Huu ni mwanzo wa kuwafahamu mawaziri wake wateule, ishu hapa ni kujua watapelekwa wizara gani, Mama mkwe wizara ya mali asili na Utalii.
Ukistaajabia ya Firauni utayaona ya Kikwete. Hivi huyu Hamdani wa Nini sasa??? Au ndio asilimia 40% ya mtaji wa kuchakachua????? Watu wengine bwana, alafu eti ndio raisi wa Tz!! hakika huyu ni rais wa NEC.
Hongera Nahodha kwa kupoozwa maana najua uliambiwa umpishe mkulu Zenji na natarajia kwa ufupi wa mawazo ya Mkwere utapoozwa zaidi na kale ka tiketi ka ulaji bongo sijui ndo mnaitaga ka uwaziri vile eee!!!
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT'S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wabunge watatu (3) kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa na kupewa mamlaka ya kuteua Wabunge 10.
Wabunge walioteuliwa ni Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa na Ndugu Zakia Hamdan Meghji.
Rais atateua wengine waliosalia siku zijazo.
Rais Kikwete ameshawasilisha majina ya wateule hao kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda (Mb) kwa ajili ya hatua zipasazo.
MWISHO
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dodoma
17 Novemba, 2010
Hehehe mama mkwe! sasa JK atafanya lolote atakalo kwa shinikizo la mafisadi kwani hatarudi tena kwa wananchi kuwajibika after 5 yearsHuu ni mwanzo wa kuwafahamu mawaziri wake wateule, ishu hapa ni kujua watapelekwa wizara gani, Mama mkwe wizara ya mali asili na Utalii.
Halisi,
Prof. Mbarawa aligombea kupitia chama kipi huko Mkanyageni? Nataka kujua kama ni CUF na hivyo kuwa matokeo ya muafaka.
Hi ni dalili kutokea Zanzibar hakuna wabunge wa maana wa CCM wanaoweza kuwa mawaziri na hivyo kuanza kuteua.
Pia kwa watu toka Zanzibar lazima tutegemee kwa asilimia karibu 100 watakuwa Waislam hivyo sidhani kama tunahitaji hata kujadili juu ya dini zao.
inavyoonekana kuna uwezekano wa Wizara ya Nishati na madini ikagawanywa ili huyu Prof. Apewe wizara ya Nishati ili kulinda siri za mafuta yaliyoko Zenji, wameona wakimuacha atapiga kelele nyingi kwani awa na data za kutosha. CCM nawaaminiaProf makame aligombea kupitia CCM mkanyageni. According to various websites. Prof Makeme ni Full professor of mechanical engineering. Anaonekana kuwa ni very strong professor in energy. Amefanya very strong publications kwenye strong databases kama sciencedirect.com (elsevier) pia kwenye other databases kama springer na nyinginezo. Ukijaribu kum-google utaona kazi zake nyingi.
Nafikiri hapa mkwere hajakosea sana. Ngoja tuone atatusaidiaje huko bungeni. Labda wanataka awe waziri.
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wabunge watatu (3) kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa na kupewa mamlaka ya kuteua Wabunge 10.
Wabunge walioteuliwa ni Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa na Ndugu Zakia Hamdan Meghji.
Rais atateua wengine waliosalia siku zijazo.
Rais Kikwete ameshawasilisha majina ya wateule hao kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda (Mb) kwa ajili ya hatua zipasazo.
MWISHO
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dodoma
17 Novemba, 2010
nauliza tena kumbe hii JF ni wakatoliki(VIRISTO) kama CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!????????
NI suali tu musiichakachue hii reply.