Kikwete apokea Ripoti ya EPA ajiandaa kuhutubia Taifa!

nat867

Member
Feb 14, 2008
97
5
Nimesikia kwenye news kwamba JK mkulu wa nchi atahutubia bunge 21 august 2008. Kama ndivyo Rais Jk atakidhi kiu ya wananchi kama ataeleza kwa ufasaha yafuatayo:

1. Hatua gani zimechukuliwa dhidi ya wezi wa EPA. Wananchi hawataki kusikia eti uliunda kamati ambayo haijakamilisha ripoti. Terms of reference ulielekeza wachukue hatua za kisheria na si kuandika taarifa nyingine kwani tayari Ernst+young walishaanika kila kitu. Kama hutaji hatua za kisheria zilizochukuliwa ni vema usiliongelee

2. Ufisadi wa Mkapa, yonah et al: tueleze hatua gani utachukua dhidi ya hawa kwa kuchukua kiwanda cha makaa ya mawe kifisadi. Usitueleze kiwanda kilikuwa katika hali mbaya. Kama kilikuwa katika hali mbaya kwa nini hawakutangaza tenda. Usijaribu kumtetea

3. Madini ya watanzania kuporwa: eleza kwa kina usipofanyia kazi mapendekezo ya kamati ya bomani. Pia utueleze kwa nini serikali yako imeanza m
azungumzo na wa-canada kuhusu kuwa exempted kwenye mapendekezo yanayotolewa na kamati ya bomani.

4. Ripoti ya richmond. Lieleze bunge kwa nini serikali yako inavuta miguu kutekeleza maamuzi ya bunge kuhusu ufisadi wa richmond. Mmegoma au?

5. Meremeta na mwananchi: tueleze jinsi makampuni haya yanavyohusika na usalama wa taifa. Je kupora madini ya watanzania ndo usalama wao? Nini kimejificha ndani yake? Waeleze wananchi hatua ulizokwisha chukua kwa wezi hawa?

6. Tanesco. Tueleze hatua utakazochukua kutuokoa watanzania dhidi ya mikataba ya kifisadi ya IPTL na mingine.Maneno matupu hayatusaidii kwani nasikia tanesco wanaandaa mapendekezo kwenda ewura kupandisha gharama. Huoni tunazidi kuumia sisi walala hoi

7. Zanzibar nchi si nchi? Toa msimamo wako ni upi? Unalishughulikiaje?

8. Mwafaka ccm na cuf: tueleze hatua binafsi unazochua kunusuru mazungumzo. Kwani tayari mamilioni ya tsh. Yameteketea tayari ktk vikao

9. Mgombea binafsi: tueleze msimamo wa serikali ni upi tueleze lini mnawasilisha mswada bungeni?

10. Maslahi ya wafanyakazi. Uliunda kamati kupitia maslahi ya wanafanyakazi. Mbona hatuoni mabadiliko?

11. Usalama wa chakula? Tueleze hatua gani unachukua tofauti na mkapa na waliokutangulia wengine. Si unajua chakula kitazidi kuwa haba duniani. Hivi hatuna uwezo wa kutoa trekta moja kila kata kwa kuanzia kama siyo kijiji chenye ardhi na hali ya hewa safi. Hatuoni kuwa kilimo kinaweza kutuokoa?

12. Bidhaa feki: vipi serikali imelala au?Mbona bidhaa feki zitatumaliza. Tueleze kwa nini zipo na hatua gani umechukua kama kiongozi wa nchi?

Hiyo ndo dazeni ya issues zangu ambazo ukizitolea maelezo kwa ufasaha wananchi tutakupa 5. Otherwise hotuba ikiwa kama ya mwisho wa mwezi uliopita utatuacha midomo wazi.
Nawasilisha ili wana Jf muongezee na hatimaye salva rweyemamu amfikishie ujumbe mh. Rais

isipokuwa hivyo nitapendekeza tuunde kamati kuchungua utayarishaji wa hotuba za rais
nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Du kama alidhania Urais ni Urahisi sasa ndio tutaona..............jamaa amebanwa haswa....sijui kama vyombo vyote vinavyopima utekelezaji na ufanisi wa Pres wanasemaje kuhusu jamaa maana naona kama amepoteza kama alivyopoteza...Babake AHM...
 
Tusitegemee chochote kutoka kwa huyu "the comedy" wetu, labda atueleze pia kama ni kweli ameo mke wa pili
 
Ile Mikutano na wahariri wa vyombo vya habari siku hizi hakuna au anaogopa maswali pale si atahutubia tu maneno matamu!!!!:confused:
 
Inaweza kuwa sehemu ya usanii kama alioufanya awali, lakini atambue kuwa atakuwa anajiandalia anguko.
Desembe 2005, mara baada ya kuchaguliwa, alilihutubia Bunge na kutoa mother of all speeches. Ilikuwa na vitu vingi ambavyo iwapo vingetekelezwa nusu tu, kungekuwa na mabadiliko makubwa nchini kuelelea neema. Lakini inaonekana kuwa hotuba ile ilikuwa danganya toto, maneno matamu ambayo utekelezaji wake hauonekani kulandana na kasi, ari na nguvu mpya.
Watanzania tunayafahamu hayo, asijaribu kurudia tena. Ahadi zimeshatosha, alizozitoa, tangu wakati wa kampeni hadi sasa, zinahitaji zaidi ya miaka 20 kuzitekeleza kwa ukamilifu, tunachotaka sasa ni utekelezaji si ahadi zaidi.
Kama ataitumia nafasi hii kutuahidi kuwa serikali imedhamiria kutekeleza ahadi, mimi sitamwelewa. Aje atumabie kilichofanyika kutekeleza yake aliyoyaahidi.
Hapo kuna hoja nyingine ya kujibu. Kama kimefanyika hicho kilichofanyika, ambacho watanzania tumefichwa, kwa nini hatuno mabadiliko makubwa tuliyoahidiwa?
hadithi kuwa watanzania wafanye kazi kwani maendeleo hayaji kama maji hatuzitaki tena kwa sababu kwa sehemu kubwa watanzania wanajituma sana.
 
jiandaeni kupigwa usanii mwingine na tabasamu. ni longolongo tu hakuna kitu
 
Nimesikia kwenye news kwamba JK mkulu wa nchi atahutubia bunge 21 august 2008. Kama ndivyo Rais Jk atakidhi kiu ya wananchi kama ataeleza kwa ufasaha yafuatayo:

1. Hatua gani zimechukuliwa dhidi ya wezi wa EPA. Wananchi hawataki kusikia eti uliunda kamati ambayo haijakamilisha ripoti. Terms of reference ulielekeza wachukue hatua za kisheria na si kuandika taarifa nyingine kwani tayari Ernst+young walishaanika kila kitu. Kama hutaji hatua za kisheria zilizochukuliwa ni vema usiliongelee

2. Ufisadi wa Mkapa, yonah et al: tueleze hatua gani utachukua dhidi ya hawa kwa kuchukua kiwanda cha makaa ya mawe kifisadi. Usitueleze kiwanda kilikuwa katika hali mbaya. Kama kilikuwa katika hali mbaya kwa nini hawakutangaza tenda. Usijaribu kumtetea

3. Madini ya watanzania kuporwa: eleza kwa kina usipofanyia kazi mapendekezo ya kamati ya bomani. Pia utueleze kwa nini serikali yako imeanza m
azungumzo na wa-canada kuhusu kuwa exempted kwenye mapendekezo yanayotolewa na kamati ya bomani.

4. Ripoti ya richmond. Lieleze bunge kwa nini serikali yako inavuta miguu kutekeleza maamuzi ya bunge kuhusu ufisadi wa richmond. Mmegoma au?

5. Meremeta na mwananchi: tueleze jinsi makampuni haya yanavyohusika na usalama wa taifa. Je kupora madini ya watanzania ndo usalama wao? Nini kimejificha ndani yake? Waeleze wananchi hatua ulizokwisha chukua kwa wezi hawa?

6. Tanesco. Tueleze hatua utakazochukua kutuokoa watanzania dhidi ya mikataba ya kifisadi ya IPTL na mingine.Maneno matupu hayatusaidii kwani nasikia tanesco wanaandaa mapendekezo kwenda ewura kupandisha gharama. Huoni tunazidi kuumia sisi walala hoi

7. Zanzibar nchi si nchi? Toa msimamo wako ni upi? Unalishughulikiaje?

8. Mwafaka ccm na cuf: tueleze hatua binafsi unazochua kunusuru mazungumzo. Kwani tayari mamilioni ya tsh. Yameteketea tayari ktk vikao

9. Mgombea binafsi: tueleze msimamo wa serikali ni upi tueleze lini mnawasilisha mswada bungeni?

10. Maslahi ya wafanyakazi. Uliunda kamati kupitia maslahi ya wanafanyakazi. Mbona hatuoni mabadiliko?

11. Usalama wa chakula? Tueleze hatua gani unachukua tofauti na mkapa na waliokutangulia wengine. Si unajua chakula kitazidi kuwa haba duniani. Hivi hatuna uwezo wa kutoa trekta moja kila kata kwa kuanzia kama siyo kijiji chenye ardhi na hali ya hewa safi. Hatuoni kuwa kilimo kinaweza kutuokoa?

12. Bidhaa feki: vipi serikali imelala au?Mbona bidhaa feki zitatumaliza. Tueleze kwa nini zipo na hatua gani umechukua kama kiongozi wa nchi?

Hiyo ndo dazeni ya issues zangu ambazo ukizitolea maelezo kwa ufasaha wananchi tutakupa 5. Otherwise hotuba ikiwa kama ya mwisho wa mwezi uliopita utatuacha midomo wazi.
Nawasilisha ili wana Jf muongezee na hatimaye salva rweyemamu amfikishie ujumbe mh. Rais

isipokuwa hivyo nitapendekeza tuunde kamati kuchungua utayarishaji wa hotuba za rais
nawasilisha
13:Katiba: Bila kuzungumzia katiba utakuwa usanii tu maana suala la Zanzibar na mgombea binafsi yanahusishwa na katiba
 
tunataka taarifa ya EPA na uetekelezaji wa mapendezo ya RICHMOND
 
NAT umesaidia waandishi wa habari; haya maswali ya wananchi na mengineyo kesho na kesho kutwa yasambae ktk magazeti na vyombo vya habari; ili akiruka viunzi bila utaratibu walau watu wawe na maswali ya kuuliza; ni mhimu wananchi wasio na tarifa na mtandao namna hii wakapata maswali kwa rais wao; daima/M'nchi,raia mwema,mwanahalisi,theciticizen, dailynews, na magazeti yote haya ndio maswali ambayo namfanya raisi afikiri kujibu matawa ya wananchi waliomchagua, maswali haya yaanze sasa kutolewa wajumbe, wajumbe wapeni hawa jamaa wa news media-Nawasilisha
 
naimani kuwa raisi atazungumzia mambo mengi ikiwapo

hali ya taifa kwa sasa hasa misukosuko iloikumba serikali kwa mda mfupi
 
Pia ni lazima aongelee mauaji ya Albino. Mimi nashangaa sijawahi muona akiingolea hiyo!
 
Tusitegemee chochote kutoka kwa huyu "the comedy" wetu, labda atueleze pia kama ni kweli ameo mke wa pili

duuuh!

kama rais wa nchi ya tanzania hawezi akasema kama ameoa mke wa pili kident cha mzumbe, ila kama Jakaya Mrisho Kikwete muumini safi wa dini ya kiislam anaweza akakiri, labda tusubiri akimaliza muda wake wa urais 2010 na kukabidhi madaraka kwa wengine atasema....

watanzania tusitegemee chochote katika hiyo hotuba yake, yaani ataendelea kutupotezea muda tu, hana jipya, hana uwezo wa kuchukua hatua dhidi ya malalamiko yote ya wananchi, watanzania wanaishi katika maisha ya dhiki kuu, bei ya vyakula haikamatiki achilia mbali bei ya bidhaa muhimu kama vile maji, umeme, kodi za nyumba na frame za biashara, mafuta,

zaidi tutegemee azidi kuuza sura tu na kutangaza mipango yake ya kuoa mke wa tatu, hapo ataweza coz he's gud in that
 
pamoja na yote nampongeza kwani tangu aingie madarakani bei ya bia haijapanda sana, japo pesa ya kuinulia ndiyo imepotea kabisa!
 
JF na Umma wa WTZ tutarajie taarifa nzito toka kwa mtumishi wetu JK, taarifa yake hii imechagua venue mahsusi kutokana na uzito wake, tutatikisika lakini salama maana redio mbao hazijajiandaa kupokea uzito wa taarifa ya mkuu, ni Mzee wa Speed na wapambe wake wa karibu wanaojua uzito wa taarifa hii Bungeni.
Mungu ibariki Tz
 
Kuna maneno mnayoandika hapa ambayo hayaendani na utamaduni wetu, tumia maneno ya kawaida kufikisha ujumbe wako, utaeleweka tu.

Kama umekata tamaa kwenye maisha yako. hiyo sio jamvi la kutua huo mzigo. kwani nani alikuambia umaskini wako unaondolewa na Rais?

Mara nyingi wanaotumia maneno ya kuudhi na wao vichwani mwao mmhhh!!!

Kuweni waastarabu ebo?
 
Katika hali isiyotarajiwa, waandishi wa habari waliokuwa wamekwisha kuingia ndani ya viwanja vya IKULU kuhudhuria uwasilishwaji wa kile kinachoitwa "Taarifa ya EPA" walijikuta wakirudishwa na kuambiwa watajulishwa ni lini au muda gani wataitwa tena.

Wakati huo Mwenyekiti wa Task Force iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya wahusika wa EPA, Mwanasheria Mkuu, Johnson Mwanyika, alikuwa ndani ya majengo ya IKULU.

MASWALI YAMEIBUKA:
1. Je, Rais alipata dharura ya kukosa muda wa kuipokea?
2.Je, Rais hakuridhishwa na maelezo ya kina Mwanyika kuhusu taarifa yao?
3. Je, Rais ameshitushwa na taarifa hiyo kutokana na kugusa wengi?
4. Je, Rais aliona ni bora aisome kwanza ili akiipokea awe na cha kusema?
5. Je, Rais ameona hakuna sababu ya kupokea mbele ya waandishi?
6.Je, Rais aliona ni bora wahusika wachukuliwe hatua badala ya taarifa?
7. Je, Kina Mwanyika wamemwambia kazi bado nzito?

Na mengine mengi waandishi wamejiuliza na wananchi watajiuliza pia, JF munasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Halisi Haya Ni Masuala Ya Usalama Zaidi , Kama Huyo Mwanyika Anaona Hiyo Nafasi Haitaki Basi Aseme Chochote Kipya Kuhusu Epa Au Masuala Yoyote Yale Yanayohusuana Na Hiyo Ishu
 
Nimesikia kwenye news kwamba JK mkulu wa nchi atahutubia bunge 21 august 2008. Kama ndivyo Rais Jk atakidhi kiu ya wananchi kama ataeleza kwa ufasaha yafuatayo:

1. Hatua gani zimechukuliwa dhidi ya wezi wa EPA. Wananchi hawataki kusikia eti uliunda kamati ambayo haijakamilisha ripoti. Terms of reference ulielekeza wachukue hatua za kisheria na si kuandika taarifa nyingine kwani tayari Ernst+young walishaanika kila kitu. Kama hutaji hatua za kisheria zilizochukuliwa ni vema usiliongelee

2. Ufisadi wa Mkapa, yonah et al: tueleze hatua gani utachukua dhidi ya hawa kwa kuchukua kiwanda cha makaa ya mawe kifisadi. Usitueleze kiwanda kilikuwa katika hali mbaya. Kama kilikuwa katika hali mbaya kwa nini hawakutangaza tenda. Usijaribu kumtetea

3. Madini ya watanzania kuporwa: eleza kwa kina usipofanyia kazi mapendekezo ya kamati ya bomani. Pia utueleze kwa nini serikali yako imeanza m
azungumzo na wa-canada kuhusu kuwa exempted kwenye mapendekezo yanayotolewa na kamati ya bomani.

4. Ripoti ya richmond. Lieleze bunge kwa nini serikali yako inavuta miguu kutekeleza maamuzi ya bunge kuhusu ufisadi wa richmond. Mmegoma au?

5. Meremeta na mwananchi: tueleze jinsi makampuni haya yanavyohusika na usalama wa taifa. Je kupora madini ya watanzania ndo usalama wao? Nini kimejificha ndani yake? Waeleze wananchi hatua ulizokwisha chukua kwa wezi hawa?

6. Tanesco. Tueleze hatua utakazochukua kutuokoa watanzania dhidi ya mikataba ya kifisadi ya IPTL na mingine.Maneno matupu hayatusaidii kwani nasikia tanesco wanaandaa mapendekezo kwenda ewura kupandisha gharama. Huoni tunazidi kuumia sisi walala hoi

7. Zanzibar nchi si nchi? Toa msimamo wako ni upi? Unalishughulikiaje?

8. Mwafaka ccm na cuf: tueleze hatua binafsi unazochua kunusuru mazungumzo. Kwani tayari mamilioni ya tsh. Yameteketea tayari ktk vikao

9. Mgombea binafsi: tueleze msimamo wa serikali ni upi tueleze lini mnawasilisha mswada bungeni?

10. Maslahi ya wafanyakazi. Uliunda kamati kupitia maslahi ya wanafanyakazi. Mbona hatuoni mabadiliko?

11. Usalama wa chakula? Tueleze hatua gani unachukua tofauti na mkapa na waliokutangulia wengine. Si unajua chakula kitazidi kuwa haba duniani. Hivi hatuna uwezo wa kutoa trekta moja kila kata kwa kuanzia kama siyo kijiji chenye ardhi na hali ya hewa safi. Hatuoni kuwa kilimo kinaweza kutuokoa?

12. Bidhaa feki: vipi serikali imelala au?Mbona bidhaa feki zitatumaliza. Tueleze kwa nini zipo na hatua gani umechukua kama kiongozi wa nchi?

Hiyo ndo dazeni ya issues zangu ambazo ukizitolea maelezo kwa ufasaha wananchi tutakupa 5. Otherwise hotuba ikiwa kama ya mwisho wa mwezi uliopita utatuacha midomo wazi.
Nawasilisha ili wana Jf muongezee na hatimaye salva rweyemamu amfikishie ujumbe mh. Rais

isipokuwa hivyo nitapendekeza tuunde kamati kuchungua utayarishaji wa hotuba za rais
nawasilisha

Mkuu, hayo ni mengi sana na sijui kama ataweza kuyazungumzia yote. Angalau atueleze kwa awamu na kwa kuanzia aishie namba 5 asipoyajibu hayo basi orodha itaendelea kuongezeka kila baada ya muda si unajua kila kukicha nchi hii UFISADI unazidi kuongezeka.

Ni vema awe tayari kufanya maamuzi magumu na akiyumba kuelezea hayo uliyosema basi nchi imemshinda na aturudishie nchi kwa hiyari ifikapo 2005 kwa kutogombea kwa hiyari yake.
 
Back
Top Bottom