Kikwete amsikia Shyrose Banji kuhusu ushindi wa Londa

Loo! mkuu unataka kuongeza?

Duh! Hapana aisee. Dah!! hapa naona kijasho kimenitoka kabisa mzee wangu, lah!!.

Ni kweli maswali mengine huzaa hisia na maswali ya ajabu zaidi; nitajitahidi kuwa makini siku zijazo.

Unajua niliwahi kusoma siku za nyuma kuwa alikuwa mbioni kuolewa na kijana mmoja mwanamuziki wa Bongoflava ikafikia hata Spika Sitta naye akawa amempigia debe. Kwa hiyo niliuliza swali hilo kujua developments za kuanzia wakati huo.
 
Back
Top Bottom