Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Sielewi mkuu unavyosema Mama mkwe? Naomba unihabarishe nani kamuwowa nani?
Hahah imnamaana hujuhi wewe? MKWEWE WETU WAKWERE HUYO, kifupi mama MZAA CHEMA!
Bado tu hujahelewa?
Sielewi mkuu unavyosema Mama mkwe? Naomba unihabarishe nani kamuwowa nani?
Mkuu tazama list hiiSasa huyu kumtoa kwenye taaluma ya ufundishaji na kumleta kwenye SIASA ni matumizi mazuri kweli ya Rasilimali watu?
Ni vibaya sana kuzungumza bila kuwa na ufahamu mzuri, Labda watu wafahamu kwamba, Rais ana nafasi 10 za uteuzi. Katika hizo 7 ni Bara na 3 ni kwa visiwani. na tunafahamu kwa akili ya kawaida tu kwamba, huwezi kuteua Mkrito toka zanzibar, kwa hiyo hakuna udini kwa hapo. ni geographical and cultural reason ndio imekuwa hivyo. nafasi 7 za bara ndio tusubiri na ndio za kujadili kama kuna huo uwiano wa kujadili.
Kama tukitaka kujadili hivyo basi tujiulize, kwa nini Nafasi za viti maalum vya Chadema karibu vingi vinatoka North? vipi wao kuhusu Muungano? au na wao wapo agaist na uislamu na kwa hivyo huwezi kuona mzanzibari katika viti hivyo zaidi ya 20? lakini najua kutakuwa na sababu za msingi juu ya hilo. lakini nani kaliezea kwa ufasaha. Chadema ijipange vizuri watanzania wanahitaji mabadiliko lakini yasiyokuwa na shaka.
Nawasilisha
Hivi mbunge ambaye hakuchaguliwa na wananchi anaweza kuwa waziri .......... hiiHao walochagulia ndo mawaziri watarajiwa.....
Halisi,
Prof. Mbarawa aligombea kupitia chama kipi huko Mkanyageni? Nataka kujua kama ni CUF na hivyo kuwa matokeo ya muafaka.
Hi ni dalili kutokea Zanzibar hakuna wabunge wa maana
wa CCM wanaoweza kuwa mawaziri na hivyo kuanza
kuteua.
Pia kwa watu toka Zanzibar lazima tutegemee kwa asilimia karibu 100 watakuwa Waislam hivyo sidhani kama tunahitaji hata kujadili juu ya dini zao.
Kikwete anadhani watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki? Huyu Zakia Meghji alihusika sana katika harakati za kumwingiza madarakani Kikwete mwaka 2005. Nakumbuka yeye na walioitwa "marafiki" zake walichangia kampeni za CCM mamilioni ya fedha. Pia alihusika kikamilifu katika kashfa ya EPA kwani wizi wote wa EPA ulifanikishwa yeye akiwa waziri wa fedha! Yaelekea sasa Kikwete anataka kulipa fadhila. Huu ni ushahidi kwamba CCM ya juzi ndiyo ya jana na kesho. Hakuna mabadiliko yoyote. Tunawaomba wanaharakati wenye uchungu wa kweli na nchi hii waliweke wazi hili ili wananchi wote wajue. Ikumbukwe kwamba ni huyuhuyu Zakia Meghji aliyepinga vikali uwepo wa wizi kule Benki kuu lakini ambayo baadae ilidhihirika wazi. Haiwezekani tuteuliwe waziri mwenye kila element za kifisadi tunyamaze tu.UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wabunge watatu (3) kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa na kupewa mamlaka ya kuteua Wabunge 10.
Wabunge walioteuliwa ni Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa na Ndugu Zakia Hamdan Meghji.
Rais atateua wengine waliosalia siku zijazo.
Rais Kikwete ameshawasilisha majina ya wateule hao kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda (Mb) kwa ajili ya hatua zipasazo.
MWISHO
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dodoma
17 Novemba, 2010
Mama mkwe kaula au anakplipa fadhila cause hajatoa mahari!!!!!
Hahah imnamaana hujuhi wewe? MKWEWE WETU WAKWERE HUYO, kifupi mama MZAA CHEMA!
Bado tu hujahelewa?
Watu wazima mnakaa kwenye computer zenu kusema uongo...Zakia megji ana watoto wawili wa kike na wote wameshaolewa. Acheni uongo, udini na chuki bila msingi. Hongera Zakia, mchango wako bado unaitajika!!
Huu ni mwanzo wa kuwafahamu mawaziri wake wateule, ishu hapa ni kujua watapelekwa wizara gani, Mama mkwe wizara ya mali asili na Utalii.
Mama mkwe kaula au anakplipa fadhila cause hajatoa mahari!!!!!
ni mkwe wa rais
Hehehe mama mkwe! sasa JK atafanya lolote atakalo kwa shinikizo la mafisadi kwani hatarudi tena kwa wananchi kuwajibika after 5 years
Jamani, mwashangaa nini? Meghji ni "mama mkwe" wake JK? Au MUMESAHAU?
Ismase,
Ni Mama Mkwe wangu kwa yule mke wangu wa tatu
Weraaaaa weraaaaaa mama mkwe! Acha kodi za watanzania zilipe mahali!
Hahah imnamaana hujuhi wewe? MKWEWE WETU WAKWERE HUYO, kifupi mama MZAA CHEMA!
Bado tu hujahelewa?
Weraaaaa weraaaaaa mama mkwe! Acha kodi za watanzania zilipe mahali!