Elections 2015 Kikwete ampongeza rais mteule John Pombe Joseph Magufuli Ikulu Dar es Salaam

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015
attachment.php

Mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke Pekee kwa tiketi ya ACT Wazlendo Mama Anna Mghira mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako yeye na Rais Jakaya Mrisho Kikwete walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni. Dkt Magufuli amemshukur sana Mama Mghwira na kumwita mkomavu wa siasa na mwana-Demokrasia wa mfano jioni hii Oktoba 29, 2015

Picha na IKULU

Attachments

  • j1.jpg
    j1.jpg
    24.3 KB · Views: 1,637
  • j5.jpg
    j5.jpg
    23.8 KB · Views: 1,657
  • j3.jpg
    j3.jpg
    20 KB · Views: 1,613
Kwa Mara ya kwanza tunaweza kuwa na first lady wa the the the the the.

Natumaini uliona interview za Jk alipokwenda marekani. sasa unataka kusema mama salma anakimanya kuliko JK? The BTW mi napenda wawe wanaongea kiswahili tu na wakalimani wafanye kazi yao, ndio ajira hiyo kwa Watanzania wanaoweza kuongea kimombo kama maji ya kunywa.
 
Eddo aliposikia Znz wamefuta Uchaguzi kwa kuwa Seif Sharif kajitangaza mshindi kwa 53% akina Tundu lissu nao wakamshauri nae ajitangaze kuwa kapata 62% ili NEC ifute uchaguzi hahahah!!
 
Kikwete namfananisha na Mbwa Koko wa Tanzania! Huku NEC nikiifananisha na mbwa mwitu wa Tanzania. Hali kadharika Mkapa namfananisha na Mbweha wa Tanzania.

No...No....asilan abadan usimfananishe binadamu na mnyama.Allah amemuumba binadamu na akamsifia sana.Hisia na hasira zako kuhusu uchaguzi ni sawa na za wengi tu...fanya subira na mlaani shetani.omba msamaha na fanya toba
 
Kikwete namfananisha na Mbwa Koko wa Tanzania! Huku NEC nikiifananisha na mbwa mwitu wa Tanzania. Hali kadharika Mkapa namfananisha na Mbweha wa Tanzania.

angalia usijekutafutwa..maana hao wote unaowatukana hapo wanayo mamlaka ya kukufukua popote ulipo.
 
Furaha FEKI... NYUSO FEKI...!!!

GESTURES feki, Is clearly seen, someone will be controlled remotely from Msoga..!!! So sad...!!!

Ni huzuni tupu...!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom