Kikwete anamwambia nini Rais Magufuli hapa

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,814
IMGS1144.JPG


Hapa unahisi Mh. JK alikuwa anamwambia nini Mh JPM. Sema chochote
 
Sipendi ujinga mimi,mimi sio mtu wa mchezo mchezo,Mungu anakuona jokes
 
Huku mtaani wanasema wewe ni nguvu ya Soda mimi huwa nawatania nguvu ya soda ikiisha utaweka Konyagi watu wanasema kama akiweka na Konyagi lazima tutazaa bila mimba
 
Back
Top Bottom