Kikwete amwapisha Gen. Ndomba; Awapandisha wengine karibu 40!

"Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza"
Kuna afisa usalama aliwahi kuniambia kuwa,Kuongoza JKT kunahitaji mtu mwadilifu sana, kwani JKT ina vikosi vingi hata kuliko JWTZ, kwahiyo JKT ikihasi inaweza leta matatizo mingi.

Kutokana na uteuzi huu kuna mjeshi ameniambia hata wao wameshtushwa na uteuzi huu,kwani hao jamaa wa juu mf;ma major General wanatakiwa kuwa makao makuu, hivyo serikali inaingia gharama za bure hawafanyi kazi yoyote.Na alisema inaelekea kama vile mh. amewatunuku wale wa kizazi chake ili wamalizie ustahafu wao vizuri.

Kwa mujibu wa mjeshi huyo makao makuu ikibaki na hao ma major gen wanne, wanatosha wengine wabaki huku chini wafanye kazi.

Tatizo hakuna Tundu lissu wa jeshi.Hizi teuzi zimekaa kirafiki zaidi.

You are very much ..right...JK amesabanisha tuwe na major generals wengi kwenye service kuliiko mahitaji.....niwape mfano mmoja ..Idara ya utuumishi Jeshini ambayo miaka yote CP(chief of personnel ) amekuwa na cheo cha brigadier general .....na hata ndomba alikuwa pale alipopewa umeja general Akaenda JKT.......eti sasa CP ni major General mwakipunda Grace na msaidizi wake director of personnel ni meja general Lilian Kijazi .....miaka yote msaidizi wa CP amekuwa na cheo cha kanali........sasa kuwaweka maj generals wawili kwenye dircorate moja ni akili kweli? Au tu ni kuonekana umteeuuuwa wanawake??
 
kuteuliwa kuwa generali si dhambi hiyo moja mbili ni juzijuzi tu vyombo hivihivi vya habari vilitoa habari ya kuagwa kwa majenerali hapo hakukuwa na mashaka sasa je tulitaka mapengo yaliyoachwa yasizibwe je sisi tunaujua mfumo wa jeshi letu au tunataka kuliingiza jeshi katika siasa kwa kuwakumbusha sikilizeni wimbo wa kitambo kidogo unaitwa NIDHAMU YA KAZI NI MSINGI WA MAFANIKIO MEMA KAZINI............... Tafakari chukua hatua
 
Sasa sijui kama kule kwetu Namanyere tumeambulia nini maana naona majina ya Pwani pwani, Tarime, Mbeya na Kagera kwingine sijaona.Samahani kwa kuwa mtu wa kikanda ingawa najua haitakiwi

Nadhani pinda yupo juu kuliko wote hao na atosha.Ile lami bila pinda ungeisikia kwenye redio.jeshini hakuna ukanda wala ukabila
 
Just for curiosity!

Hivi huyo retired Luten General Abdulhaman Shimbo amesharudi MATRILIONI yetu aliyoiba na kuyaficha RSA?

Au Watanzania kama kawaida yetu tumeshasahau?
 
Nadhani pinda yupo juu kuliko wote hao na atosha.Ile lami bila pinda ungeisikia kwenye redio.jeshini hakuna ukanda wala ukabila

Ni kweli tunae mwana Rukwa Ruka mzee Pinda, kama unavosema ni kweli lami ile tungeiskia kwenye bomba. Si mbaya ngoja tukomae nae huyo huyo mpaka kitaeleweka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom