Wivu wa kike huuKikwete siku hizi kawa Msemaji wa Samia.
Wivu wa kike huuKikwete siku hizi kawa Msemaji wa Samia.
Wazee wa kuhamisha ajenda kaziniNi kweli.lakini waanzilishi walikuwa wafilipino wao hadi leo simu kiganjani waweza mrushia mtu yeyote duniani au kupokea pesa kiganjani toka popote duniani sisi hatujawafikia wafilipino
Mkuu JK kaulizwa swali kuhusiana na Prof Beno Ndulu juu ya utendaji na mafanikio yake wakati akiwa Gavana wa BOT. Kwakuwa yeye ndiye aliyemteua wakati huo. Sasa ulitaka amwambie muuliza swali akamuulize Mama Samia kwakuwa yeye ndiye Rais kwa sasa??Kikwete siku hizi kawa Msemaji wa Samia.
sio uongi waanzilishi wa money transfer walikuwa wafilipino kupitia GCash dunia ika copy kwao.Msomi yeyote anatakiwa ku acknowle source .Wao ndio walikuwa pioneers wa mobile money transfer dunianiWazee wa kuhamisha ajenda kazini
Kwani Mataga huwa mnajifunza na kuongeza maarifa kutoka kwa wengine!!!sio uongi waanzilishi wa money transfer walikuwa wafilipino kupitia GCash dunia ika copy kwao.Msomi yeyote anatakiwa ku acknowle source .Wao ndio walikuwa pioneers wa mobile money transfer duniani
Mkuu wasomi wazuri wa sayansi huwa wengi hawana social skills ndo hata magu alikuwa na kauli za ajabu haimaanishi alikuwa hawezi kazi.Tatizo sio kununua,yeye alisaidiaje hawa Watanzania kunufaika lasilimali za nchi yao?baada ya kutukana tu,Usomi unaoneka ktk kutatua matatizo ya hao waliokutuma kuwawakilisha na sio kuwatukana.Kwanza yeye kasomeshwa na kodi za Watanzania ili aje kuwasaidia,baada ya kuwasaidia anaanza kuwa dalali wa mabeberu.
Hili la kutumia simu kutuma na kupokea fedha halikuanzia Tanzania. Sisi tume copy tu na limekuja na matumizi ya smartphone. Kuna mambo mengi tu yameletwa na matumizi ya smartphone na sidhani kama tungeweza kujitenga kwa nmana yoyote. Sifa nyingine wala hazina maana.sio uongi waanzilishi wa money transfer walikuwa wafilipino kupitia GCash dunia ika copy kwao.Msomi yeyote anatakiwa ku acknowle source .Wao ndio walikuwa pioneers wa mobile money transfer duniani
Mkuu mambo ya pesa kwa njia ya mtandao/simu hakuyaleta Ndulu wala Kikwete bali yalianzia Kenya na kampuni ya Safaricom, sisi tumeiga tu na kuwa pia kampuni ya vodacoma na safaricom ni ndugu wa baba mmoja, mwishowe mtasema hata control number walileta wao, naona watu wanahangaika sana kutaka kuonekana wao ndio wamefanya makubwaDar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini.
Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu ya kumbukizi ya Profesa Ndulu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha New York (NYU) kupitia jukwaa lake la Africa House.
Profesa Ndulu alikuwa Gavana wa BoT kuanzia mwaka 2008 hadi 2018 alipostaafu. Mtaalamu huyo wa uchumi alifariki Februari 21 mwaka huu jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Kairuki.
Katika hotuba yake aliyoitoa katika majadiliano hayo, Kikwete alisema wakati akiwa Rais, Profesa Ndulu alimpelekea wazo lake la kuanzisha huduma jumuishi za kifedha, akamruhusu, sasa wazo hilo limeleta matokeo makubwa.
Alisema uamuzi wake huo ulisababisha ongezeko la huduma jumuishi za kifedha kwa wananchi kutoka asilimia 16 zilizokuwapo mwaka 2009 hadi asilimia 65 mwaka 2018 alipostaafu kama Gavana wa Benki Kuu.
Wanahangaika sana mkuu wanadhani wote mafala, haya mambo aliyeleta ni Safaricom kampuni ya Waingereza ndugu na Vodacom lakini makazi yao yakiwa jijini Nairobi,ndulu yeye alipitisha tu baada ya kuona kule Kenya hii huduma imesambaa na inafanya kazi na wakati huo huo hapa Tanzania vodacom walikuwa tayari wamejiandaa kuanzisha hii huduma na na walikuwa ndio wanaomba kibali cha kuendesha emoney. Hizi sifa za makusudi hazina mshiko.Hili la kutumia simu kutuma na kupokea fedha halikuanzia Tanzania. Sisi tume copy tu na limekuja na matumizi ya smartphone. Kuna mambo mengi tu yameletwa na matumizi ya smartphone na sidhani kama tungeweza kujitenga kwa nmana yoyote. Sifa nyingine wala hazina maana.
Sawa mjukuuMwaka 2009 nikiwa darasa la nne bibi yangu M-Pesa alikuwa anaiita Mapesa. Hata transactions za mitandao mingine zilizofuatia aliziita hivohivo mpaka badae akajua kuzitofautisha. Mwanzoni alikuwa anagoma wasitume hela uko akidai itaibiwa na wafanyakazi wa mitandao ya simu.
Tata witu kalesa mwakosula uliPosuta , mwalala uli?
JK alikuwa anawapa uhuru wa wataalam wengi kuonyesha vipawa vyao siyo yule diktetaDar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini.
Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu ya kumbukizi ya Profesa Ndulu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha New York (NYU) kupitia jukwaa lake la Africa House.
Profesa Ndulu alikuwa Gavana wa BoT kuanzia mwaka 2008 hadi 2018 alipostaafu. Mtaalamu huyo wa uchumi alifariki Februari 21 mwaka huu jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Kairuki.
Katika hotuba yake aliyoitoa katika majadiliano hayo, Kikwete alisema wakati akiwa Rais, Profesa Ndulu alimpelekea wazo lake la kuanzisha huduma jumuishi za kifedha, akamruhusu, sasa wazo hilo limeleta matokeo makubwa.
Alisema uamuzi wake huo ulisababisha ongezeko la huduma jumuishi za kifedha kwa wananchi kutoka asilimia 16 zilizokuwapo mwaka 2009 hadi asilimia 65 mwaka 2018 alipostaafu kama Gavana wa Benki Kuu.
Sio kila msomi ni msomi. Wengine wamekariri mambo tu, ili kutishia watu. Prof Ndullu was a Professor. na aliyofanya ndio haya yanambeba wakati yeye ametangulia mbele ya haki.Umuhimu wa wasomi Prof..Lakini Ukija Bungeni Speaker Ndugai anawaacha akima Musukuma , Kibajaji na Jaa pipo Ndio waongoze Bunge kwa Mipasho huku wakiwananga Wasomi wetu.. Pathetic this is only in Tanzania Parliamentary sessions.
Usijali utani tuHahaha, sijafikia hapo mkuu
Sio kweli kwamba hi kitu imetokea Kenya, sio kweli; katafute vizuri from the history; hi kitu imeanzia nchi za mashariki ya mbali kama Malysia, Indonesia na hata SA, huenda Tanzania ndio ilikua ya kwanza kabla ya Kenya; Wakenya wengi walikua wanatumia neno M-pesa badala ya hiyo ya kwao sasa ambayo Safaricom wanakwenda nayo.pesa mtandao ni bonge la huduma nasikia mwanzilishi ni mkenya, kwa kweli anastahili tuzo kubwa sana.
Hahaha karibuUsijali utani tu
Kikwete siku hizi kawa Msemaji wa Samia.
Pale nilileta utani kama yeye. Siwezi ruka stage mkuuMaliza kusoma, ajiriwa or tafuta mchongo oa. ...usiruke hata steji moja .. mabinti wanazaliwa kila saa.
kwanini JK hakunena maneno haya enzi za Mwendazake??