Nakumbuka kabla Brown hajawa Prime Minister na Kiongozi wa Labour Party..Labour were almost going to a defeat. Waingereza walishapoteza muelekeo na Opinion polls almost zote zilikuwa zinaonyesha kuna zaidi ya 10% gap kati yao na Conservative. Blair akashauriwa ang'atuke ilikurekebisha mambo..mwanzo alikuwa mgumu kiasi. Lakini baada ya kufuata na wazee wa Chama ilibidi afuate matakwa.
Mwishoni mwa wiki nimesikiliza Skynews nimeona kama Labour imerecover na imeweza kuwa zaidi ya 10% kwenye opinion poll dhidi ya Conservative.
Kama Tz kungekuwa na hizi free Opinion polls tungegundua kama CCM is in all time low dhidi ya wapinzani. Sababu kubwa ikiwemo hizi habari za Mikataba na hizi tuhuma za ufisadi.
Kama ningekuwa Kikwete au mshauri wake ningefanya yafuatayo..
- Fanya reshufle ya Mawaziri kwa kuwaondoa kabisa wanotajwa vibaya..of course akiwemo Mr Kara
- BOT , gavana angeondolewa..hata hapa ingetumika hoja kama amekaa madarakani muda mrefu ofkozi na uchunguzi waseem kama unaendelea.
Ila hizi tabia za kulazimisha kujibu jibu sidhani kama zitasaidia Chama kinazidi kumomonyoka na wananchi wanazidi kukosa imani na viongozi wao akiwemo Mheshimiwa Raisi ambaye walimpa matumaini makububwa mno..ushindi wa salimia 80 unadhihirisha imani waliyokuwa nayo wananchi.
kingwele wa Kingwele.