Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, May 3, 2012.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.

  Uteuzi huo unaanza mara moja.


  Imetolewa na:
  Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
  Ikulu.
  Dar es Salaam.


  3 Mei, 2012
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mfa maji haachi kutapatapa ...
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ngoja angalau hii habari niiamini, maana tetesi zimekuwa nyingi sana.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  dah ... James Mbatia uso kwa uso na Kafulila bungeni .... haya bana
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh Mbatia
  Haya bana
   
 6. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo ujue kuna watakaoukwaa uwaziri, tusubiri tuone
   
 7. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Uteuzi wa Mbunge unaanze mara moja bila kuapishwa kuwa Mbunge??????????

  Invizibo hebu weka lugha sawa
   
 8. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Prof. S. Muhongo heshima kwake sana!!
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbatia wa NCCR mageuzi?
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Thanks Invisible:

  Sospeter Muhongo: Tumelamba Dume. Tena Bingo si ya Kawaida. Huyu anapewa Wizara ya Nishati na madini. He has proved himself beyond reasonable doubt.

  Mbatia: some sort of Huruma . . . . Kuna vichwa opposition zaidi ya Mbatia.

  Janet Mbene: Same reason aliyomteua last time pamoja na Jussa.

  Ila ni mtaalamu wa Finance ila sijui kama anaweza kuwa Waziri, labda naibu. But all in all ni Mwanadada Mwanaharakati. sijawahi kusikia ufisadi wake wala chembe.
   
 11. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  hivi nyie mpaka leo hamjajua kuwa na mimi nitateuliwa kwa waziri???
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  i see. . . .
   
 13. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  baraza la mawaziri linanukia .
   
 14. K

  Kitwange Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Inawezekana Mbatia akaingia ktk baraza la mawaziri....
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hapo keshafunga ndoa na NCCR as well, CDM watabaki wenyewe aisee
   
 16. M

  Mkira JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35


  huyu akipewa sayansi na technologia anaweza fanya mambo si mwana siasa CV yake ktka uwanja wa sayansi iko juu!
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Hawa woooooote mliowasifia msirudi kulalamika.....
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  James Mbatia? Dah! Haya bana JK. Rungu unalo litumie utakavyo.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  S. Muhongo nalikuwa wapi kabla?
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndio baraza linaanza hilo au?
   
Loading...