Kikwete Aongoza Tanzania kwa Ridhaa ya 12% ya Watanzania.

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
88% hawajampa ridhaa. je ataongoza tanzania kikamilifu?
 
Attachments

  • Uongozi wa JK hauna ridhaa ya watanzania.pdf
    6.9 KB · Views: 100
Demokrasia imebakwa!
Sijaona mtu ana 27% ya kura za raia atawale kama rais...
Watu wana namna nyingi za kuongea, wengine waligoma kwenda kupiga kura baada ya kuona mgombea aliyeahidi maisha bora(bila kutimiza) amekuja tena kuomba KULA!
 
Asante kwa dokezo hili. Nadhani taasisi mbalimbali zinatakiwa zifanye utafiti wa kisayansi kubaini ni kwa nini wananchi walio wengi hawakutoka kupiga kura ili watoe mapendekezo ya nini kifanyike kwa umma na wadau wote. Kwenye jambo nyeti kama hili ni vyema kukisia sababu zilizopelekea watu wengi kiasi hiki wasipige kura, ni muhimu tujue tatizo hasa ni nini.
 
Kwa bahati mbaya hata tume haijaonesha kuwa hili ni tatizo kubwa. Ni aibu! Labda wanajua sabu ndo maana hawana haja ya kufanya utafiti. Lakini ni kweli vyombo huru vinatakiwa kufanya utafiti huo na kuhakikisha kuwa hakuna chama cha siasa kinachokuwa na mkono katika utafiti huo
 
Pumba hizo! Kwani Watz wote wameajiandikisha? Bila shaka hapana wengine ni watoto na waliojiandikisha hawakujitokeza. So tulochagua tumechagua!
 
Pumba hizo! Kwani Watz wote wameajiandikisha? Bila shaka hapana wengine ni watoto na waliojiandikisha hawakujitokeza. So tulochagua tumechagua!

A learned person do not fight with data but with Analysis. What about the data? is 27% sufficient? is 44% adequate?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom