Asante kwa dokezo hili. Nadhani taasisi mbalimbali zinatakiwa zifanye utafiti wa kisayansi kubaini ni kwa nini wananchi walio wengi hawakutoka kupiga kura ili watoe mapendekezo ya nini kifanyike kwa umma na wadau wote. Kwenye jambo nyeti kama hili ni vyema kukisia sababu zilizopelekea watu wengi kiasi hiki wasipige kura, ni muhimu tujue tatizo hasa ni nini.
Pumba hizo! Kwani Watz wote wameajiandikisha? Bila shaka hapana wengine ni watoto na waliojiandikisha hawakujitokeza. So tulochagua tumechagua!