KIKWETE ANAWALIPA WFADHILI WAKE RA na EL KWA INSTALMENT? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIKWETE ANAWALIPA WFADHILI WAKE RA na EL KWA INSTALMENT?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makongorosi, Jan 28, 2011.

 1. m

  makongorosi Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamvi kwa mtazamo wangu kikwete anawalipa deni lao waliomuweka madaraani yaani EL na rafiki yake RA. Kwa wafadhili hawa EL na RA wanataka malipo yao sasa Kikwete anawalipa kwa Instalments, instalment ya kwanza ndiyo hiyo DOWANS na instalment ya pili inakuja ile kampuni ya railway (RITES). Maana Rites kwana wako kimya wanapima maji kuona vipi ikipita dowans tusubirie instalments nyingine nyingi tu zinakuja.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  Kaka mitazamo yako mizuri sana, keep it up!!!

  Jitahidi sana uishi kwa evidence, what if mtazamo wangu nikafikiri wewe ni fulani?
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,602
  Likes Received: 4,716
  Trophy Points: 280
  Imekaa vizuri.
   
 4. 2

  250689 Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuna ukweli ndani yake na ndiomana hata halizungumzii swala hili..otherwise aangesha ongea si mnajua anavyopenda sifa.
   
Loading...