Kikwete Anatanua Ivory Coast! Watanzania Wanateseka - Utawala au Upofu?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Hivi ni kiongozi wa familia gani? Sasa hivi yupo ziarani Ivory Coast na kuonana na madikteta wenzake? Ametatua mgogoro Ivory Coast? au Bado anatembelea historic sites Abidjan? Akirudi tumwone akielekea Addis Abba, Ethiopia na UN next huku waliokufa Gongo la Mboto wanajizika na wengi bado maamivu kila mahali. Mali, nyumba, shida ya umeme na maisha ya wananchi yana tekereka. Where do make these kinds of leaders? Maybe Tanzania million 43 tumwonyeshe mlango ili next time atumie ndege yake na kuuza raslimali zake mwenyewe.

Smile.jpg

Kikwete Akimkumbatia Raisi wa Kujipandikiza Ivory Coast, Gbagbo

GO9G64061.jpg

Kikwete na Mbeki wakitemebelea Ivory Coast wakati wakijua hawana solution

pix1.jpg

Maisha ya Ivory Coast Kikwete akitembelea

Death-Libya_599930.jpg

Walibya wanakufa Kikwete na AU wanakaa Ivory Coast kujadili uongo

Is What Tanzanians Want? or Expect
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom