Kikwete apewa tuzo na madaktari wa meno Tanzania

mkwara wa juzi umesaidia hadi wameanza kumlamba miguu.....ole wenu madokta tuje tusikie mnadai maslai labda 2016.!

Umenikumbusha ile katuni ya magazeti ya Kenya kuhusu wandishi habari wa Tanzania
 
Tukijaribu kuwa fare pamoja na madai ya msingi ya drs, JK personally amechangia kuleta machine za kisasa sana pale dental muh2 ambayo ambayo iko chini ya MUHAS sio MNH. Ufunguzi ulifanyika February 2010. Kwa kweli ni vifaa vya kisasa sana.
Yeye mwenyewe ndie alienda kuvitafuta akishirikiana na mtoto wake Salama ambaye naye ni dental surgeon sasa hv anasoma UK .
Amekuwa akiwap tafu sana drs wa meno Kwa mambo mengi naona km wana haki ya kumtambua mchango wake!!
 
Hii ni nchi ya sarakasi na kushangaa shangaa. Ngoja nikapige pafu moja la jack daniel. hii thread nawaachia Ritz, Hojatete na mama porojo.
 
Tukijaribu kuwa fare pamoja na madai ya msingi ya drs, JK personally amechangia kuleta machine za kisasa sana pale dental muh2 ambayo ambayo iko chini ya MUHAS sio MNH. Ufunguzi ulifanyika February 2010. Kwa kweli ni vifaa vya kisasa sana.
Yeye mwenyewe ndie alienda kuvitafuta akishirikiana na mtoto wake Salama ambaye naye ni dental surgeon sasa hv anasoma UK .
Amekuwa akiwap tafu sana drs wa meno Kwa mambo mengi naona km wana haki ya kumtambua mchango wake!!

Tatizo kuwa mpinzani Afrika ni lazima kupinga kila kitu,ili kukeep wafuasi wako,shauri ya ulaji.
 
Inafikia kipindi natamani watoto wa viongozi wawe madaktari wengi tu , hii itasaidia uboreshaji wa huduma za afya. Nina imani kama salama angekuwa MD (sio dental doctor) basi kungenunuliwa vifaa vya kisasa kwenye mahospital yetu na huenda kungejengwa hospital kubwa ya kisasa Tanzania ambayo ingeondoa hata hii bughudha ya kupeleka viongozi njee. Tuombee na kina mwanaasha wawe madaktari jamani huenda hatutaona hii migomo tunayoiona sasa.
 
rais kikwete leo ametunukiwa tuzo na chama cha madaktari wa meno Tanzania uliombatana na kupewa uanachama wa chama hicho

source: TBC

Tanzania njaa zitatuua manake siyo wasomi siyo nani yani ni njaa tu za kishenzi
 
Tukijaribu kuwa fare pamoja na madai ya msingi ya drs, JK personally amechangia kuleta machine za kisasa sana pale dental muh2 ambayo ambayo iko chini ya MUHAS sio MNH. Ufunguzi ulifanyika February 2010. Kwa kweli ni vifaa vya kisasa sana.
Yeye mwenyewe ndie alienda kuvitafuta akishirikiana na mtoto wake Salama ambaye naye ni dental surgeon sasa hv anasoma UK .
Amekuwa akiwap tafu sana drs wa meno Kwa mambo mengi naona km wana haki ya kumtambua mchango wake!!

Ni heri watoto wote wa Viongozi wangekuwa madaktari, waalimu na mapolisi.
Hata mke wa rais angeendelea kufundisha huenda waalimu wetu, wangekuwa na mazingira safi ya kazi na kuishi.
 
may take;
hawa madaktaari kama wataka wapate kile wanachokilalamikia kwa mtindo huu wa kumlamba miguu mtu anaegoma kuwapa haki yao, baaas,
badala wamvalie sura ya kazi wanamwendea tena na zawadi??
kumbe nao magamba au tuwaeleweje/???????????
au madaktari wa meno hawapo kwenye mgomo wa kutaka maslahi yao???????
 
Waliaangaliianaaaa weeeeeeeee bada ya kumpatia tuzo,kisha ikawa kama vile wamesahau k2...then wakakumbatiana ikabakia kido tuuu kiss ianguke!VASCODAGAMA BWANAA!!:wink2:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom