Kikwete anasikitika kujiuzulu kwa Rostam au geresha tu?

Nani atagharamia Helikopta za Uchaguzi wa CCM tena? Nani atalipia Uchaguzi Mkuu wa CCM? Nape na Maneno? Hapana Wananchi wa CCM walipendeza na Mashati, Khanga, Vilemba, Hongo kwa Uchaguzi; Haiwezi kuwa kama wakati wa Nyerere, unajua ilikuwa ni Chama kimoja

Nape Mmejiumiza kumfukuza Fisadi Mkuu Rostam...
 
na bado anatakiwa awapoteze wote ambao ni mafisadi na wasio waadilifu, sio kuwashikilia kwa kofia ya urafiki.
 
Anafurah kimoyomoyo,ila anasikitika coz anayei'finance' chama kaachia ngazi,anasikitika kwa sababu tajari wao amejiweka kando
 
Mkuu na wewe tabia za kikasuku umenza lini? mimi magazeti yote makini huwa naanza kuyasoma online usiku kabla hayajaletwa mtaani, ndio maana hii habari naona kama ni ya kusadikika.
Mimi ni kasuku kweli kama ulikuwa hujui, mnaanzaga hivi hivi mkiletewa source hamuonekani
kwani magazeti yote yako online halafu ni mangapi yanakuwa updated on time
hebu nipe link ya MwanaHalisi ya juzi trh 13 yenye habari ya Nape amgeukia Kikwete kama utaipata.
 
Kikwete kama mtu 'binafsi' anaweza akawa amesikitishwa na kujiuluzu kwa rafiki yake Rostam Azizi. Lakini Kiketwe kama Rais wa nchi (naomba nisisitize, Kikwete kama Rais wa nchi) hayuko sahihi hata kidogo kusema amesikitishwa na kujiuluzu kwa Mh. Rostam Azizi Mbunge wa Igunga. Mh. Rostam anajiuzulu baada ya wananchi na hasa wanaccm wenyewe kusema yeye (Rostam) na wengine wame-fail test ya good governance. Binafsi nilitegema Rais aseme Mh. Rostam Azizi has done the right thing by stepping down.

Private thoughts zake yeye Rais si muhimu hapa, na vizuri walio karibu wasizitoe kwenye nje ya magogoni. Kinachotakiwa ni utawala bora. basi. Na watu wameshasema hawaridhishwi ni matendo/watu fulani fulani.
 
Mimi ni kasuku kweli kama ulikuwa hujui, mnaanzaga hivi hivi mkiletewa source hamuonekani
kwani magazeti yote yako online halafu ni mangapi yanakuwa updated on time
hebu nipe link ya MwanaHalisi ya juzi trh 13 yenye habari ya Nape amgeukia Kikwete kama utaipata.
Kwanini utumie nguvu nyingi mpaka povu likutoke? si useme source ni media fulani hata kama hakuna softcopy kuna uwezekano wa hardcopy kuigeuza kuwa softcopy?
mimi nauliza source ya habari hii na wewe unaniuliza habari ya link ya Nape! is this best level of ur understanding?
 
Nani atagharamia Helikopta za Uchaguzi wa CCM tena? Nani atalipia Uchaguzi Mkuu wa CCM? Nape na Maneno? Hapana Wananchi wa CCM walipendeza na Mashati, Khanga, Vilemba, Hongo kwa Uchaguzi; Haiwezi kuwa kama wakati wa Nyerere, unajua ilikuwa ni Chama kimoja

Nape Mmejiumiza kumfukuza Fisadi Mkuu Rostam...
Nape yuko kimya alifikiri utani ameshindwa hata kushangilia ushindi anajua kitamtokea puani
najua atakuwa amewekwa kiti moto kwa nini amemfukuza mfadhili mkuu ajiandae kufadhili uchaguzi wa Igunga.
 
Kwanini utumie nguvu nyingi mpaka povu likutoke? si useme source ni media fulani hata kama hakuna softcopy kuna uwezekano wa hardcopy kuigeuza kuwa softcopy?
mimi nauliza source ya habari hii na wewe unaniuliza habari ya link ya Nape! is this best level of ur understanding?
Who cares anyway!
 
Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere alipowahi kuwaasa wanasiaasa kutopenda kujihusisha na wafanyabiashara kuna watu walikuwa wametia pamba masikioni wakiandaa mitandao yao sasa ona JK anavyohangaika na kutapatapa.

Mfanyabiashara na mfadhili Rostam kajiuzulu, wafuasi wake nao wanasema JK ang'oke sasa sijui atafanya nini? kwa maana minyukano ya kimakundi inazidi kushamiri ndani ya CCM? na tayari fununu zimeanza kuwa huenda JK akatema madaraka kabla ya 2015.
 
kwani alifanya nini huyo rostam?
Naona kama kuachia ngazi hakumpunguzii chochote.kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
Rostam achana na siasa uchwara tafuta mahela.after all WHAT IS BETTER THAN MONEY?
 
Unajua hii ya Rostam ni mojawapo consequence ya kauli ya Lowassa aliyotoa bungeni kuhusu maamuzi magumu! Naamini kuna wengine wataibika na kujiuzulu!
Kwani Rostam kafukuzwa ama kajiuzulu, acha kuchanganya mambo bado serikali yetu haina maamuzi magumu
 
I did not expect pamoja na maelezo mengi ya EPA, RICHMOND, DEEP GREEN, MEREMETA et al. Kuna watu wenye mawazo kama yako. Hadi leo hujagundua tu kuwa huo ufadhili wake kwa chama ni kutokana na wizi wa waziwazi kwa watanzania!! Pesa zimechotwa BOT zikaenda ccm halafu unaona ni support yake?? We have a very long way to freedom!!

Unajua Kikwete ni kama mzazi, ambaye peke yake ndiye mwenye uchungu wa mwana. Duniani hakuna mzazi anayechekelea kifo cha mtoto wake, isitoshe Rostam amekuwa msaada mkubwa sana kwa chama. Bila shaka kujiuzulu kwake kutaleta pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
 
Anazuga tu! Hizo ndio SIASA chafuchafu....! Wanavua GAMBA ila watabakia kuwa NYOKA, CCM buree kabisa! we need change not kujivua gamba peke yake.
 
Unajua Kikwete ni kama mzazi, ambaye peke yake ndiye mwenye uchungu wa mwana. Duniani hakuna mzazi anayechekelea kifo cha mtoto wake, isitoshe Rostam amekuwa msaada mkubwa sana kwa chama. Bila shaka kujiuzulu kwake kutaleta pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Mwita najua hapo kwenye red unatania, lakini kama unamaanisha wewe sio mtanzania, na humjui RA
 
naomba kufahamu kuna uhusiano gani kati ya kustaafu kwa ndugu Rostam Azizi na Mheshimiwa Rais kuachia madaraka? mimi naona Mheshimiwa Rais aendelee kuwepo madaraka hadi kipindi chake kitakapokwisha
 
CCM is endowed with a huge number of renowned and experienced politicians. Rostam was merely a drop in a bucket, and Kikwete will never mourn his abdication. CCM is a well-established institution as opposed to CHADEMA which looks like an NGO.
Haya ni matusi,chadema itaendelea kuwa juu,ccm inapiga kelele tu
 
Back
Top Bottom