Kikwete awaachia huru Polisi waliomuua Jenerali Kombe

zile za kuhukumiwa maisha cjui nn ni geresha 2 ile mipango ilikuwepo kabla hata hawajakamatwa sema kupotezea maboya ndio ivo ikawa ..... ila kama kweli jamaa ana moyo safi angewaachia wa kina babu seya ambao hawana hata hatia
 
Nimekuwa nikipitia magazeti ya leo nikakutana na habari kuwa wale askari wawili waliohukumiwa kifo na mahakama kwa kosa la kumuua Kombe wameachiwa huru baada ya huruma ya rais Kikwete kubatilisha hukumu hiyo kuwa miaka miwili,nikajiuliuza kwa nn rais asiitumie huruma hii Babu Seya na wanae?.Kuna nn kwenye hukumu hii ya babu Seya?.Watu waliwahi kusema kuwa kuna mkono wa fulani hapa,msitake niamini hivyo.Na hii ya Kombe nayo!.
Eti
 
Back
Top Bottom