Elections 2010 Kikwete anachanganya wapiga kura

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
Kwa nini kikwete anapingana na matamshi yake?

Hii imekaaje Wana JF?




KAULI YAKE KWA WANA CCM "SUALA LA URAIS NI SWALA LA KIFAMILIA"
KAULI YAKE KWA WATANZANIA " MSICHAGUE MTU MCHAGUE CHAMA"
 
Kwa nini kikwete anapingana na matamshi yake?

Hii imekaaje Wana JF?




KAULI YAKE KWA WANA CCM "SUALA LA URAIS NI SWALA LA KIFAMILIA"
KAULI YAKE KWA WATANZANIA " MSICHAGUE MTU MCHAGUE CHAMA"

Inawezekana kweli kuwa na chama bila kuwa na (mtu) watu? Ni mara yangu ya kwanza kusikia hivyo!
 
Kampeni zishamchanganya JK... hehehehh!!!! Maji shingoni....Haiingii akilini mtu achague chama hata kama anayekiwakilisha ni Kiongozi asiyechagulika!!!! Kauli yake haina mashiko kabisa
 
Kikwete ameshiwa na maneno ya kuongea, I am sure sasa anatamani kampeni ziishe arudi ndani kupanga mbinu chafu!!!
 
jamani tumpe Dr slaa kura zetu jamani tusiwe wajinga wakufata mkumbo we CCM imekufanyia nini wanao suport CCM ni wale wanaokula kupitia ccm sisi maskini huku tunaendelea kusema CCM OYEE.
 
Back
Top Bottom