Kikwete anasikitika kujiuzulu kwa Rostam au geresha tu?

Yaani hata sijaelewa hapa hata sijui uhusiano kati ya gamba la RA na madaraka ya JK...... tafadhali naomba unijuze zaidi
Mbona unakuwa kama haupo nchi hii? Fedha za EPA alizochota RA si ndio zilizomwingiza JK ikulu 2005 wandugu? Acheni hizo!
 
Bollo yang kajivue Gamba na chama chenu kife tehetehe ujumbe wa kweli huwa unauma sana
 
sasa mlitaka asisikitike wakati wao ni mapacha watatu so mmoja ndio huyo anaaga, na ndio mwanzo wa mazishi wa hiki chama cha majambazi!!!!!!!


IF U WANT TO DO REVENGE TO SOMEONE U SHOULD DIG TWO GRAVES!
 
CCM is endowed with a huge number of renowned and experienced politicians. Rostam was merely a drop in a bucket, and Kikwete will never mourn his abdication. CCM is a well-established institution as opposed to CHADEMA which looks like an NGO.

This is a cock and bull story!
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
Kwani kikwete alipenda ROSTAM AZIZ angatuke ni shinikizo la CHADEMA....
 
Eti pigo kwa taifa!!!!!!!!!!!!!!! Kivipi?
i did not expect pamoja na maelezo mengi ya epa, richmond, deep green, meremeta et al. Kuna watu wenye mawazo kama yako. Hadi leo hujagundua tu kuwa huo ufadhili wake kwa chama ni kutokana na wizi wa waziwazi kwa watanzania!! Pesa zimechotwa bot zikaenda ccm halafu unaona ni support yake?? We have a very long way to freedom!!
 
I have every thing to be Tanzanian, so can you find the way bro, coz Immigration know my ident...
 
Unless mtoa hoja ana 'credible evidence' na anachokisema vingenevyo ningeshauri hii thread ifutwe. Imekaa kizushi zaidi. sorry.
 
naomba kufahamu kuna uhusiano gani kati ya kustaafu kwa ndugu Rostam Azizi na Mheshimiwa Rais kuachia madaraka? mimi naona Mheshimiwa Rais aendelee kuwepo madaraka hadi kipindi chake kitakapokwisha

Hii iko hivi, moja wapo ya tuhuma za Rostam ni wizi wa fedha za EPA kupitia kampuni yake ya Kagoda, na fedha hizi ndiyo ziligharamia kampeni za JK zilizomwingiza ikulu, sasa kama RA ni mwizi na fedha hizo alikwiba ili kumuingiza JK ikulu basi hata urais wa JK ni BATILI hivyo na yeye aachie ngazi vinginevyo Rostam anaonewa, JK fuata nyayo tu usione aibu nyie wote wahalifu.
 
Ukweli wa uhusiano wa RA kuachia ngazi na Mh JK uko wazi....kila mwenye masikio na macho anapaswa kujua unless tunataka tu hoja indelee for reasons know to wachangiaji
 
naomba kufahamu kuna uhusiano gani kati ya kustaafu kwa ndugu Rostam Azizi na Mheshimiwa Rais kuachia madaraka? mimi naona Mheshimiwa Rais aendelee kuwepo madaraka hadi kipindi chake kitakapokwisha
Kwa sababu?...
 
Back
Top Bottom