Elections 2015 Kikwete ampongeza rais mteule John Pombe Joseph Magufuli Ikulu Dar es Salaam

Hakika kilichofanyika Zanzibar na Tanganyika ni "Mapinduzi" ya Maamuzi sahihi ya Wananchi..Naam,Maamuzi mujarab ya Watanzania yamepinduliwa tena kwa kile kinachotafsiriwa kuwa ni demokrasia ilihali ni ubakwaji mkubwa wa HAKI kwa kupiga mikwara vyombo vya habari,kuvamia Kituo cha Haki za Binadamu,Kuwapora Wapinzani vifaa vya kukusanya takwimu na kukataa Maamuzi sahihi ya Wananchi katika sanduku la kura!!!Dhambi hii haitoishia hapa,tumepanda mbegu hatari ya kutufarakanisha,yumkini isiwe leo..Ila siku itakapofika ukimya huu wa Walioporwa haki utageuka kuwa uchungu mkubwa sana ambao haujawahi kutokea!!!..Najaribu kutafakari kwa sauti!!!
 
MUNGU WA MUSA HASINZII WALA HADHIHAKIWI!!!....BAADA YA MUNGU WA MUSA ATAFUATA MUNGU WA ELIYA AMBAYE DHIHAKA YA KUMWITA BALD HEADED ILILETA DUBU TOKA PORINI!!!...ACHILIA MBALI MOTO TOKA MBINGUNI!!....HAKI KUPIGANIWA NA MUNGU NA HUYU MUNGU WA HAKI HUWA HASUBIRI MAOMBI KUTEKELEZA HUKUMU ZAKE!!!....KUFUNGA NA KUOMBA SIO KUMLETA MUNGU KUFANYA HAKI MAANA HATEGEMEI WITO BALI YEYE HUWA HAKI NA NDIYE UTEKELEZAJI WA HAKI KWA MUDA NA WAKATI AONAO YEYE UNAFAA....ILA PANAPOKUWAPO KINA YEREMIAH MIONGONI MWA WALIOONEWA....JIBU LA MUNGU HUWA BAYANA BILA MUDA KUPITA!!!.....mimi nasema tu, tunapokuwa tunaimalizia siku ya kwanza ya tamko la kuzuia ISRAEL isiondoke UTUMWANI, ISHARA YA KWANZA ILIKUWA SIMPLE DISLAY OF GODLY MUSCLES AND WILL TO LIBERATE!!!......stay Tuned!!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom