Kikwete and Family: Nani ni Nani?

Ni mtoto aliezaliwa jana lakini wazazi wake wanamdanganya kuwa atarithi uraisi wa baba yake.ki ukweli Ridhiwani hana budi kuanza kujilinda maisha yake yote kwani amejiongezea maadui wengi sio siri Dogo unachukiwa zaidi ya ukimwi kwa sasa.
 
Ni kaji paka fulani.Ila ndo tatizo lakumkabidhi mswahili Nchi waswaa wote watahamia ikulu. Hebu angalia maofisini sehemu zote zenye waswahili hasa(wa pwani) misururu saa zote wanakuja kuomba.Je hamuwaoni hao hata aibu hawana???????????????????????????????????????????
 
Ni Mwanasheria pale IMMMA advocates - kampuni ambayo Marsha ni among shareholders. Kampuni hii ndiyo ilipewa kazi ya ku review mining contracts mwanzoni mwa 2005 ambapo marsha alikuwa Naibu waziri wa Madini kama sijakosea.

Ni kijana mwenye PESA nyingi na nguvu kubwa sana ndani ya UVCCM, Masauni anaweza kutusaidia zaidi hapa.
 
Just curious!!! Hivi nani ni mgombea urais kati ya hawa? Mbona wote wana majukumu sawa ya kuinua mikono ya wagombea ubunge na kuwatambulisha kwa wapiga kura?
Sijaona Makamu mwenyekiti wa chama (Msekwa) akitambulisha wagombea, au makamba akifanya hivyo. Ina maana Mama salma na Ridhiwani wana vyeo vikubwa kushinda makamu mwenyekiti wa chama na Katibu mkuu?

Wote wagombea hujasikia Mama Salma alivyohojiwa siku ya uchaguzi?

Ujuha at its height
 
Back
Top Bottom