Kikwete anafanya kampeni au yuko kwenye ziara ya kikazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete anafanya kampeni au yuko kwenye ziara ya kikazi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwigulu Jisandu, Sep 10, 2010.

 1. M

  Mwigulu Jisandu Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kiasi fulani nimefuatilia ziara zinazoitwa za kampeni za Kikwete. Kinachonishangaza ni jinsi anavyotumia mamlaka yake kushawishi watanzania wampigie kura.
  Akiwa Bukoba aliagiza ununuzi wa meli.
  Kilosa ujenzi wa nyumba za waathirika wa mafuriko ambao alishawahi kwenda kuwaona lakini alisubiri wakati huu wa kampeni.
  Kaenda Mtibwa katatua kero zao ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi meneja.
  Na mengine mengi. Ni wazi kuwa wagombea wengine wa urais hawana mamlaka ya kufukuza mfanyakazi kwa kuwa hawako kwenye system. Kweli kwa staili hii kuna haja ya kufanya kampeni?
  Hawa wengine wataonekana vipi wakati hawajafanya chochote?
  Naomba wana JF mnisaidie inawezekana silielewi vizuri neno hili kampeni.
  Nawasilisha hoja.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Huyu kachanganyikiwa haelewi hat a anachoongea
   
 3. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Lile pingamizi la Chadema kilikuwa kinagusia suala hili na lilitupwa nje na Tendwa sasa unafikiri uchaguzi huu ni wa haki na sawa? Ila tunedelee kulijadali suala hili mpaka wananchi waelewe kuwa rais huyu ni mchemshaji na kuwa hastahili kura zao...
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hakuna rais hapo..ni ze comedy tupu
   
Loading...