Kikwete anazeeka haraka, kulikoni?

Status
Not open for further replies.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
262195_10151249666064339_1938989689_n.jpg
 
Matatizo ni mengi beyond his expectations. Mara kwenda kumkomboa Rizmoko Uchina alikonasa, mara pembe za ndovu za Tanzania zimekamatwa wapi sijui zikiwa chini ya kampuni ya Kinana, mara Lowasa anasema elimu kwanza na inaweza kutolewa bure hadi sekondari na sio kilimo kwanza, ili mradi full mawazo ya nchi na familia.
 
Kwani ana umri gani mpaka aonekane anazeeka ghafla......m I missing something hapa???


Mtu anatakiwa kuzeekaje kwa mfano..........as in pace or rate?????
 
anajiuliza, nchi ampe Lowassa au Slaa? Je atawadhibiti vipi? Je yupi hatari kwake kati ya wawili hao?
 
mwacheni akae jamani.mara kaenda china usiku mara karudi huku kina el wanakiua chama mara huku arumeru kimenuka kidogo kapigwa marufujku kuingia arusha kidogo mnaandamana mara migomo kidogo ulimboka mara mkneya naye yani ni vurugu.
 
We unazani safari za mara kwa mara kwenda nje ya nchi zitaacha kumzeesha??
Tena ukizingatia watu wanapiga mpaka wanagusa G-spot.
Hata kama ni nani lazima azeeke tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom