Kikwete ana rekodi gani Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ana rekodi gani Tanzania?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ibrah, Oct 14, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145

  Kampeni zinapoendelea Watawala wanadai eti Ikulu si mahali pa kufanyia majaribio ya Kiuongozi ingawa historia haiko upande wao kwani wametokea Marais wengi ambao hawakuwahi kuwa hata Mawaziri lakini walipopata Urais waliacha mambo ya kukumbukwa ambayo kwayo wanaenziwa; mfano mzuri ni Mandela, Sir Churchil nk. LAkini pia wapo Marais walipata nafasi za Uwaziri na hawakuacha legacy yoyote.

  Wapambe watupe rekodi za Kikwete tangu akiwa Naibu Waziri na Waziri kamili enzi ya Mzee Mwinyi hadi kuwa Rais wa JMT sasa. Amtufanyia lipi na ameweka legacy gani hadi mtuambie Wapinzania wanataka kuifanya Ikulu sehemu ya majaribio.

  Alipokuwa Waziri wa Nishati na Madini VIP Engineering na Kampuni moja ya Malaysia waliwekeza kwenye Mradi wa kuzalisha Umeme wa Kundushi ambao hadi leo ni kitendawili. Je, ameacha legacy gani kwenye Wizara ya Madini na Nishati?

  Aliwahi pia kuwa Waziri wa Fedha, Kikwete aliacha legacy gani?
   
 2. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK ni handsome, labda kwa hilo. Pia mazoea ni tabu!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ameacha rekodi ya kuanguka anguka na kudanganywa kila kukicha na kupenda kwenda kwenda ulaya kila kukicha...rekodi iliyompa medali ya dhahabu ni ya kuwa ningwa wa kucheza VIDUKU kama alivodhihirisha songea juzi
   
 4. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kikwete amechoka. Naisikitikia Tanzania. Namsikitikia yeye kwa kuwa ameweka rekodi ya kuwa miongoni mwa Watanzania wachache kuwa ma-Rais lakini hana karama ya uongozi wa ngazi ya Rais. Hili linasononesha. Haikuwa kawaida kwa Rais anayegombea kwa mara ya pili kupata resistance kubwa hivi. Amelazimika kutumia pesa nyingi sana (hata kama kachangiwa - of course na Wafanyabiashara) kujaribu kurudi "Kuongoza." Pole Mwalimu Nyerere. Pole Baba yetu. Umetuacha wanao tunachukiana kwa misingi ya dini na vyama. Umasikini umetuzidia. Tunaumia. Pole mwalimu.
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hebu piga picha mkapa acheze kiduku!
   
 6. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The number of universities has increased from 3 to 19!
  There's at least 1 or many secondary schools in every county.
  90% of Tanzanians have a good and reliable access to electricity, clean water, cell phone and internet.
  Increased Housing ownership and Car ownership among Tanzanians.
  Takukuro has been created to combat grand corruption.
  The economy has been growing steadily at a significant rate since JK took office.
  Growing influx of the foreign investment in key sectors like mining and tourism.
  Improved infrastucture network.
  Increased diversity in the government i.e inclusive government in terms of racial diversity:A S thumbs_up:
  JK has done a lot of good than any prez. in the history of this great nation.
  Go JK
  Vote CCM:A S thumbs_up:
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Hivi waziri Mhindi kwenye serikali ya Kikwete ni yupi? najua Nyerere alikuwa na akina Amil Jamal, Al Noor Kassum, pamoja na wazungu wengine akina Derek Bryceson na Julie Manning. Kikwete vipi? au yeye anawapa ulaji tu kimya kimya. Alishasema ukitka kula lazima na wewe uliwe!!!
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kutoa ahadi kwenye kampeni kwa basis ya ndoto alizo ota usiku wakati amelala. Pia kupewa ulinzi wa 'maruhani'.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Rekodi ya kumwaga damu za walalahoi kabla ya uchaguzi mkuu.
   
 10. c

  cr9 Senior Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  are sure of the number of universities before JK took office? i'm sure there were more than 3 universities and colleges :nono:
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Upo TANZANIA wewe?? au upo UK unasimuliwa kila kitu! wewe ni airport-masaki-UK, unajua hata kuwa kuna MOROGORO!? Iringa, Arusha, Tabata. unajua kuna sehemu hapa dar hawapati maji safi, siyo kosa lako wewe! ukija tanzania jalibu kuzunguka nchi nzimz kama hujaacha upuuzi wako huo!
   
 12. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nakuunga mkono hoja yako mia kwa mia. Ni kwamba kwa sisi wasomi mpaka sasa hatujui mafanikio na hasa hasa MISIMAMO NA ITIKADI za Kikwete binafsi (mama Msomi na kiongozi). Sijawahi kusoma hata Makala au Kitabu chake chochote alichoandika ili nimuelewe vizuri fikra na misimamo yake. Mi namuona kama 'lukewarm guy' kiuongozi na msimamo na ambaye amefika juu kwa kubebwa bebwa na ki-bahati. Yeye si kama watu wanaopambana kutetea na kushawishi watu kwa hoja zao kama alivyo Lipumba, Seif Shariff na Slaa...Mi naona hata Mkapa alikuwa na hoja nzito kuliko Kikwete ambaye naona ana sheka sheka tu...!Na hii ndio maana Kikwete anaondoka bila legacy yoyote.
   
Loading...