Ndio maana FMES alisema Usafi huanzia nyumbani... yaani kweli mnataka kusema Kikwete na uongozi wote wa AU hawakumpongeza Mugabe?... yaani hotuba ile ndio ashirio la kutompongeza Mugabe!... damn ama kweli sisi vipofu!..
AU inamuunga Mugabe mkono toka siku ya kwanza na vitendo vyake havina tofauti na vitendo wanavyoweza kufanya viongozi hao hao..Mugabe hana tofauti na kiongozi yeyote alliyekuwepo ktk ukumbi ule. Na kukaribishwa kwake ktk kikao hicho kama kiongozi wa Zimbabwe tayari ni ishara tosha ya kumpongeza... Nina hakika off Camera pongezi zilikuwa nyingi sana!...
Nani asiyeogopa jicho la mzungu alaaah!..Unafiki mtupu hujaa ktk vikao vyetu na pengine ndio Utamaduni wetu hakuna anayeweza kusema hadharani kuwa tunampongeza ama tunamshtumu...Mkapa alifanya hivyo hivyo na hakuna aliyeinua kidole!..wakisha toka nje kelele nyingi sana..Ng'ado to Ng'ado wote kushikwa kiharusi!