Elections 2015 Kikwete ampongeza rais mteule John Pombe Joseph Magufuli Ikulu Dar es Salaam

DSC01863.jpg
 
acha ushabiki, cha msingi atekeleze ahadi zake na afanye kazi kubwa kweli kweli kuwaletea maendeleo watanzania, hiyo ndiyo njia pekee ya kuwamaliza wapinzani.
 
No...No....asilan abadan usimfananishe binadamu na mnyama.Allah amemuumba binadamu na akamsifia sana.Hisia na hasira zako kuhusu uchaguzi ni sawa na za wengi tu...fanya subira na mlaani shetani.omba msamaha na fanya toba

angalia usijekutafutwa..maana hao wote unaowatukana hapo wanayo mamlaka ya kukufukua popote ulipo.
Kwa aliyosema hajamtukana mtu au kiswahili si lugha mama kwako?

Ukisema Kikwete ni simba. Je hili ni tusi?

Kama umeelewa hapa, umeelewa alichosema mdau.

Hapo anafananisha sifa.
 
Kikwete namfananisha na Mbwa Koko wa Tanzania! Huku NEC nikiifananisha na mbwa mwitu wa Tanzania. Hali kadharika Mkapa namfananisha na Mbweha wa Tanzania.

Usiwe na hssira brother haki ya mtu haipotei, kama ni haki yake lowassa, basi inacheleweshwa tu lakini kama ni haki yake magufuli usitukane watu ni mwiko.
 
Kingunge umejizalilisha mzee

Kwani Kusema UKWELI Na Kuonyesha MTAZAMO Wake Ni Kosa!! Sasa Ni Nani Aliyejidharirisha Kati Ya Mzee KINGUNGE Na RAIS Wako!! Kwa Kupora USHINDI Wa Mtu Ambaye Ameshinda Kwa Kufuta MATOKEO!!!?? Ni AJABU Eti Mkuu Wa Shule Ameamuru MATOKEO Ya MTIHANI Uliyokwisha Fanyika, Umesahihishwa Na MATOKEO Yamebandikwa Ktk. Notice Board Ya Shule!!! Lkn Mkuu Wa Shule Baada Ya KUONA Kuwa Mtt Wake Amefeli MTIHANI, Ameamuru MATOKEO YOTE Yafutwe!!!! SWALI Je, INGEKUWA MTOTO Wa Mkuu Wa Shule NDIYE Amefaulu MTIHANI HUO, Hata Kama Alipewa MAJIBU Na Mkuu Wa Shule (Babake) Au Kwa Chabo!! Na Wanafunzi Wengine Wamefeli MTIHANI HUO, Je, Mkuu Wa Shule Angefuta MATOKEO!!!!!?????
 
Lakini makamanda....tukumbuke kuwa hata Dk Slaa alisemekana kuwa alishinda ule uchaguzi wa 2010 lakini hila za CCM akiwemo LOWASA aliyepambana rafiki yake aingie madarakani walifanikiwa kumpora ushindi Dk Slaa......dhambi hiyo hiyo ndio inayomtafuna LOWASA KIPINDI HIKI.....
 
Tatizo kingunge ndoto zake za kuwa balozi zimeyeyuka
 
Jomba kama anamgwaya JK vile.
Confidence zero, Mapozi ya ki local.
Jamaa wala hafanani na uRais.
Poor TZ.
 
Kama Ni Mshindi Ametangazwa Tayari, Awe Batili Au Sahihi!! Maana TUME (NEC) Ikimtangaza NDIO Imeisha Hapo!! Hata Mtu MWINGINE Akiwa Na Evidence Za Kuithibitishia Umma Kuwa Kulikuwa Na MAGUMASHI, Hakuna Pa KWENDA!! Kikubwa KILICHOPO Kwa Aliyetangazwa Mshindi Na CHAMA CHAKE!! Ni KUTEKELEZA Yale AMBAYO Ameyahidi Wkt. Wa KAMPENI ZAKE!! Na Ilani Yao Tu!! Sidhani Kama Ni Muda Wa KUENDELEA Kupambana Na WATU Ambao Wako Nje SERIKALI Kwa SASA!!! Kumbukeni Ahadi ZENU Kwa WATANZANIA Waliowapatia Hizo KURA!!! Miaka 5 Siku Hizi Ni Kipindi Kifupi Mno!!!!
 
Lowassa alimsaidia kikwete 2005 na si 2010

Lakini makamanda....tukumbuke kuwa hata Dk Slaa alisemekana kuwa alishinda ule uchaguzi wa 2010 lakini hila za CCM akiwemo LOWASA aliyepambana rafiki yake aingie madarakani walifanikiwa kumpora ushindi Dk Slaa......dhambi hiyo hiyo ndio inayomtafuna LOWASA KIPINDI HIKI.....
 
Tunataka viwanda sasa, mambo ya tambwe sijui tambo hayana nafasi tena
 
Amna democrasia Tanzania bora wakafuta vyama vya upinzani ili tujue kuliko kuviujumu
 
MUNGU WA MUSA HASINZII WALA HADHIHAKIWI!!!....BAADA YA MUNGU WA MUSA ATAFUATA MUNGU WA ELIYA AMBAYE DHIHAKA YA KUMWITA BALD HEADED ILILETA DUBU TOKA PORINI!!!...ACHILIA MBALI MOTO TOKA MBINGUNI!!....HAKI KUPIGANIWA NA MUNGU NA HUYU MUNGU WA HAKI HUWA HASUBIRI MAOMBI KUTEKELEZA HUKUMU ZAKE!!!....KUFUNGA NA KUOMBA SIO KUMLETA MUNGU KUFANYA HAKI MAANA HATEGEMEI WITO BALI YEYE HUWA HAKI NA NDIYE UTEKELEZAJI WA HAKI KWA MUDA NA WAKATI AONAO YEYE UNAFAA....ILA PANAPOKUWAPO KINA YEREMIAH MIONGONI MWA WALIOONEWA....JIBU LA MUNGU HUWA BAYANA BILA MUDA KUPITA!!!.....mimi nasema tu, tunapokuwa tunaimalizia siku ya kwanza ya tamko la kuzuia ISRAEL isiondoke UTUMWANI, ISHARA YA KWANZA ILIKUWA SIMPLE DISLAY OF GODLY MUSCLES AND WILL TO LIBERATE!!!......stay Tuned!!.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom