Kikwete angeenda UDP mwaka 1995 Subira na ushauri vikampa Urais, Lowassa ulikosea sana kuhama kwa jazba

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mwaka 1995 wakati Nyerere (mzee nchonga) ameweka ngumu kuhusu vijana wawili nachelea kusema masharobaro wa kipindi kile , Kijana mmoja aliyechukia alionekana kuchukizwa na maamuzi ya Nyerere alikasikirika sana akaamua kufanya mpango wa kuhama Chama, kwenda UDP, ambayo haikuwa na nguvu kwa kipindi kile lakini alikuwa maarufu maana alishatengeneza chanel japo ingekuwa ngumu kwake maana umaarufu wake haukufika kwa Mrema wa kipindi kile,

Mtu wake wa karibu alinihabarisha kwamba asingekuwa mwalimu Nyerere , basi kikwete angekuwa rais kupitia CCM mwaka 1995 na kumpangia majukumu Mkapa kama waziri fulani hivi,

Pia asingekuwa Nyerere Kikwete angehama chama na kwenda UDP maana mpango alishauweka, lakin Nyerere akamtuma Kasori amuite na wakaongea akamwambia awe na subira,

Hii inatuonesha uvumilivu umempa Kikwete Urais,

Kamanda lowassa ni Muoga mnoo alinuna tu kivyake vyake na aliogopa kwamba angehama labda asingefanikiwa na akaamua kubaki akilalamika moyoni tu, maana alimuogopa mzee Nyerere,

lakin Mwaka 2015 alifanya Jazba angebaki huwezi jua 2025 angekuwa Rais, lakin ukishahama CCM ndo urais basi tena

pili najiuliza swali Pale Magufuli alipoteua atakayekuwa makamu , ingekuwa vipi angemteua Lowassa badala ya suluhu?

Je Lowassa angehama? Upinzani wangeambulia kura ngapi? Maana za 4u movement ni 4,500,000.
weka za Magufuli 8,700,000

ina maana Ukawa wangebaki na 1,000,000 za Dokta Slaa?
 
Rais bara Makamu Zanzibar, Rais Zanzibar Makamu Bara
Mkapa-Dr Omary then Shain
kikwete-Dr Bilal
Lowassa-Duni Haji Duni
Magufuli-Samia
 
Lowassa a gesubiri hadi 2025 akiwa na umri gani?!

Mbona hausemi na subira ya mkwere 2005 pale alipojiandaa kuhamia CHADEMA na mipango ilishaandaliwa na hadi kadi akachukua kwa siri kule kabla ya Kihangwa na wakamwambia kabisa Che Nkapa?!!
 
Kikwete hakuwa na uwezo wa kuamia CHADEMA na hawapendi
 
Alafu umri si ishu, kwani katiba yetu inasema ukomo wa umri??
 
Akili zako ziko harijojo ndio maana kila siku unaanzisha thread za kutunga kuhusu Dr Shika. Hakuna hata thread unayoanzisha inayokuwa na hoja za maana. Nyie ndio mnaharibu ukumbi huu mpaka watu wanaudharau!
Nakufollow uangalie thread zangu uone kama unafika hata robo yangu kwa kufikiri hata kuwaza, maisha na maono bila kusahau exposure
 
Kikwete hakuwa na uwezo wa kuamia CHADEMA na hawapendi
Kaulize kwa watu wanaojua!!!

Kwenye andiko lako kusema Magu angemteua Lowassa awe makamu wa raisi ni upopoma,chha ajabu unaweza kufuatilia isidingo ya Dr Shika huku hujui hata makamo wa raisi anapatikanaje!!!
 
Kwa jinsi mnavyo boronga ipo siku....tutasema tunamuandaa Dr Shika for Magogoni!!! Acheni nipite mieee
 
Muda huo 1995 Jk alikuwa Ana Miaka 45 na alikuwa Ana beep akaona kapokelewa vizuri kumbuka ndio alikuwa na Miaka mitano tu tangu awe Waziri
Lowassa 2015 alishakuwa na Miaka 62 na alishakaankwny cabinet 'Miaka mingi sana na alishakuwa Pm na alishamwaga pesa nyingi sana akiamini anakuwa Rais
 
Tatizo ni wale washkaji wawili kutemana na kukiuka makubaliano,
M
Mmoja baada ya kuupata urais baas akasahau kama ana makubaliano na mwenzake alamchinjia baharini,

Mzee umri ulikuwa umeenda tayari hakutaka tena kusibiri alochokuwa anawaza ni yeye kuwa head wa state tu,

Kwa miaka ile Kikwete alikuwa anaweza kusubiri alikuwa bado mdogo na umri ulimruhusu kurudia tena
 
Kaulize kwa watu wanaojua!!!

Kwenye andiko lako kusema Magu angemteua Lowassa awe makamu wa raisi ni upopoma,chha ajabu unaweza kufuatilia isidingo ya Dr Shika huku hujui hata makamo wa raisi anapatikanaje!!!
Umenikasirisha kwa sababu thread zako nyingi ni za kutunga. Unafanya hili jukwaa lionekane ni jukwaa la porojo. Sasa kulikuw na umuhimu gani wa kutunga eti umefuatilia mambo ya Dr Shika mpaka Urusi na kuandika uongo usioleta mantic yotote
 
Macho-mdiliko hakika una tatizo la macho@!
 
Hata hivyo huyo mleyempa ameleta nini tofauti na upendeleo wa kanda ya...
Nafikiri na yy ameiga kule Kaskazini ambako ndiko ORIGIN ya Ukanda
Kwa sasa ni zamu yao hebu cool men!!!!!!
Mlijazana kila sehem kwa sasa mnakuwa pruned...na mtakoma
Muosha huoshwa!!!!!
 
Back
Top Bottom