Muzee uzee unakuingia vibaya au? weekend ilikuwa ndefu kidogo, hapo ni kwamba serikali kutokana na ukwasi walishindwa kufanya huo mradi ndio kanisa likaona kwamba linaweza kuinvest sasa kama wamekosea basi tuwasome fatwaaNdio makosa yanayofanywa kiutawala sasa iwe mfumokristu ama nini lakini swala la UMEME kuendeshwa na jumuiya za kiimani huoni kama serikali ina dini?.. mimi naomba mtu aje hapa anambie hasa maana ya kusema serikali haina dini ikiwa leo Umeme ambao una serikali ina wizara yake wanashirikiana na kanisa kufungua nguvu hizo. Nipeni maana ya neno hili - MAANA TU, halafu tuendelee..