Kikwete anastahili kuwekwa kwenye records za gennius book ya dunia

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Jamani napendekeza JK aandikwe kwenye kile kitabu cha watu walofanya/au kutenda mambo maalum kwa kuwa Kiongozi wa Kwanza Duniani kutojua chanzo cha umaskini wa nchi anayoingoza ilhali yeye ni mchumi, mwanasiasa na mwanajeshi. kisha akawatangazia raia wake atawapa maisha Bora!!

TUMPIGIENI KAMPENI AANGALAU APATE HIYO HESHIMA JAMANI!!
 
Ni rais pekee ambaye anatenda kazi kwa kulindwa na nguvu isiyoonekana(labda ni holy spiriti), nirais epekee ambaye alitabiriwa na mnajimu mkuu kuwa atafanikiwa lakini ikawa kinyume, ni raisi pekee mwenye watoto wengi dunian kote, ni rais pekee ambaye uongozi wake unabezwa na mwanaye ambaye ni kada katika chama anachokiongoza.

Please, ni evil spirit and not holy!
 
Ni rais pekee asiyewajua anaotaka kuwalipa pesa nying km bl 94. Pia ni rais anayeongoza kwa safari za nje hasa kwenda marekani hadi walishamchoka.

Ni raisi aliyeshinda kwa asilimia 80 2005 na baada ya miaka 5 akapata asilimia 27 then akachakachua matokeo. Ni rais fisadi. Me ntampigia kura aingizwe guiness
 
Pia ni Rais pekee Duniani asiye fahamu idadi ya watumishi wa umma katika nchi yake [kumbuka siku anatoa tamko la serikali kuhusu madai ya watumishi wa umma; alisema wako 340,000]
 
ni rais pekee aliyewahi kuomba digrii kwa wasomi ili eti na yeye aitwa dr kama dr slaa akizani kwamba atamfunika. nasikia kaenda loliondo kwa yule mchungaji mstaafu,ni kweli wadau? anaweza kwenda kubadili dini yule mana haaeleweki.
 
Ni Raisi pekee Duniani asiyejua matumizi ya Dola Aliyokabidhiwa na Raia Wake!
 
Mnasahau jamani??? Ni rais pekee asiyejuwa mmiliki wa kampuni inayodai serikali yake mabilioni.
 
Ni rais pekee ambaye anatenda kazi kwa kulindwa na nguvu isiyoonekana(labda ni holy spiriti), nirais epekee ambaye alitabiriwa na mnajimu mkuu kuwa atafanikiwa lakini ikawa kinyume, ni raisi pekee mwenye watoto wengi dunian kote, ni rais pekee ambaye uongozi wake unabezwa na mwanaye ambaye ni kada katika chama anachokiongoza.
Hapo kwenye kuwa ni rais mwenye watoto wengi duniani, sio kweli wakuu!!
 
kazi Tanzania ipo duh! Kwa viongoz hivyo, sisi Raia je?! Ni rais pekee toka afrika mashariki mwenye safari zisizo na tija kwa taifa lake, rais mpenda sifa na mwenye vistory vingi ktk hotuba zake.
 
Jamani hizo kashfa mnazotoa kwa rais wetu ni ukosefu wa adabu.Yeye ni kiongozi wetu mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo ni lazima tumheshimu hata kama ana mapungufu yake.

Yeye ni binadamu na si malaika.Amewazidi umri karibu member wote wa JF hivyo apewe heshima yake kama mkubwa wetu.

Au mnataka kusema kuwa wazazi wenu wakifanya mambo ya ajabu huwa mnawadhalilisha kiasi hiki? Sio fair jamani,tuwe na staha kwa viongozi wetu kwani ndo wanaotoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi nyingine.
 
Mwisho kabisa ni rais pekee mwenye kulipiza kisasi hata kwa kosa dogo la zamani kama uliwahi kusoma nae ukampita kwenye mtihani au kufanya nae kazi mkajibishana ndivyo sivyo basi yeye atakutafuta na kukushughulikia kipindi yy ni president.
 
Hii kama ina ukweli vile.....
 
ni rais pekee anayependa kubembea alifunga safari mpk ughaibini na bi mkubwa wakabembea akawatumia picha wananchi wake wakati wananchi wakikabiliwa na changamoto nyingi zinazomtegemea yeye azitatue
 
ni rais pekee anayeongea pumba wakat akihutubia. ni rais pekee anayechagua mawazir ovyo kama SS. ni rais pekee anayependa ngono na kumfuata daily dada rose kule marekan
 
Back
Top Bottom