Kikwete Anapokwenda Marekani Huwa Anapokelewa na Kiongozi Gani wa Serikali ya USA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Anapokwenda Marekani Huwa Anapokelewa na Kiongozi Gani wa Serikali ya USA?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kingcobra, Oct 3, 2012.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wakuu,
  Nataka kujua hivi kwa tripu zote alizokwenda Marekani RAIS KIKWETE huwa anapokelewa na kiongozi au viongozi gani wa serikali? Ni rais Obama na viongozi wengine wa serikali au hakuna hata kiongozi wa serikali ambaye huwa anampokea uwanja wa ndege?
   
Loading...