umeme uliojengwa na Kanisa Katoliki

hivi umesoma vizuri ukajua kanisa limetoa wapi pesa za kujengea mradi huo au unaandika tu?.....kuna post yangu # 20 hbu ipiti tena ndo utajua udhaifu wa wengine ulipo na kwa nini wanashindwa kufanya mambo makuba wwakatoliki

Nimemuuliza maswali Sweke tunaomba wewe utujibu maswali yangu haya

Sweke,

Nikuulize ni akina nani wametoa hizo bilioni 8.9 kufanya utafiti wa umeme? Who gave them a land? Msaada mwengine tunaambiwa umetoka Italy (ambao wamefilisika tangu 2009 which is jambo la kushangaza but it may be possible) na Umoja wa Nchi za Ulaya sasa kwanini huo mradi uwe chini ya kanisa katoliki je Kanisa siku hizi linafanya biashara????? Nyie watu mnatufanya wajinga au vp? Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua!!!!
 
Mkandara huwezi kupewa jibu hilo zaidi ya kuwa jamaa watazunguka mbuyu tu. Serikali ya Tanzania ni ile serikali ya kikristo inayobagua wananchi wengine kwani hawafuati mafundisho yanayoaminiwa na serikali. hahahaha you guys make me sick sometimes.

Mnaiba hela halafu mnadai ati waislamu kulalamika hakuwasaidii sasa mnavyolalamika nyie dhidi ya mafisadi wa EPA, Twin Tower Tanzania mnafanya nini? Unafiki mtupu.

Nimeamini, shule ni muhimu... walioiba EPA, Twin Tower ni Wakatoliki?
Kulalamika bado haisaidii na wala haiwazuii wengine kuanzisha miradi ya
maendeleo...
 
Kwa kuwa mimi si mdini sioni tatizo na wala siwajibiki kujibu swali lako...
Hapa tunaangalia maendeleo na si udini. Bado nasisitiza kuwa kulalamika
hakusaidii...
Hakuna anayelalamika - Katiba inasema Serikali haina dini - ni katika kutafsiri kifungu cha katiba hata kama wangepewa Waislaam, Bakwata sijui Baniani au Bahai swala lingebakia palepale. Katiba inasema nini kuhusiana serikali kutokuwa na dini - Jibu swali tuendelee. ukishindwa una sababu yako na hakika Udini ndio unakufanya ushindwe kunukuu kitu kimeandikwa ndani ya katiba yako.. Kigumu kipi haswa nukuu kisha njoo unambie serikali imefanya nini sawa ama sii sawa.
 
Nimeamini, shule ni muhimu... walioiba EPA, Twin Tower ni Wakatoliki?
Kulalamika bado haisaidii na wala haiwazuii wengine kuanzisha miradi ya
maendeleo...

Wewe ndio umeelimika kuona sawa ufisadi wa kanisa katoliki wa kupewa ruzuku na serikali lakini ufisadi wa EPA na Twin Tower ukauona sio sawa AMA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO. Kama vigezo vya kuelimika kwako ni hivyo basi una hasara ndugu.
 
mdodoaji ulitaka mradi uwe chini ya serikali? kanisa limetafuta wafadhili toka sehemu mbali mbali....hiyo italy unayosema imefilisika tangu 2009 uandhani imefikia kiwango kama iliyofikia nchi yako hii? anyway sijui jni kiasi gani ilitoa lakini jua kwamba kanisa katoliki na limebuni hii kitu na wameweza.....unajua siku zote wengine wanapoona tatizo na kushindwa kutatua kanisa katoliki huwa linaona suluhisho lilipo na kutatua mara moja......
 
Hakuna anayelalamika - Katiba inasema Serikali haina dini - ni katika kutafsiri kifungu cha katiba hata kama wangepewa Waislaam, Bakwata sijui Baniani au Bahai swala lingebakia palepale. Katiba inasema nini kuhusiana serikali kutokuwa na dini - Jibu swali tuendelee. ukishindwa una sababu yako na hakika Udini ndio unakufanya ushindwe kunukuu kitu kimeandikwa ndani ya katiba yako.. Kigumu kipi haswa nukuu kisha njoo unambie serikali imefanya nini sawa ama sii sawa.
Serikali kushirikiana na taasisi za kidini ndiyo ina maana serikali ina dini?
 
usisikitike mkuu.....unajua ukweli unauma...juzi kanisa katoliki wamefunga matawi ya chuo kikuu SAUT huko songea, wiki moja kabla ya hiyo wakafungua chuo kikuu cha tiba pale bugando, jana wamezindua umeme...na katika vyote hivhi hakuna ubaguzi wote wenye kupenda kusoma (waislama na wakristo)watasoma....huo umeme utawanufaisha wote huko....hawa wengine wamebaki kulialia na kufunga maspik na kupinga mfumo kristu...wakati wenzao wanasonga mbele wao wanalilia mahakama tena wasivyo na akili wanataka serikali iitunze mahakama hiyo.....cant they think beyond the next meal?
Swali langu lipo palepale tunazungumzia KATIBA sii navyojisikia mimi kwanza mimi siishi Tz nakula kuku kwa mrija tena basi Kanisa linafanya mengi huku kuliko Bongo na wananchi wote tunaelewa kwa sababu katiba yao imejieleza wazi -mfumokristu ndio unatawala! -The nation was found under Christian values! na naishi wala sina matatizo.. Tatizo, kwenu na katiba yenu ya uongo! ..Na nachofanya mimi ni explore reality sina ubaya na Wakristu ama kanisa hata kidogo..
 
Hakuna anayelalamika - Katiba inasema Serikali haina dini - ni katika kutafsiri kifungu cha katiba hata kama wangepewa Waislaam, Bakwata sijui Baniani au Bahai swala lingebakia palepale. Katiba inasema nini kuhusiana serikali kutokuwa na dini - Jibu swali tuendelee. ukishindwa una sababu yako na hakika Udini ndio unakufanya ushindwe kunukuu kitu kimeandikwa ndani ya katiba yako.. Kigumu kipi haswa nukuu kisha njoo unambie serikali imefanya nini sawa ama sii sawa.

Unataka nijibu nini sasa wakati tayari umeshasema. Kama kuna unachokijua
kiweke wazi basi badala ya kuuliza swali ambalo unataka mtu ajibu unavyofikiri
wewe... Kwa nini mambo yasiyokuwa yetu na dini za kuletewa zitugombanishe?
 
mdodoaji ulitaka mradi uwe chini ya serikali? kanisa limetafuta wafadhili toka sehemu mbali mbali....hiyo italy unayosema imefilisika tangu 2009 uandhani imefikia kiwango kama iliyofikia nchi yako hii? anyway sijui jni kiasi gani ilitoa lakini jua kwamba kanisa katoliki na limebuni hii kitu na wameweza.....unajua siku zote wengine wanapoona tatizo na kushindwa kutatua kanisa katoliki huwa linaona suluhisho lilipo na kutatua mara moja......

Hivyo basi tuseme serikali haipo na tuteue Kanisa Katoliki kuwa serikali kamili ya nchi hii ya Tanzania. Au vp?? Na hujajibu swali langu je Bilioni 6.8 zimetokea wapi? Na nani amewapa eneo la kufanya hayo? Twende taratibu mkuu
 
Unataka nijibu nini sasa wakati tayari umeshasema. Kama kuna unachokijua
kiweke wazi basi badala ya kuuliza swali ambalo unataka mtu ajibu unavyofikiri
wewe... Kwa nini mambo yasiyokuwa yetu na dini za kuletewa zitugombanishe?
Nimeuliza maana yake? ama hata ulivyoelewa wewe.. tuanzie hapo kwanza kisha ndio mjadala utakuwa na maana zaidi ya hizi habari za kulalamika. hakuna anayelalamika isipokuwa tunajadili katiba iinasema nini na tunasema serikali wamekiuka katiba.
 
hata hao wengine wana uhuru na nafasi ya kufanya haya wanayofanya wakatoliki...na wao watafute mapori waombe ardhi, wajenge msikiti, kisha chekechea,kisha chuo cha ufundi, dispensary/hospitali ya rufaa, shul ya msingu,na sekondari...wakimaliza hivi wataona gafla mji unakuwa kuelekea mahali walipo maana wana huduma zote muhimu lakini wakiendela kulalamika na kujenga kando kndo ya bara bara misikiti yao kisha ikivunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara wanaanza kulia na kusema mfumo kristu....
 
Wewe ndio umeelimika kuona sawa ufisadi wa kanisa katoliki wa kupewa ruzuku na serikali lakini ufisadi wa EPA na Twin Tower ukauona sio sawa AMA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO. Kama vigezo vya kuelimika kwako ni hivyo basi una hasara ndugu.

Mh, haya bhana! Ninachokiona kwako ni kulalamika tu na malumbano ambayo
hata hivyo hayakusaidii wewe wala mimi, kwa kuwa mimi si mwanachama wa
Kanisa katoliki na wala imani yangu haihusiani na dini zenu za kuletewa. Kama
unang'ang'ana na mambo yako ya udini, mimi sipo huko... Goodnight...
 
hata hao wengine wana uhuru na nafasi ya kufanya haya wanayofanya wakatoliki...na wao watafute mapori waombe ardhi, wajenge msikiti, kisha chekechea,kisha chuo cha ufundi, dispensary/hospitali ya rufaa, shul ya msingu,na sekondari...wakimaliza hivi wataona gafla mji unakuwa kuelekea mahali walipo maana wana huduma zote muhimu lakini wakiendela kulalamika na kujenga kando kndo ya bara bara misikiti yao kisha ikivunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara wanaanza kulia na kusema mfumo kristu....

Jibu swali hela zimetoka wapi? Who finance them (kanisa katoliki) kuweza kufanya huo utafiti? Who gave them a land? Usizunguke mbuyu ndugu.
 
hata hao wengine wana uhuru na nafasi ya kufanya haya wanayofanya wakatoliki...na wao watafute mapori waombe ardhi, wajenge msikiti, kisha chekechea,kisha chuo cha ufundi, dispensary/hospitali ya rufaa, shul ya msingu,na sekondari...wakimaliza hivi wataona gafla mji unakuwa kuelekea mahali walipo maana wana huduma zote muhimu lakini wakiendela kulalamika na kujenga kando kndo ya bara bara misikiti yao kisha ikivunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara wanaanza kulia na kusema mfumo kristu....
Mkuu jibu swali maneno mengi ya nini kwani kuna jipya hatulifahamu. Wewe umekuwa mshauri wa Waislaam au tunazungumzia siasa na katiba yetu yalofanyika ni sawa ama kinyume cha katiba.. Jibu swali rahisi sana Katiba inasema nini kuhusu serikali haina dini?
 
quote_icon.png
By Mkandara

Hakuna anayelalamika - Katiba inasema Serikali haina dini - ni katika kutafsiri kifungu cha katiba hata kama wangepewa Waislaam, Bakwata sijui Baniani au Bahai swala lingebakia palepale. Katiba inasema nini kuhusiana serikali kutokuwa na dini - Jibu swali tuendelee. ukishindwa una sababu yako na hakika Udini ndio unakufanya ushindwe kunukuu kitu kimeandikwa ndani ya katiba yako.. Kigumu kipi haswa nukuu kisha njoo unambie serikali imefanya nini sawa ama sii sawa.
Serikali kushirikiana na taasisi za kidini ndiyo ina maana serikali ina dini?
 
Mh, haya bhana! Ninachokiona kwako ni kulalamika tu na malumbano ambayo
hata hivyo hayakusaidii wewe wala mimi, kwa kuwa mimi si mwanachama wa
Kanisa katoliki na wala imani yangu haihusiani na dini zenu za kuletewa. Kama
unang'ang'ana na mambo yako ya udini, mimi sipo huko... Goodnight...

Umeshindwa hoja hebu tupishe ulikuja na kauli za kebehi na dharau nenda kalale upunguze stress na nakushauri kasome vizuri ili uelimike kuna tofauti baina ya aliyesoma na kuelimika. Wewe hujaelimika sijui kuhusu kusoma but kuelimika I am sure hujaelimika.
 
Hivyo basi tuseme serikali haipo na tuteue Kanisa Katoliki kuwa serikali kamili ya nchi hii ya Tanzania. Au vp?? Na hujajibu swali langu je Bilioni 6.8 zimetokea wapi? Na nani amewapa eneo la kufanya hayo? Twende taratibu mkuu

siku zote kanis katoliki wana mfumo wao wa hali ya juu sana...wao hutafuta mapori, wanaomba ardhi wanapewa na kuana kujena miradi yao.....hiyo bil 6.8 ni pesa ya kanisa itokanayo na michango ya waumini na pia wameomba wafadhili ili basi kufuki maleng kwa mda mwafaka..wamepata wafadhili....sisemi kanisa katolki liwe serikali...kikubwa hapa ni fursa ...hata wailsalmu wana fursa wanweza kufanya haya wafanyayo wenza lakini wao wakitafuta wafadhili wanatafuta wafadhiliwa kuwaletea halua na tende....halau wenzao wakifanya kweli na kuleta maendelo wo wanafunga maspika na kusema huu ni mfumo kristo, wanalilia mahakama nk....kikubwa ni kwamba wajifunze mbinu ili na wao wafanikiwe lakini kila siku wakililia mfumo krisyt haiwasaidii kabisa.....
 
Mkuu tunaongozwa na katiba sio maswala ya kuangalia wengine wanafanya nini. Mimi sipo TZ na nayajua maendeleo kuliko wewe vibaya sana, huo umeme wa msaada kwa kitongoji hauwezi kuitwa maendeleo bali ni mfumo mbovu wa kiutawala ambao umetawaliwa na viongozi wabovu mlokuwa nao.. sasa naanza kuelewa kwa nini Mkapa na JK waliweza kushinda uchaguzi!.. kama akili zenyewe ndio hizi CCM watatawala hadi machafuko ya Udini ambayo nina hakika hayana muda mrefu. Sasa hapo ndipo mtakapo yajua machungu yake!..Nipe maana ya seriklai haina dini tuendelee na mjadala.. maneno mengine hayana mpango.

sasa Muzee wewe unashauri tufanye nini? maana tukimsema JK wetu wengine wanasema tufanya hivyo kwa sababu siwakwetu, tukimwacha wewe unatulaumu, tukisaidia ili tuharakishe maendeleo nayo inakuwa taaba? ,mfano wewe mwenyewe umeona thb imekufa je umesubiri thb nyingine ije ili ujenge kwenu? si umeharakisha maendeleo kwa kujenga kwa source zako mwenyewe.
 
Nimeuliza maana yake? ama hata ulivyoelewa wewe.. tuanzie hapo kwanza kisha ndio mjadala utakuwa na maana zaidi ya hizi habari za kulalamika. hakuna anayelalamika isipokuwa tunajadili katiba iinasema nini na tunasema serikali wamekiuka katiba.

Maana yake serikali haiongozwi kwa kutumia imani ya dini yoyote ila inatambua kuwa wananchi wake
wana dini zao na wako huru kuabudu. Sasa unapoongelea suala la viongozi wa serikali kuvunja katiba
hilo ni suala jingine ambalo unatakiwa uliweke wazi ili lijadiliwe na wote bila ushabiki wala udini... lakini
kulalamika bado hakusaidii...
 
Back
Top Bottom