Kikwete and Family: Nani ni Nani?

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Just curious!!! Hivi nani ni mgombea urais kati ya hawa? Mbona wote wana majukumu sawa ya kuinua mikono ya wagombea ubunge na kuwatambulisha kwa wapiga kura?

Sijaona Makamu mwenyekiti wa chama (Msekwa) akitambulisha wagombea, au makamba akifanya hivyo. Ina maana Mama salma na Ridhiwani wana vyeo vikubwa kushinda makamu mwenyekiti wa chama na Katibu mkuu?

Kikwete1.jpg

salma_shah.jpg

mwakalebela_ridhiwan.jpg

Kwani CCM ya zamani tuliyoijua sisi wakati wa baba wa taifa angali ameshika hatamu ndo ya leo? hii ya leo imejaza wahuni tupu kuanzia ngazi ya barizi hadi taifa kwa hiyo maana hiyo siwezi kushangaaa kuona familia imekuwa ndo CCM mwenyekiti. Makamu na Katibu mkuu wengine wapo hapo kufuata upepo tu wakisubiri waambiwe nini wakalopoke ile wajaze matumbo. Anyway i predict mwisho wa Ridhone utakuwa mbaya sana labda akimbilie ugaibuni.
 
wivu wa kike tuu..!!!
hahaha hahaha hahaha napata picha hapo

Lakini this is shame to our nation kuwa family imechukua hatamu za uongozi wa nchi kuanzia kwenye kampeni hadi nshaaa matumizi ya hovyo ya rasilimali za umma..
 
Kwani CCM ya zamani tuliyoijua sisi wakati wa baba wa taifa angali ameshika hatamu ndo ya leo? hii ya leo imejaza wahuni tupu kuanzia ngazi ya barizi hadi taifa kwa hiyo maana hiyo siwezi kushangaaa kuona familia imekuwa ndo CCM mwenyekiti. Makamu na Katibu mkuu wengine wapo hapo kufuata upepo tu wakisubiri waambiwe nini wakalopoke ile wajaze matumbo. Anyway i predict mwisho wa Ridhone utakuwa mbaya sana labda akimbilie ugaibuni.
Sidhani kama atakuwa na mwisho mbaya ilihali babake anamlinda. Vinginevyo Slaa aingia madarakani mwaka huu.
 
wivu tuu..!!!

Kwa kweli ni wivu tu, inawezekana na mimi babangu angekuwa Raisi ningekuwa rais msaidizi au kwa kuwa ni mkuu wa shule basi hata mimi nina mamlaka ya kuwapangia walimu wa pale shuleni majukumu ya kazi. Huu unaweza kuwa ni mfumo mpya na bora zaidi wa uongozi. Baba akipata cheo na wa nyumbani kwake wote wanakuwa wamepata hicho cheo au vipi?
 
Ni viherehere vyao:A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:

Upo mama? Kwa kweli nakuunga mkono kwamba ni viherehere vyao!! Sasa sijui hapo una maanisha kwamba wenye viherehere ni hao wanaokwenda kuwasikiliza au ni hao wanafamilia?
 
kikwete amekuwa kabusi wa tanzania, na hako katoto kake ka ridhiwan kanafundishwa namna ya kuliibia taifa baadae
katakapochaguliwa na mabwege na majuha kuwa mwenyekiti na karaisi kupitia chama cha mafisadi (ccm)
 
JK ameamua kuhusisha fammilia kwenye kampeni baada ya ma tycoon na watu mbali mbali ambao baada ya kutoswa au kuona mambo ya hayaendi vizuri ndio kusema wao ndio wamemuweka madarakani , yani bila wao JK asingekua raisi wa Tanzania, sasa Mheshimiwa ndipo akamamua kutumia fammilia ili kusiwe tena na mtu kulipwa fadhila .JK kaamua kipindi hiki cha mwisho anataka awafunge mdomo wote walio sema hajafanya kitu , ana kaza buti zaidi na kuhakikisha heshima yake ina rudi na ku enziwa kwa vizazi vijavyo.Kutakua hakuna tena undugu ,urafiki na ile nawe ule hapo, ni kazi kwa Ari zaidi na kasi zaidi , hakuna kuangaliana machoni tena.Ila huyu Ruge wa nini ?
 
Just curious!!! Hivi nani ni mgombea urais kati ya hawa? Mbona wote wana majukumu sawa ya kuinua mikono ya wagombea ubunge na kuwatambulisha kwa wapiga kura?
Sijaona Makamu mwenyekiti wa chama (Msekwa) akitambulisha wagombea, au makamba akifanya hivyo. Ina maana Mama salma na Ridhiwani wana vyeo vikubwa kushinda makamu mwenyekiti wa chama na Katibu mkuu?
Umeshaambiwa urais ni suala la kifamilia hujaelewa nini.
 
Kweli huyu jamaa vizazi vijavyo vitamkumbuka kwa mazuri na mabaya aliyoyatenda!
 
Attachments

  • yes we can.jpg
    yes we can.jpg
    28.1 KB · Views: 65
Kwa taarifa yenu CCM ni kampuni binafsi waliomo ni shareholders and not members.JK family is the major shareholder to CCM so do not get surprised to see that all members of family are fully responsible.Wengine ni wateja wa ccm and not members.Period
 
Huo ni mkakati wa Kifamilia kuhakikisha kuwa fungu lote la kampeni linabaki kwenye familia yao. Hiyo ndiyo maana halisi ya falsafa ya Kikwete ya 'NGUVU ZAIDI', 'ARI ZAIDI' na 'KASI ZAIDI' ikiambatana na ile ya 'MAISHA BORA KWA KILA MWANAFAMILIA'.

CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao wanaoonekana kwenye majukwaa ya kampeni.
 
Kwa kweli ni wivu tu, inawezekana na mimi babangu angekuwa Raisi ningekuwa rais msaidizi au kwa kuwa ni mkuu wa shule basi hata mimi nina mamlaka ya kuwapangia walimu wa pale shuleni majukumu ya kazi. Huu unaweza kuwa ni mfumo mpya na bora zaidi wa uongozi. Baba akipata cheo na wa nyumbani kwake wote wanakuwa wamepata hicho cheo au vipi?

Ni bahati mbaya sana wengi tumekuwa vipofu kutokana na njaa zetu, anachokifanya Mkulu ni jambo la ajabu sana, kijana anasomewa risala na wakuu wa wilaya, mama ndo usiseme anapokewa na Ma DC na RCs halafu bado watu hawaoni wanasema huo ni wivu. Come on let's be serious!
 
Nasikia mke wa Jan Poulsen kaonekana akisimamia mazoezi ya Taifa Stars, tehe tehe!
 
Back
Top Bottom