Kikwete ampongeza rais mteule John Pombe Joseph Magufuli Ikulu Dar es Salaam

Kansigo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
2,663
Points
2,000

Kansigo

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
2,663 2,000

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015Mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke Pekee kwa tiketi ya ACT Wazlendo Mama Anna Mghira mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako yeye na Rais Jakaya Mrisho Kikwete walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni. Dkt Magufuli amemshukur sana Mama Mghwira na kumwita mkomavu wa siasa na mwana-Demokrasia wa mfano jioni hii Oktoba 29, 2015


Picha na IKULU

 

Attachments:

 • File size
  83.3 KB
  Views
  1,636
 • File size
  76.1 KB
  Views
  1,656
 • File size
  66.3 KB
  Views
  1,612

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,776
Points
2,000

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,776 2,000
Kwa Mara ya kwanza tunaweza kuwa na first lady wa the the the the the.
Natumaini uliona interview za Jk alipokwenda marekani. sasa unataka kusema mama salma anakimanya kuliko JK? The BTW mi napenda wawe wanaongea kiswahili tu na wakalimani wafanye kazi yao, ndio ajira hiyo kwa Watanzania wanaoweza kuongea kimombo kama maji ya kunywa.
 

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
21,338
Points
2,000

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
21,338 2,000
Eddo aliposikia Znz wamefuta Uchaguzi kwa kuwa Seif Sharif kajitangaza mshindi kwa 53% akina Tundu lissu nao wakamshauri nae ajitangaze kuwa kapata 62% ili NEC ifute uchaguzi hahahah!!
 

bantu.garage

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2015
Messages
1,443
Points
1,500

bantu.garage

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2015
1,443 1,500
Kikwete namfananisha na Mbwa Koko wa Tanzania! Huku NEC nikiifananisha na mbwa mwitu wa Tanzania. Hali kadharika Mkapa namfananisha na Mbweha wa Tanzania.
No...No....asilan abadan usimfananishe binadamu na mnyama.Allah amemuumba binadamu na akamsifia sana.Hisia na hasira zako kuhusu uchaguzi ni sawa na za wengi tu...fanya subira na mlaani shetani.omba msamaha na fanya toba
 

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,904
Points
2,000

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,904 2,000
Kikwete namfananisha na Mbwa Koko wa Tanzania! Huku NEC nikiifananisha na mbwa mwitu wa Tanzania. Hali kadharika Mkapa namfananisha na Mbweha wa Tanzania.
angalia usijekutafutwa..maana hao wote unaowatukana hapo wanayo mamlaka ya kukufukua popote ulipo.
 

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,186
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,186 2,000
Furaha FEKI... NYUSO FEKI...!!!

GESTURES feki, Is clearly seen, someone will be controlled remotely from Msoga..!!! So sad...!!!

Ni huzuni tupu...!!!
 

Forum statistics

Threads 1,344,385
Members 515,452
Posts 32,818,906
Top