Kikwete azidi kuwa lulu kimataifa, Kweli chema chajiuza...

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,390
751
Pres. (ret.) Kikwete joins Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board

His Excellency President Jakaya Kikwete, who served two terms as President of the United Republic of Tanzania from 2005 to 2015, will be joining the Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board.

In his more than 30 years of public service, President Kikwete served in different party, military and government positions.

He joined the Cabinet in 1988 and he held several ministerial portfolios including Minister for Finance, Minister for Water, Energy and Mineral Resources and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.

He was the longest serving Foreign Minister in the history of Tanzania after serving that position for a ten year tenure.

President Kikwete’s experience both as a head of state and as a cabinet member will be a great resource for the Advisory Board as it continues to help shape and guide development of the Program.
 
Sasa hivi tuna ndege zetu wenyewe za kumpeleka kwenye vikao huko ulaya kwa hiyo asiwe na wasiwasi
 
ukiona wazungu wankufagilia ujue una matatizo,kwani hata mzee mangungu walimfagilia pia,lakini mtu kama mtemi mirambo hawakutaka kumsikia. mwenye busara amenielewa
Ulilosema hata JPM analitambua, na alilisema siku anapokea "ripoti ya tume ya uchaguzi"
 
Kikwete kamzidi vitu vingi sana Magufuli! Mfano mdogo tu bunge live Kikwete alikuwa na hekima sana huyu JPM ni ubabe tu na kukurupukas
 
Pres. (ret.) Kikwete joins Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board

His Excellency President Jakaya Kikwete, who served two terms as President of the United Republic of Tanzania from 2005 to 2015, will be joining the Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board.

In his more than 30 years of public service, President Kikwete served in different party, military and government positions.

He joined the Cabinet in 1988 and he held several ministerial portfolios including Minister for Finance, Minister for Water, Energy and Mineral Resources and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.

He was the longest serving Foreign Minister in the history of Tanzania after serving that position for a ten year tenure.

President Kikwete’s experience both as a head of state and as a cabinet member will be a great resource for the Advisory Board as it continues to help shape and guide development of the Program.
Amkumbuke rafiki yake ambaye hawajakutana barabarani, mwishowe kaamua kuwa BAVICHA.
 
Ikifika mwaka 2025 pigeni hesabu mjue kati ya Jk na Jpm nani katuletea maendeleo Tanzania ,ila kwa kifupi mmoja ashajenga barabara km 35k , km 12.. k barabara kuu km 22..k barabara za miji . Mwingine naskia km 7

Tuendelee kupiga Makofi .

Hizo barabara ilikuwa ni mikakati ya mkapa. Kabla ya Magufuli hii nchi haikuwa na rais kwa muda wa miaka kumi!
 
Back
Top Bottom