Elections 2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

Kingunge kasahaurika au bado move inaendelea, safari hii kawa na pozi sana, anataka tusahau atamrudisha na masha pia
 
hizi jenda jamani!....huyu zakia si ameshachemka nafasi nyeti kabisa pale wizara ya fedha sasa anateuliwa kwa ajili gani na kwa masilahi ya nani............?|.......................NAJIANDAA KUKIMBIA NCHI HII KM AKINA LOWASA NA ROSTAM NA HOSEA WATAENDELEA KUONGOZA NCHI KWA NIABA YA KIKWETE AMBAYE NAYE KAPITA KWA KUCHAKJACHUA NA KACHAGULIWA NA WATZ MIL.5 ILI AWAONGOZE WATZ MIL.43.....SHAME ON YOU CCM
 
Kikwete aenderleza sinama alizoanzisha hapo 2005........aendelea kuteua madrasa kwa style hii madarasa tusahau na ndiyo maana kikwete hajali ubora wa elimu kwani alishazoea madrasa na ambayo hujengwa tu bila mpangilio wowote.......kwanini kikwete asijiuzulu kwa kukumbatia uislamu...............ile ahadi ya kutetea maslahi ya waislamu aliyokuba;liana nao kwa siri pale waliposema hawatampigia kura ndo ameanza?...............ajue kuwa amechaguliwa na watz mil.5 na sisi watz mil.38 hatumtaki kwani anataka na sasa ameanza kuitumbukiza nchi kwenye machafuko............
 
tatizo TEUZI ZA CCM HUWA ZA KULIPANA FADHILA SIO KUANGALIA UTENDAJI!NDIO MAANA WANAPOKEZANA VIJITI MIMI NA WEWE KUINGIA KWENYE SYSTEM SAHAU MPAKA UKOMBOZI WA KWELI UPATIKANE!nakumbuka mtu wangu wa karibu sana kabla ya mkapa kuchaguliwa na ccm kugombea urais ALINIAMBIA MKAPA AKIPATA URAIS NITAKUA BALOZI UFARANSA.na kweli baada ya mkapa kushinda akawa balozi france!
 
Kuna umuhimu wa kupitia sheria zetu upya, Wabunge viti maalum 102, wabunge wa kuteuliwa na rais 10. Huu mzigo wote ni wawalipa kodi. Kwa nini tusiwe na wabuinge wakuteuliwa tu???? Kwa wale mnaojua hivi viti vya ubunge viko na kule Kenya,Uganda au kwenye nchi yoyote ya jirani??

Kwa mzigo huu tusitegemee elimu bure, na maisha bora yatakuwa ndoto kama kile kidogo tunachopata kinaishia kulipa posho za viongozi.
 
Mods I propose that you lock this post, this is none sense. Udini udini mimi mijadala kama hii inanikera sana!
 
Hao walochagulia ndo mawaziri watarajiwa.....:)

Ukimchagua Zakhiye Maghji kuwa Waziri ni sawa na Rostama Azazi kuwa Waziri kwa mlango wa nyuma, mwanzo nilifikiri mwanahalisi ni wazushi, nimeanza kuipa credit habari yao!, do i need to say more?
 
Yaleyale ya mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya!!!!! KAAAAAZI kwelikweli
 
Kwa Meghji kusema ukweli mkulu kachemsha kama anampango wa kumweka kwenye list ya mawaziri wake, kwani alisha underperform kwenye wizara kadhaa alizoshika hapo nyuma. Hawa jamaa wengine sijui performance yao hasa huyo Makame. Dini is not a big deal as long as they deliver well.
 
Huyo Profesa Makame Mnyaa Mbarawa aligombea jimbo la Mkanyageni akashindwa na Mohamed Habib Mnyaa wa CUF, ambaye jana alijitoa kuwania Unaibu Spika kumpisha mgombea wa CCM, Job Ndugai. Duh, Mnyaa aliyekua Kamati ya Mwakyembe ya Richmond leo anamuunga mkono mgombea wa CCM?!!

Sehemu ya muafaka hiyo. Nyie mnafikiri sisiemu pamoja na kuwa majuha hawana akili ya ulaghai??? Hawa jamaa bwana akili yao iko mbele ukiona wanakubali jambo ujue wameshalipigia mahesabu mbeleni na kuona iko kitu. Na mimi nawaambia tafuteni nguvu ya CUF hata huko visiwani 2015 muone kama ni hii ya sasa, KWISHA HABARI YAO maana akili za wafuasi wao zitaridhika kama za viongozi wao na hakuna tena cha upinzani. LABDA JAHAZI ASILIA.
 
Mi sina neno,lolote la kusema, ila tusubiri madudu mengine makubwa yaja kuanzia ijumaa wiki hii
 
hizi jenda jamani!....huyu zakia si ameshachemka nafasi nyeti kabisa pale wizara ya fedha sasa anateuliwa kwa ajili gani na kwa masilahi ya nani............?|.......................NAJIANDAA KUKIMBIA NCHI HII KM AKINA LOWASA NA ROSTAM NA HOSEA WATAENDELEA KUONGOZA NCHI KWA NIABA YA KIKWETE AMBAYE NAYE KAPITA KWA KUCHAKJACHUA NA KACHAGULIWA NA WATZ MIL.5 ILI AWAONGOZE WATZ MIL.43.....SHAME ON YOU CCM

Madudu ya EPA Meghi hakuwa Waziri wa Fedha ila ikaguzi ulifanyika yeye akiwa waziri wa fedha. Mimi nashauri wana JF kutenda haki pale unapochangia kwani mimi naamini katika kina mama waliowahi kupewa wizara wakafanya vizuri huyu mama huwezi kumwacha. Maamuzi mengi si yake kama Waziri na hivyo huwezi kumlaumi yeye na Zakhia
 
huo ndio uzuri wa kuto delete permanently from recycle bin, you can later reuse the deleted. yaani huyo mama hajawahi hata kugombea jimboni yeye ni kuteuliwa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu miaka yote. kama anafaa kwanini haendi jimboni. yaani miaka 40 anateuliwa tuuu, aaahh
 
3D
Nimekusoma unaonaje kama ukimwambia Kiwete aache upumbavu na upuuzi of all the people kweli anamteuwa Zakhia Meghji? Kati ya Wanzanzibar Mil moja? Ndo maana ninajenga imani kuna sababu zaidi. Huyo mama ni loser na failure sehemu zote alizowahi kufanya kazi, ni fisadi mzoefu hakuna asiyejua hilo. Kuniita mimi mjinga na mpumbavu ninaona ni kama sifa unaniongezea kwa kusema ukweli.

Zakia Meghji waziri wa................................... Kiwete spare our country.

Mch Masa

Mch Masa wewe ni mmoja wa wakongwe humu. Hatutaraji kwa uzoefu wenu muwe mnarushwa roho na vitu vidogo vidogo. Kama kumteua Meghji kuna sababu ya zaidi kama unavyosema, unajua uhusiano wa Kikwete na Meghji? Zaidi ya yote unaona kabisa Uislam wa Meghji una lolote katika uteuzi huu? Meghji na Kikwete wana Uislam gani kama si waigizaji tu?

Mchungaji Masa, tatizo langu ni watu muhimu kama wewe kumnyang'anya Malaria Sugu haki yake ya kucheza kama mtoto (Kuongea upuuzi wa kidini) tena bila evidence. Mchungaji mapepo yamekuzidi nguuvu? Kwanini ujenge katika kiwanja cha kuchezea watoto wetu akina Malaria sugu na Zawadi Ngoda?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom